12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Makanisa ya Waprotestanti wakadai kwamba sehemu kubwa ya Maandiko matakatifu--yale

yanayotoa nuru kwa Neno la Mungu, sehemu ile inayofaa zaidi kwa wakati wetu, haikuweza

kufahamika. Wachungaji wakasema kwamba Danieli na Ufunuo vilikuwa vitabu vya siri

isiyoweza kufahamika kwa wanadamu.

Lakini Kristo aliongoza wanafunzi wake kwa maneno ya nabii Danieli, “Yeye anayesoma

afahamu.” Matayo 24:15. Na kitabu cha Ufunuo kinapaswa kufahamika. “Ufunuo wa Yesu

Kristo aliopewa na Mungu aonyeshe watumishi wake maneno yaliyopaswa kuwa upesi... Heri

anayesoma nao wanaosikia maneno ya unabii huu, na kushika maneno yaliyoandikwa ndani

yake; kwa maana wakati ni karibu.” Ufunuo 1:1-3, matoleo ya herufi za italics.

“Heri anayesoma” kunakuwa na wale hawatasoma; na “nao wanaosikia” hapo kuna

wengine wanaokataa kusikia kitu cho chote juu ya mambo ya unabii; “na kusikia maneno

yaliyoandikwa ndani yake” wengi wanakataa kusikia mafundisho katika Ufunuo; hakuna kati

ya hawa anayeweza kudai mibaraka iliyoahidiwa.

Namna gani watu husubutu kusingizia kwamba Ufunuo ni siri inayopita fahamu ya

wanadamu? Ni siri iliyofunuliwa, kitabu kilichofunuliwa. Ufunuo unaongoza mawazo kwa

Danieli. Wote wawili wanaonyesha mafundisho makubwa juu ya mambo makubwa kwa

mwisho wa historia ya dunia. Yoane aliona hatari, vita, na kukombolewa kwa mwisho kwa

watu wa Mungu. Aliandika mambo ya ujumbe wa mwisho unaopasa kukamilisha mavuno ya

dunia, au kwa gala la mbinguni au kwa moto wa uharibifu, ili wale wanaogeuka kutoka kwa

mabaya hata kwa ukweli waweze kufundishwa juu ya hatari na mapigano yanayo kuwa mbele

yao.

Sababu gani, basi, juu ya ujinga huu unaoenea sana juu ya sehemu kubwa hii ya Maandiko

matakatifu? Ni matokeo ya juhudi iliyokusudiwa ya mfalme wa giza kwa kuficha watu yale

yanayofunua madanganyifu yake. Kwa sababu hii, Kristo Bwana wa Ufunuo huu, kwa kuona

mbele ya wakati vita juu ya fundisho la Ufunuo, akatangaza baraka kwa wote watakaoweza

kusoma, kusikia, na kushika unabii.

138

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!