Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti Akashangazwa na namna unabii ulitimilika kwa uaminifu. Hapa palikuwa na ushuhuda kwa maongozi ya Maandiko. Hakuweza kudumu kutoshelewa na akili za kibinadamu, na katika kujifunza Biblia akaongozwa kwa imani ya hakika. Akafikia kwa imani kwamba kuja kwa Bwana kulikuwa karibu. Alipovutwa na umuhimu wa ukweli huu, akakusudia kuupeleka mbele ya watu. Lakini imani ya watu wengi kwamba mambo ya unabii wa Danieli hayawezi kufahamika ilikuwa kizuizi kikubwa. Mwishowe akakusudia--kama vile Farel alivyofanya mbele yake katika kuhubiri Genève--kwa kuanza na watoto, kwa njia yao akatumainia kuwa wazazi watavutwa. Akasema, “Nikusanya wasikilizaji watoto; kama kundi linaongezeka kuwa, kubwa, kama likionekana kwamba wanasikiliza, wanapendezwa, wanakuwa na usikizi, kwamba wanafahamu na kueleza fundisho, nina hakika kuwa na kundi la pili karibu, na wao, watu wakubwa wataona kwamba ni faida yao kukaa na kujifunza. Wakati jambo hili linapotendeka, ushindi utapatikana.” Alipokuwa akisema na watoto, watu wakubwa wakaja kusikiliza. Vyumba vya kanisa lake vikajaa na wasikilizaji, watu wa heshima na wenye elimu, na wageni wa inchi zingine wakazuru Geneve. Kwa hivyo ujumbe ukapelekwa kwa sehemu zingine. Alipotiwa moyo, Gaussen akatangaza mafundisho yake na matumaini ya kuanzisha mafundisho ya vitabu vya unabii. Baadaye akawa mwalimu katika chuo cha elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini, akiendelea kwa siku ya juma pili na kazi yake kama mwalimu wa katikisimu, kusema kwa watoto na kuwafundisha katika Maandiko. Kwa kiti cha mwalimu, kwa njia ya vitabu (chapa) na kama mwalimu wa watoto, yeye kwa miaka mingi alikuwa chombo katika kuita uangalifu wa wengi kwa mambo ya unabii ambayo yalionyesha kwamba kuja kwa Bwana kulikuwa karibu. Wahubiri Watoto wa Skandinavie Katika Skandinavie vilevile ujumbe wa kurudi kwa Yesu alitangazwa. Wengi wakasimama kutubu na kuacha zambi zao na kutafuta rehema katika jina la Kristo. Lakini padri wa kanisa la mahali pale akapinga mabadiliko, na wengine waliohubiri ujumbe wakatupwa gerezani. Mahali pengi ambapo wahubiri wa kuja kwa Bwana kwa karibu walinyamazishwa, Mungu akapendezwa kutuma ujumbe kwa njia ya watoto wadogo. Kama vile walikuwa chini ya umri wa maisha ya mtu mzima, serkali haikuweza kuwafunga, na wakaruhusiwa kusema bila kusumbuliwa. Katika makao yake ya umasikini watu wakakusanyika kusikia maonyo. Wahubiri wengine watoto hawakuwa zaidi ya umri wa miaka sita ao mnane; ijapo maisha yao yalishuhudia kwamba walimpenda Mwokozi, wakaonyesha tu kwa kawaida akili na uwezo vinavyoonekana katika watoto wa umri ule. Wakati waliposimama mbele ya watu, lakini, walibadilishwa na mvuto mbali ya zawadi zao za kawaida. Sauti na tabia vikageuka, na pamoja na uwezo mkubwa wakatoa maonyo ya hukumu, “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana saa ya hukumu yake imekuja.” 148
Kupinga ya Kiprotestanti Watu wakasikiliza kwa kutetemeka. Roho wa Mungu akasema mioyoni. Wengi wakaongozwa kwa kutafuta Maandiko, wasiokuwa na kiasi wakatengenezwa, na kazi ikafanywa kwa kuonyesha kwamba hata wachungaji wa kanisa la pale walilazimishwa kukubali kwamba mkono wa Mungu ulikuwa katika mabadiliko. Ilikuwa mapenzi ya Mungu kwamba habari ya kuja kwa Mwokozi ilipashwa kutolewa katika Skandinavie, na akaweka Roho yake juu ya watoto ili kazi iweze kutendeka. Wakati Yesu alipokaribia Yerusalema, watu, wakaogopeshwa na mapadri na watawala, wakaacha tangazo lao la furaha walipokuwa wakiingia kwa milango ya Yerusalema. Lakini watoto katika viwanja vya hekalu wakachukua kiitikio, na wakapaaza sauti, “Hosana kwa Mwana wa Daudi!” Matayo 21:8-16. Kwa namna Mungu alitenda kazi kwa njia ya watoto kwa wakati wa kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo, ndivyo hivyo akatumika kwa njia yao katika kutoa ujumbe wa kuja kwake kwa mara ya pili. Ujumbe Unatawanyika Amerika ikawa mahali pakubwa pa kazi ya kutangaza kurudi kwa Yesu. Maandiko ya Miller na ya washiriki wake yakaenezwa duniani pote. Mbali na katika eneo kubwa habari njema ya milele: “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana hukumu yake imekuja.” Mambo ya unabii ambayo ilionekana kuonyesha kuja kwa Kristo katika majira ya 1844 yakashikwa sana rohoni mwa watu. Wengi wakasadikishwa kwamba mabishano juu ya nyakati za unabii yalikuwa ya haki, na wakaacha kiburi na mafikara yao, wakakubali kweli kwa furaha. Wachungaji wengine wakaacha mishahara yao na wakajiunga katika kutangaza kuja kwa Yesu. Karibu wachungaji wachache, walakini, walikubali habari hii; kwa hivyo ikatolewa zaidi kwa watu wanyenyekevu wasiokuwa mapadri. Wakulima wakaacha mashamba yao; wafundi wa mashini, wakaacha vyombo vyao; wachuuzi wakaacha biashara yao; wafundi wa kazi wakaacha vyeo vyao. Kwa mapenzi wakavumilia kazi ngumu, taabu, na mateso, ili wapate kuita watu kwa toba kwa wokovu. Ukweli wa kurudi kwa Yesu ukakubaliwa na maelfu ya watu. Maandiko Rahisi Yanaleta Hakikisho Kama Yoane Mbatizaji wahubiri waliweka shoka katika shina la miti na kusihi sana wote kuzaa “matunda yanayofaa kwa toba.” Kwa kuonyesha tofauti kwa uhakikika wa amani na salama vilivyosikiwa kwa mimbara ya watu wengi, ushuhuda rahisi wa Maandiko ukaleta hakikisho ambalo wachache waliweza kabisa kabisa kupinga. Wengi wakamtafuta Bwana kwa toba. Kwa kuacha mapenzi ambayo walishikamana nayo wakati mrefu ya mambo ya kidunia sasa wakatazama mbinguni. Kwa mioyo ya upole na polepole wakajiunga kwa kupaza sauti: “Ogopeni Mungu, na kumutukuza kwa maana saa ya hukumu yake imekuja.” Wenye zambi wakauliza kwaa machozi: “Ninapashwa kufanya nini ili niokolewe?” Wale waliokosea jirani zao wakajiharakisha kwa kutengeneza kosa. Wote waliopata amani katika Kristo wakatamani kuijulisha kwa wengine. Mioyo ya wazazi ikarudia kwa watoto wao, na 149
- Page 105 and 106: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 14. U
- Page 107 and 108: Kupinga ya Kiprotestanti hawa walio
- Page 109 and 110: Kupinga ya Kiprotestanti Mioto ya u
- Page 111 and 112: Kupinga ya Kiprotestanti Uharibifu
- Page 113 and 114: Sababu yake ya Kweli Kupinga ya Kip
- Page 115 and 116: Kupinga ya Kiprotestanti kwa hali y
- Page 117 and 118: Kupinga ya Kiprotestanti Mmojawapo
- Page 119 and 120: Kupinga ya Kiprotestanti kazi wakal
- Page 121 and 122: Kupinga ya Kiprotestanti Kosa la Ha
- Page 123 and 124: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 16. K
- Page 125 and 126: Kupinga ya Kiprotestanti angeweza k
- Page 127 and 128: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 17. A
- Page 129 and 130: Kupinga ya Kiprotestanti watu elfu
- Page 131 and 132: Kupinga ya Kiprotestanti Ilikuwa ja
- Page 133 and 134: Kupinga ya Kiprotestanti kumpokea m
- Page 135 and 136: Kupinga ya Kiprotestanti “Niliona
- Page 137 and 138: Kupinga ya Kiprotestanti milele.”
- Page 139 and 140: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 141 and 142: Kupinga ya Kiprotestanti tarehe hii
- Page 143 and 144: Kupinga ya Kiprotestanti wakati wa
- Page 145 and 146: Kupinga ya Kiprotestanti kutosha; n
- Page 147 and 148: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 19. S
- Page 149 and 150: Kupinga ya Kiprotestanti Zahabu saf
- Page 151 and 152: Kupinga ya Kiprotestanti kwa uangal
- Page 153 and 154: Kupinga ya Kiprotestanti Miaka mita
- Page 155: Kupinga ya Kiprotestanti Imani ya n
- Page 159 and 160: Kupinga ya Kiprotestanti Lakini wal
- Page 161 and 162: Kupinga ya Kiprotestanti Giza ya ki
- Page 163 and 164: Kupinga ya Kiprotestanti Mwanamke (
- Page 165 and 166: Kupinga ya Kiprotestanti kupendeza
- Page 167 and 168: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 22. U
- Page 169 and 170: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mat
- Page 171 and 172: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 173 and 174: Kupinga ya Kiprotestanti wazi, akap
- Page 175 and 176: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 23. S
- Page 177 and 178: Kupinga ya Kiprotestanti ya mbingun
- Page 179 and 180: Kupinga ya Kiprotestanti mufano kuz
- Page 181 and 182: Kupinga ya Kiprotestanti kufanyika
- Page 183 and 184: “Tazama, Bwana Arusi Anakuja” K
- Page 185 and 186: Kupinga ya Kiprotestanti Wayuda was
- Page 187 and 188: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa kujita
- Page 189 and 190: Kupinga ya Kiprotestanti linainua k
- Page 191 and 192: Kupinga ya Kiprotestanti “Mnyama
- Page 193 and 194: Kupinga ya Kiprotestanti kutolewa k
- Page 195 and 196: Kupinga ya Kiprotestanti Tangu siku
- Page 197 and 198: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 27. M
- Page 199 and 200: Kupinga ya Kiprotestanti Sheria ya
- Page 201 and 202: Kupinga ya Kiprotestanti Hapawezi k
- Page 203 and 204: Kupinga ya Kiprotestanti zote, namn
- Page 205 and 206: Kupinga ya Kiprotestanti Katika “
Kupinga ya Kiprotestanti

Akashangazwa na namna unabii ulitimilika kwa uaminifu. Hapa palikuwa na ushuhuda kwa

maongozi ya Maandiko. Hakuweza kudumu kutoshelewa na akili za kibinadamu, na katika

kujifunza Biblia akaongozwa kwa imani ya hakika.

Akafikia kwa imani kwamba kuja kwa Bwana kulikuwa karibu. Alipovutwa na umuhimu

wa ukweli huu, akakusudia kuupeleka mbele ya watu. Lakini imani ya watu wengi kwamba

mambo ya unabii wa Danieli hayawezi kufahamika ilikuwa kizuizi kikubwa. Mwishowe

akakusudia--kama vile Farel alivyofanya mbele yake katika kuhubiri Genève--kwa kuanza na

watoto, kwa njia yao akatumainia kuwa wazazi watavutwa. Akasema, “Nikusanya

wasikilizaji watoto; kama kundi linaongezeka kuwa, kubwa, kama likionekana kwamba

wanasikiliza, wanapendezwa, wanakuwa na usikizi, kwamba wanafahamu na kueleza

fundisho, nina hakika kuwa na kundi la pili karibu, na wao, watu wakubwa wataona kwamba

ni faida yao kukaa na kujifunza. Wakati jambo hili linapotendeka, ushindi utapatikana.”

Alipokuwa akisema na watoto, watu wakubwa wakaja kusikiliza. Vyumba vya kanisa lake

vikajaa na wasikilizaji, watu wa heshima na wenye elimu, na wageni wa inchi zingine

wakazuru Geneve. Kwa hivyo ujumbe ukapelekwa kwa sehemu zingine.

Alipotiwa moyo, Gaussen akatangaza mafundisho yake na matumaini ya kuanzisha

mafundisho ya vitabu vya unabii. Baadaye akawa mwalimu katika chuo cha elimu ya tabia na

sifa za Mungu na dini, akiendelea kwa siku ya juma pili na kazi yake kama mwalimu wa

katikisimu, kusema kwa watoto na kuwafundisha katika Maandiko. Kwa kiti cha mwalimu,

kwa njia ya vitabu (chapa) na kama mwalimu wa watoto, yeye kwa miaka mingi alikuwa

chombo katika kuita uangalifu wa wengi kwa mambo ya unabii ambayo yalionyesha kwamba

kuja kwa Bwana kulikuwa karibu.

Wahubiri Watoto wa Skandinavie

Katika Skandinavie vilevile ujumbe wa kurudi kwa Yesu alitangazwa. Wengi

wakasimama kutubu na kuacha zambi zao na kutafuta rehema katika jina la Kristo. Lakini

padri wa kanisa la mahali pale akapinga mabadiliko, na wengine waliohubiri ujumbe

wakatupwa gerezani. Mahali pengi ambapo wahubiri wa kuja kwa Bwana kwa karibu

walinyamazishwa, Mungu akapendezwa kutuma ujumbe kwa njia ya watoto wadogo. Kama

vile walikuwa chini ya umri wa maisha ya mtu mzima, serkali haikuweza kuwafunga, na

wakaruhusiwa kusema bila kusumbuliwa.

Katika makao yake ya umasikini watu wakakusanyika kusikia maonyo. Wahubiri wengine

watoto hawakuwa zaidi ya umri wa miaka sita ao mnane; ijapo maisha yao yalishuhudia

kwamba walimpenda Mwokozi, wakaonyesha tu kwa kawaida akili na uwezo

vinavyoonekana katika watoto wa umri ule. Wakati waliposimama mbele ya watu, lakini,

walibadilishwa na mvuto mbali ya zawadi zao za kawaida. Sauti na tabia vikageuka, na

pamoja na uwezo mkubwa wakatoa maonyo ya hukumu, “Ogopeni Mungu, na kumutukuza

kwa maana saa ya hukumu yake imekuja.”

148