12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

lilitukuzwa na kuwako kwa uhai kwa yule ambaye alikuwa Mungu mwenyewe katika mwili.

“Mapenzi ya mataifa yote” yalikuja kwa hekalu lake wakati Mtu wa Nazareti alipofundisha

na kuponyesha katika viwanja takatifu. Lakini Israeli alikataa zawadi ya matoleo ya

mbinguni. Pamoja na Mwalimu mnyenyekevu aliyepita kutoka kwa mlango wake wa zahabu

siku ile, utukufu ukatoka hata milele kwa hekalu. Maneno ya Mwokozi yalitimia: “Nyumba

yenu imeachwa kwenu tupu”. Matayo 23:38.

Wanafunzi walishangazwa sana kwa utabiri wa Kristo wa maangamizi ya hekalu, na

walitamani kufahamu maana ya maneno yake. Herode Mkubwa alitoa kwa ukarimu juu ya

hekalu hazina za Waroma na Wayahudi. Vipande vikubwa vya marimari nyeupe, vilipelekwa

kutoka Roma, vikafanya sehemu ya ujenzi wake. Kwa mambo haya wanafunzi waliita

uangalifu wa Bwana wao, kusema: “Tazama mawe na majengo haya”! Marko 13:1.

Yesu akatoa jibu la wazi na la kushitusha: kweli ninawambia ninyi, Halitabaki jiwe juu ya

jiwe pasipo kubomolewa”. Matayo 24:2. Bwana aliwaambia wanafunzi kwamba atakuja mara

ya pili. Kwa hiyo, alipotaja hukumu juu ya Yerusalema, mafikara yao yakarejea kwa kurudi,

na wakauliza: “Maneno haya yote yatakuwa wakati gani? na nini alama ya kuja kwako, na ya

mwisho wa dunia”? Matayo 24:3.

Kristo akaonyesha mbele yao ishara ya mambo makubwa ya kuonekana kabla ya

kufungwa kwa wakati. Unabii alioutaja ulikuwa na sehemu mbili maana yake. Wakati

ulipokuwa ukitabiri uharibifu wa Yerusalema, unabii huu ulionyesha pia mfano wa matisho

ya siku kubwa ya mwisho.

Hukumu zilipashwa kuwekwa juu ya Israeli kwa sababu walikataa na wakasulubisha

Masiya. “Basi wakati munapoona chukizo la uharibifu lililosemwa na Danieli nabii,

likisimama kwa pahali patakatifu (yeye anayesoma afahamu), halafu wale walio katika Yudea

wakimbie kwa milima”. Matayo 24:15,16. Tazama vile vile Luka 21:20,21. Wakati kawaida

za kuabudu sanamu za Waroma zitakapo wekwa katika kiwanja kitakatifu inje ya kuta za mji,

ndipo wafuasi wa Kristo watapashwa kutafuta usalama katika kukimbia. Wale watakao okoka

hawapashwe kuchelewa. Kwa ajili ya zambi zake, hasira ilikwisha kutajwa juu ya

Yerusalema. Ugumu wa kuto kuamini kwake ulifanya maangamizo yake ya kweli. Tazama

Mika 3:9-11.

Wakaaji wa Yerusalema walimshitaki Kristo kwa chanzo cha taabu zote ambazo zilifika

juu yao katika matokeo ya zambi zao. Ingawa walimjua yeye kuwa bila kosa, wakatangaza

kifo chake kuwa cha lazima kwa ajili ya salama yao kama taifa. Wakapatana katika maamuzi

ya kuhani wao mkuu kwamba inafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu wote, wala taifa lote

lisiangamie. Tazama Yoane 11:4753.

Wakati waliua Mwokozi wao kwa sababu alikemea zambi zao, wakajizania wao wenyewe

kama watu waliopendelewa na Mungu na kutumainia Bwana kuwakomboa kwa adui zao!

Uvumilivu wa Mungu. Karibu miaka makumi ine Bwana alikawisha hukumu zake. Kulikuwa

7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!