You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Watu wakasikiliza kwa kutetemeka. Roho wa Mungu akasema mioyoni. Wengi

wakaongozwa kwa kutafuta Maandiko, wasiokuwa na kiasi wakatengenezwa, na kazi

ikafanywa kwa kuonyesha kwamba hata wachungaji wa kanisa la pale walilazimishwa

kukubali kwamba mkono wa Mungu ulikuwa katika mabadiliko.

Ilikuwa mapenzi ya Mungu kwamba habari ya kuja kwa Mwokozi ilipashwa kutolewa

katika Skandinavie, na akaweka Roho yake juu ya watoto ili kazi iweze kutendeka. Wakati

Yesu alipokaribia Yerusalema, watu, wakaogopeshwa na mapadri na watawala, wakaacha

tangazo lao la furaha walipokuwa wakiingia kwa milango ya Yerusalema. Lakini watoto

katika viwanja vya hekalu wakachukua kiitikio, na wakapaaza sauti, “Hosana kwa Mwana wa

Daudi!” Matayo 21:8-16. Kwa namna Mungu alitenda kazi kwa njia ya watoto kwa wakati

wa kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo, ndivyo hivyo akatumika kwa njia yao katika kutoa

ujumbe wa kuja kwake kwa mara ya pili.

Ujumbe Unatawanyika

Amerika ikawa mahali pakubwa pa kazi ya kutangaza kurudi kwa Yesu. Maandiko ya

Miller na ya washiriki wake yakaenezwa duniani pote. Mbali na katika eneo kubwa habari

njema ya milele: “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana hukumu yake imekuja.”

Mambo ya unabii ambayo ilionekana kuonyesha kuja kwa Kristo katika majira ya 1844

yakashikwa sana rohoni mwa watu. Wengi wakasadikishwa kwamba mabishano juu ya

nyakati za unabii yalikuwa ya haki, na wakaacha kiburi na mafikara yao, wakakubali kweli

kwa furaha. Wachungaji wengine wakaacha mishahara yao na wakajiunga katika kutangaza

kuja kwa Yesu. Karibu wachungaji wachache, walakini, walikubali habari hii; kwa hivyo

ikatolewa zaidi kwa watu wanyenyekevu wasiokuwa mapadri. Wakulima wakaacha

mashamba yao; wafundi wa mashini, wakaacha vyombo vyao; wachuuzi wakaacha biashara

yao; wafundi wa kazi wakaacha vyeo vyao. Kwa mapenzi wakavumilia kazi ngumu, taabu,

na mateso, ili wapate kuita watu kwa toba kwa wokovu. Ukweli wa kurudi kwa Yesu

ukakubaliwa na maelfu ya watu.

Maandiko Rahisi Yanaleta Hakikisho

Kama Yoane Mbatizaji wahubiri waliweka shoka katika shina la miti na kusihi sana wote

kuzaa “matunda yanayofaa kwa toba.” Kwa kuonyesha tofauti kwa uhakikika wa amani na

salama vilivyosikiwa kwa mimbara ya watu wengi, ushuhuda rahisi wa Maandiko ukaleta

hakikisho ambalo wachache waliweza kabisa kabisa kupinga. Wengi wakamtafuta Bwana

kwa toba. Kwa kuacha mapenzi ambayo walishikamana nayo wakati mrefu ya mambo ya

kidunia sasa wakatazama mbinguni. Kwa mioyo ya upole na polepole wakajiunga kwa kupaza

sauti: “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana saa ya hukumu yake imekuja.”

Wenye zambi wakauliza kwaa machozi: “Ninapashwa kufanya nini ili niokolewe?” Wale

waliokosea jirani zao wakajiharakisha kwa kutengeneza kosa. Wote waliopata amani katika

Kristo wakatamani kuijulisha kwa wengine. Mioyo ya wazazi ikarudia kwa watoto wao, na

149