12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wolff aliamini kuja kwa Bwana kuwa karibu. Maelezo yake ya nyakati za unabii

yakamfanya kuzania kurudi huko kama tarehe iliyoonyeshwa na Miller. “Je, Bwana wetu ...

hakututolea ishara za wakati, kusudi tupate kujua hata, kukaribia kwa kuja kwake, jinsi mmoja

anavyojua kukaribia kwa wakati wa jua kali kwa mtini na kutoa majani yake? Inatosha ...

itajulikana kwa ishara za wakati, kwa kutushawishi kujitayarisha kwa ajili ya kuja kwake,

kama vile Noa alivyotayarisha safina.”

Kupinga Maelezo ya Watu Wengi

Kufuatana na namna watu wotewalivyo tafsiri ao kutambua Maandiko, Wolff akaandika:

“Sehemu kubwa sana ya kanisa la Kikristo imepotoka kutoka kwa maana kamili ya Maandiko,

na ... wanapofikiri kwamba wakati wanaposoma habari ya Wayahudi, wanapaswa kufahamu

Mataifa,na wanaposoma Yerusalema, wanapaswa kufahamu kanisa; na kama inasemwa

dunia, maana yake ni mbingu; na kwa kurudi kwa Bwana wanapaswa kufahamu maendeleo

ya vyama vya wajumbe: na kupanda juu ya mlima wa nyumba ya Bwana, maana yake ni

mkutano wa kundi kubwa la wamethodistes.”

Tangu miaka 1821 hata 1845, Wolff akasafiri katika Misri, Abisinia, Palestina, Syria,

Persia, Bokhara, India, na Amerika.

Uwezo katika Kitabu

Dr. Wolff alisafiri katika inchi zilizokuwa za kishenzi kabisa bila ulinzi, kwa kuvumilia

taabu na kuzunguukwa na hatari nyingi. Akateswa bila chakula, na baridi, kuuzwa kama

mtumwa, mara tatu akakatiwa hukumu ya kifo, akaviziwa na wezi, na mara zingine karibu

kufa kwa kiu cha maji. Mara moja akanyanganywa vyote na akaachwa na kusafiri mwendo

wa mamia yakilometres kwa miguu katika milima, teluji zikipiga katika uso wake na nyanyo

zisizo naviatu zikagandamizwa na udongo wa baridi sana.

Walipomshauria kwamba si vema kusafiri bila silaha katika makabila yenye ukaidi na

uadui, akasema mwenyewe “kuwa na silaha “maombi, bidii kwa ajili ya Kristo, na tumaini

katika usaada wake.” “Nimejazwa vilevile na upendo wa Mungu na jirani wangu katika moyo

wangu, na Biblia inakuwa mikononi mwangu.” “Nilisikia nguvu zangu kuwa ndani ya Kitabu

hiki, na kwamba uwezo wake utanilinda.”

Akavumilia mpaka wakati ujumbe ungeweza kupelekwa katika sehemu kubwa ya

ulimwengu inayo katiwa na watu. Miongoni mwa Wayahudi, Turks, Parsis, Wahindi, na

mataifa na makabila akagawanya Neno la Mungu katika lugha mbalimbali, na mahali po pote

akatangaza kukaribia kwa kuja kwa Masiya. Katika safari yake huko Boukhari akakutana

mafundisho ya kurudi kwa Bwana yakifundishwa na watu waliokaa peke yao. Waarabu wa

Yemen, akasema, wanakuwa na kitabu kinachoitwa Seera, ambacho kina tangazo la kuja kwa

Kristo mara ya pili na ufalme wake wa utukufu; na wanatazamia mambo makuu kutendeka

katika mwaka 1840.” “Nikakuta wana wa Israeli, wa kabila la Dani, ... wanaotazamia, pamoja

na wana wa Rekabu, kufika kwa upesi kwa Masiya katika mawingu ya mbingu.”

146

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!