12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kwa uangalifu zaidi msingi wa imani yao, na kukataa kila kitu, hata kilikubaliwa sana na

Wakristo wa kidunia, kile kisichokuwa na msingi kutika kwa Maandiko.

Kile ambacho katika saa ya taabu kilionekana giza baadaye kingewekwa wazi. Ijapokuwa

taabu ilitokea kwa makosa yao, wangejifunza kwa maarifa ya mibaraka yao kwamba Bwana

ni ” Mwenye rehema sana, mwenye huruma”, kwamba njia zote zake ni ” huruma na kweli

kwao wanaoshika agano lake na shuhuda wake.” Yakobo 5:11; Zaburi 25:10. ” Hata

mangaribi na asubui 2300: halafu Pahali patakatifu patasafishwa.”

143

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!