Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti chache tu mbele ya kutimilika kwake akaandika: “Itamalizika kwa tarehe 11 ya Agosti, 1840, wakati mamlaka ya Ottoman katika Constantinople kuweza kutazamiwa kuvunjika.” Maonyo Yalitimilika Kwa wakati kabisa uliotajwa, Turkey ilikubali ulinzi wa mamlaka za mapatano ya Ulaya na kwa hivyo ikajitia yenyewe chini ya utawala wa mataifa ya Kikristo. Jambo kwa halisi kweli likatimiliza ukashiri. (Tazama Nyongezo.) Watu wengi walisadikishwa na kanuni za maelezo ya unabii yaliyokubaliwa na Miller na wafuasi wake. Watu wenye elimu na cheo wakajiunga pamoja na Miller katika kuhubiri na kutangaza maonyo yake. Tangu 1840 hata 1844 kazi ikaenea kwa upesi. William Miller alikuwa na akili za kichwa cha nguvu, na akaongeza kwa haya hekima ya mbinguni kwa kujiunga mwenyewe na Chemchemi ya hekima. Aliamuru heshima po pote, ukamilifu na tabia njema vilitumiwa. Kwa damani unyenyekevu wa Kikristo, alikuwa muangalifu na mpole kwa wote, tayari kusikiliza wengine na kupima mabishano yao. Alijaribu maelezo yote kwa Neno la Mungu, na mawazo yake halisi na maarifa ya Maandiko vikamwezesha kukanusha makosa. Lakini, kama pamoja na Watengenezaji wa kwanza, kweli alizoonyesha hazikukubaliwa na walimu wengi wa dini. Kwa hivyo hawa hawakuweza kudumisha hali yao kwa Maandiko, wakarejea kwa mafundisho ya watu, haya kiasili cha Wababa. Lakini Neno la Mungu lilikuwa ni ushuhuda pekee uliokubaliwa na wahubiri wa kweli wa kuja kwa Yesu. Cheko na zarau vilitumiwa kwa upande wa adui katika kusingizia wale waliotazamia kwa furaha juu ya kurudi kwa Bwana wao na walikuwa wakijitahidi kuishi maisha takatifu na kutayarisha wengine kwa kuonekana kwake. Ilifanyika kuonyesha zambi kwa kujifunza mambo ya unabii wa kuja kwa Kristo na mwisho wa dunia. Kwa hivyo kazi ya mapadri wa watu wengi ikapunguza imani katika Neno la Mungu. Mafundisho yao yakafanya watu kuwa watu kutokuwa Waaminifu, na wengi wakajiruhusu kwa kutembea kwa tamaa mbaya. Halafu watenda maovu wakayaweka yote juu ya Waadventisti. Ingawa Miller akavuta makundi ya wasikilizi wenye akili, jina lake lilitajwa kwa shida na magazeti ya dini isipokuwa tu kwa cheko ao mashitaki. Waovu, waliposukumwa na walimu wa dini, wakakimbilia kwa mabisho ya matukano juu yake na kazi yake. Mzee huyu mwenye imvi aliyeacha makao yake ya kupendeza kwa kusafiri kwa garama yake mwenyewe kuletea dunia onyo kubwa la hukumu inayokaribia akasitakiwa kama upumbavu. Usikivu na Kutokuamini Usikivu ukaendelea kuongezeka. Kutoka kwa makumi mawili na mamia, makutano yakaongezeka kwa maelfu mengi. Lakini baada ya wakati, upinzani ulionekana juu ya hawa waliogeuka, makanisa yakaanza kuchukua hatua za kutiisha kwa wale waliokubali maoni ya Miller. Jambo hili likaita jibu kwa kalamu yake: “Kama tunakuwa wakosefu ninawaomba mtuonyeshe kwa namna gani kosa letu linakuwa kutoka katika neno la Mungu; tulichekwa ya 136
Kupinga ya Kiprotestanti kutosha; na ile haiwezi kutusadikisha kwamba tunakuwa katika kosa; Neno la Mungu pekee linaweza kugeuza maoni yetu. Hukumu yetu ilifanyika kwa kusudi pamoja na maombi, kama tulivyoona ushuhuda katika Maandiko.” Wakati uovu wambele ya garika ulipomsukuma Mungu kuleta garika duniani, kwanza akawajulisha kusudi lake. Kwa miaka 120 likasikiwa onyo kwa kutubu. Lakini hawakuliamini. Wakazarau mjumbe wa Mungu. Kama ujumbe wa Noa ulikuwa wa kweli, sababu gani watu wote wa dunia hawakuuona na kuuamini? Tendo la kudai haki la mtu mmoja kupinga hekima ya maelfu! Hawakuweza kuamini onyo wala kutafuta kimbilio ndani ya safina. Watu wa zarau wakaonyesha kwa mwandamano usiobadilika wa majira, mbingu za rangi ya samawi zisizonyesha mvua kamwe. Katika zarau wakatangaza mhubiri wa haki kama mwenye juhudi ya kishenzi. Wakaenda zao, kujikaza zaidi kwa njia zao mbovu kuliko mbele. Lakini kwa wakati uliotajwa Hukumu za Mungu zikaanguka juu ya waliokataa huruma yake. Wenye Mashaka na Wasioamini Kristo alisema kwamba kama vile watu wa siku za Noa “hawakujua hata garika ilipokuja na kuwaondosha wote; ndivyo kutakavyokuwa kuja kwa Mwana wa watu.” Matayo 24:39. Wakati watu wanaojidai kuwa watu wa Mungu wanapojiunga pamoja na dunia, wakati anasa ya dunia inakuwa anasa ya kanisa, wakati wote wanapotazamia miaka nyingi ya mafanikio ya kidunia--ndipo, kwa gafula kama nuru ya umeme, utakuja mwisho wa matumaini yao ya uongo. Kama vile Mungu alivyotuma mtumishi wake kwa kuonya dunia juu ya kuja kwa Garika, ndivyo alivyotuma wajumbe waliochaguliwa kujulisha ukaribu wa hukumu ya mwisho. Na kama watu wa wakati wa Noa walichekelea kwa kuzarau ubashiri wa muhubiri wa haki, ndivyo hivyo katika siku za Miller wengi kati ya wale wanaojidai kuwa watu wa Mungu wakachekelea maneno ya maonyo. Hapo hapakuwa tena na ushahidi wa mwisho wakuonyesha kwamba makanisa yalitoka kwa Mungu kuliko machukio yaliyoamshwa na ujumbe huu uliotumwa na Mungu. Wale waliokubali mafundisho ya kuja waliona kwamba ilikuwa wakati wa kukamata msimamo. “Mambo ya umilele yakawa kwao kitu cha kweli. Mbingu ililetwa karibu, na walijiona wao wenyewe kuwa na kosa mbele za Mungu.” Wakristo walifanywa kuona kwamba wakati ulikuwa karibu, mambo walipashwa kutendea wenzao yalipaswa kufanywa kwa upesi. Umilele ulionekana kufunguliwa mbele yao. Roho wa Mungu alitoa uwezo kwa miito yao kujitayarisha kwa ajili ya siku ya Mungu. Maisha yao ya siku kwa siku ilikuwa mi laumu kwa washiriki wa kanisa wasiotakaswa. Hawa hawakutaka kusumbuliwa katika furaha yao, kutafuta feza, na tamaa ya nguvu kwa ajili ya heshima ya kidunia. Ndipo wakapinga imani ya kiadventisti. Wapinzani wakajitahidi kupinga uchunguzi kwa kufundisha kwamba mambo ya unabii yalitiwa muhuri. Kwa hiyo Waprotestanti wakafuata nyayo za washiriki wa kanisa la Roma. 137
- Page 93 and 94: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mti
- Page 95 and 96: Kupinga ya Kiprotestanti Calvin hak
- Page 97 and 98: Kupinga ya Kiprotestanti Tena mkuta
- Page 99 and 100: Kupinga ya Kiprotestanti Ngurumo ya
- Page 101 and 102: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 13. K
- Page 103 and 104: Kupinga ya Kiprotestanti kidogo. Ka
- Page 105 and 106: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 14. U
- Page 107 and 108: Kupinga ya Kiprotestanti hawa walio
- Page 109 and 110: Kupinga ya Kiprotestanti Mioto ya u
- Page 111 and 112: Kupinga ya Kiprotestanti Uharibifu
- Page 113 and 114: Sababu yake ya Kweli Kupinga ya Kip
- Page 115 and 116: Kupinga ya Kiprotestanti kwa hali y
- Page 117 and 118: Kupinga ya Kiprotestanti Mmojawapo
- Page 119 and 120: Kupinga ya Kiprotestanti kazi wakal
- Page 121 and 122: Kupinga ya Kiprotestanti Kosa la Ha
- Page 123 and 124: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 16. K
- Page 125 and 126: Kupinga ya Kiprotestanti angeweza k
- Page 127 and 128: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 17. A
- Page 129 and 130: Kupinga ya Kiprotestanti watu elfu
- Page 131 and 132: Kupinga ya Kiprotestanti Ilikuwa ja
- Page 133 and 134: Kupinga ya Kiprotestanti kumpokea m
- Page 135 and 136: Kupinga ya Kiprotestanti “Niliona
- Page 137 and 138: Kupinga ya Kiprotestanti milele.”
- Page 139 and 140: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 141 and 142: Kupinga ya Kiprotestanti tarehe hii
- Page 143: Kupinga ya Kiprotestanti wakati wa
- Page 147 and 148: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 19. S
- Page 149 and 150: Kupinga ya Kiprotestanti Zahabu saf
- Page 151 and 152: Kupinga ya Kiprotestanti kwa uangal
- Page 153 and 154: Kupinga ya Kiprotestanti Miaka mita
- Page 155 and 156: Kupinga ya Kiprotestanti Imani ya n
- Page 157 and 158: Kupinga ya Kiprotestanti Watu wakas
- Page 159 and 160: Kupinga ya Kiprotestanti Lakini wal
- Page 161 and 162: Kupinga ya Kiprotestanti Giza ya ki
- Page 163 and 164: Kupinga ya Kiprotestanti Mwanamke (
- Page 165 and 166: Kupinga ya Kiprotestanti kupendeza
- Page 167 and 168: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 22. U
- Page 169 and 170: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mat
- Page 171 and 172: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 173 and 174: Kupinga ya Kiprotestanti wazi, akap
- Page 175 and 176: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 23. S
- Page 177 and 178: Kupinga ya Kiprotestanti ya mbingun
- Page 179 and 180: Kupinga ya Kiprotestanti mufano kuz
- Page 181 and 182: Kupinga ya Kiprotestanti kufanyika
- Page 183 and 184: “Tazama, Bwana Arusi Anakuja” K
- Page 185 and 186: Kupinga ya Kiprotestanti Wayuda was
- Page 187 and 188: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa kujita
- Page 189 and 190: Kupinga ya Kiprotestanti linainua k
- Page 191 and 192: Kupinga ya Kiprotestanti “Mnyama
- Page 193 and 194: Kupinga ya Kiprotestanti kutolewa k
Kupinga ya Kiprotestanti

kutosha; na ile haiwezi kutusadikisha kwamba tunakuwa katika kosa; Neno la Mungu pekee

linaweza kugeuza maoni yetu. Hukumu yetu ilifanyika kwa kusudi pamoja na maombi, kama

tulivyoona ushuhuda katika Maandiko.”

Wakati uovu wambele ya garika ulipomsukuma Mungu kuleta garika duniani, kwanza

akawajulisha kusudi lake. Kwa miaka 120 likasikiwa onyo kwa kutubu. Lakini

hawakuliamini. Wakazarau mjumbe wa Mungu. Kama ujumbe wa Noa ulikuwa wa kweli,

sababu gani watu wote wa dunia hawakuuona na kuuamini? Tendo la kudai haki la mtu mmoja

kupinga hekima ya maelfu! Hawakuweza kuamini onyo wala kutafuta kimbilio ndani ya

safina.

Watu wa zarau wakaonyesha kwa mwandamano usiobadilika wa majira, mbingu za rangi

ya samawi zisizonyesha mvua kamwe. Katika zarau wakatangaza mhubiri wa haki kama

mwenye juhudi ya kishenzi. Wakaenda zao, kujikaza zaidi kwa njia zao mbovu kuliko mbele.

Lakini kwa wakati uliotajwa Hukumu za Mungu zikaanguka juu ya waliokataa huruma yake.

Wenye Mashaka na Wasioamini

Kristo alisema kwamba kama vile watu wa siku za Noa “hawakujua hata garika ilipokuja

na kuwaondosha wote; ndivyo kutakavyokuwa kuja kwa Mwana wa watu.” Matayo 24:39.

Wakati watu wanaojidai kuwa watu wa Mungu wanapojiunga pamoja na dunia, wakati anasa

ya dunia inakuwa anasa ya kanisa, wakati wote wanapotazamia miaka nyingi ya mafanikio

ya kidunia--ndipo, kwa gafula kama nuru ya umeme, utakuja mwisho wa matumaini yao ya

uongo. Kama vile Mungu alivyotuma mtumishi wake kwa kuonya dunia juu ya kuja kwa

Garika, ndivyo alivyotuma wajumbe waliochaguliwa kujulisha ukaribu wa hukumu ya

mwisho. Na kama watu wa wakati wa Noa walichekelea kwa kuzarau ubashiri wa muhubiri

wa haki, ndivyo hivyo katika siku za Miller wengi kati ya wale wanaojidai kuwa watu wa

Mungu wakachekelea maneno ya maonyo.

Hapo hapakuwa tena na ushahidi wa mwisho wakuonyesha kwamba makanisa yalitoka

kwa Mungu kuliko machukio yaliyoamshwa na ujumbe huu uliotumwa na Mungu. Wale

waliokubali mafundisho ya kuja waliona kwamba ilikuwa wakati wa kukamata msimamo.

“Mambo ya umilele yakawa kwao kitu cha kweli. Mbingu ililetwa karibu, na walijiona wao

wenyewe kuwa na kosa mbele za Mungu.”

Wakristo walifanywa kuona kwamba wakati ulikuwa karibu, mambo walipashwa

kutendea wenzao yalipaswa kufanywa kwa upesi. Umilele ulionekana kufunguliwa mbele

yao. Roho wa Mungu alitoa uwezo kwa miito yao kujitayarisha kwa ajili ya siku ya Mungu.

Maisha yao ya siku kwa siku ilikuwa mi laumu kwa washiriki wa kanisa wasiotakaswa. Hawa

hawakutaka kusumbuliwa katika furaha yao, kutafuta feza, na tamaa ya nguvu kwa ajili ya

heshima ya kidunia. Ndipo wakapinga imani ya kiadventisti.

Wapinzani wakajitahidi kupinga uchunguzi kwa kufundisha kwamba mambo ya unabii

yalitiwa muhuri. Kwa hiyo Waprotestanti wakafuata nyayo za washiriki wa kanisa la Roma.

137