12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Miaka mitatu baada ya Miller kufikia kwa maelezo yake ya mambo ya unabii. Dr. Joseph

Wolff, “Mjumbe kwa ulimwengu,” akaanza kutangaza kukaribia kwa kuja kwa Bwana.

Alizaliwa katika Ujeremani, wazazi wake Wayahudi. Alikuwa Kijana sana wakati ule,

akasadikishwa kwa habari ya kweli ya dini ya kikristo. Alikuwa msikizi mwenye bidii sana

kwa mazungumzo katika nyumba ya baba yake mahali Wayahudi waaminifu walikuwa

wakikusanyika kila siku kwa kuzungumzia matumaini ya watu wao, utukufu wa kuja kwa

Masiya, na kuimarishwa tena kwa Israeli. Siku moja, kusikia Yesu wa Nazareti kutajwa,

kijana akauliza kujua alikuwa nani. “Muyahudi wa talanta kubwa mno” wakajibu” Lakini

alipojidai kuwa Masiya, baraza la hukumu la Wayahudi likamkatia hukumu ya kifo.”

“Sababu gani,” akafuatisha mwenye kuuliza, “je, Yerusalema iliharibiwa, na sababu gani

tunakuwa katika utumwa?”

“Ole, ole,” akajibu baba yake, “kwa sababu Wayahudi waliua manabii.” Mara moja wazo

likaja moyoni mwa mtoto: “Pengine Yesu pia alikuwa vilevile nabii, na Wayahudi wakamuua

wakati alikuwa bila kosa.” Ingawa alikatazwa kuingia katika kanisa la Kikristo, akakawia

mara kwa mara inje kusikiliza mahubiri. Alipokuwa na miaka saba tu ya kuzaliwa, alikuwa

akijisifu kwa jirani wake mkristo juu ya kushinda kwa Israel wakati ujao wa kuja kwa Masiya.

Mzee akasema kwa upole: “Kijana mpenzi, nitakwambia nani aliyekuwa Masiya wa kweli:

alikuwa Yesu wa Nazareti,... ambaye wababu wako walimsulubisha... Wende nyumbani na

usome sura ya makumi tano na tatu ya Isaya, na utasadikishwa kwamba Kristo ni Mwana wa

Mungu.”

Akaenda nyumbani na akasoma Maandiko. Kwa ukamilifu wa namna gani ilitimilika kwa

Yesu wa Nazareti. Je, maneno ya mkristo yule ni ya haki? Kijana akauliza baba yake maelezo

ya unabii lakini akakutana na ukimya bila huruma na hakusubutu tena kamwe kusema

inayoelekea fundisho lile pamoja naye.

Wakati alipokuwa na miaka kumi na moja tu ya kuzaliwa, akaenda duniani kupata elimu,

kuchagua dini yake na kazi yake ya maisha. Peke yake na bila senti hata moja, alipashwa

kutafuta njia yeye mwenyewe. Akajifunza kwa bidii, na kujisaidia mwenyewe kwa mahitaji

yake kwa kufundisha Kiebrania. Akaongozwa kukubali imani ya dini ya Roma na akaenda

kufuata mafundisho yake katika College ya “Propagande de la Foi” (kutangaza imani). Hapo

akashambulia kwa wazi matumizi mabaya ya kanisa na akalazimisha matengenezo. Baada ya

mda, akatoshwa. Ikawa wazi kwamba hakuweza kamwe kuletwa kwa kutii utumwa wa dini

ya Roma. Akatangazwa kuwa mtu asiyeweza kusahihshwa na kuachwa kwenda mahali

palipompendeza. Akaenda Uingereza na akajiunga na kanisa la Uingereza. Baada ya miaka

miwili ya majifunzo akaanza kazi yake mwaka 1821.

Wolff aliona kwamba mambo ya unabii hutangaza kuja kwa Kristo mara ya pili kwa nguvu

na utukufu. Alipotafuta kuongoza watu wake kwa Yesu wa Nazareti kama Ni yule

aliyeahidiwa, kuwaonyesha kuja kwake kwa mara ya kwanza kama kafara kwa ajili ya zambi,

akawafundisha pia juu ya kuja kwake kwa mara ya pili.

145

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!