You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

chache tu mbele ya kutimilika kwake akaandika: “Itamalizika kwa tarehe 11 ya Agosti, 1840,

wakati mamlaka ya Ottoman katika Constantinople kuweza kutazamiwa kuvunjika.”

Maonyo Yalitimilika

Kwa wakati kabisa uliotajwa, Turkey ilikubali ulinzi wa mamlaka za mapatano ya Ulaya

na kwa hivyo ikajitia yenyewe chini ya utawala wa mataifa ya Kikristo. Jambo kwa halisi

kweli likatimiliza ukashiri. (Tazama Nyongezo.) Watu wengi walisadikishwa na kanuni za

maelezo ya unabii yaliyokubaliwa na Miller na wafuasi wake. Watu wenye elimu na cheo

wakajiunga pamoja na Miller katika kuhubiri na kutangaza maonyo yake. Tangu 1840 hata

1844 kazi ikaenea kwa upesi.

William Miller alikuwa na akili za kichwa cha nguvu, na akaongeza kwa haya hekima ya

mbinguni kwa kujiunga mwenyewe na Chemchemi ya hekima. Aliamuru heshima po pote,

ukamilifu na tabia njema vilitumiwa. Kwa damani unyenyekevu wa Kikristo, alikuwa

muangalifu na mpole kwa wote, tayari kusikiliza wengine na kupima mabishano yao.

Alijaribu maelezo yote kwa Neno la Mungu, na mawazo yake halisi na maarifa ya Maandiko

vikamwezesha kukanusha makosa.

Lakini, kama pamoja na Watengenezaji wa kwanza, kweli alizoonyesha hazikukubaliwa

na walimu wengi wa dini. Kwa hivyo hawa hawakuweza kudumisha hali yao kwa Maandiko,

wakarejea kwa mafundisho ya watu, haya kiasili cha Wababa. Lakini Neno la Mungu lilikuwa

ni ushuhuda pekee uliokubaliwa na wahubiri wa kweli wa kuja kwa Yesu. Cheko na zarau

vilitumiwa kwa upande wa adui katika kusingizia wale waliotazamia kwa furaha juu ya kurudi

kwa Bwana wao na walikuwa wakijitahidi kuishi maisha takatifu na kutayarisha wengine kwa

kuonekana kwake. Ilifanyika kuonyesha zambi kwa kujifunza mambo ya unabii wa kuja kwa

Kristo na mwisho wa dunia. Kwa hivyo kazi ya mapadri wa watu wengi ikapunguza imani

katika Neno la Mungu. Mafundisho yao yakafanya watu kuwa watu kutokuwa Waaminifu,

na wengi wakajiruhusu kwa kutembea kwa tamaa mbaya. Halafu watenda maovu

wakayaweka yote juu ya Waadventisti.

Ingawa Miller akavuta makundi ya wasikilizi wenye akili, jina lake lilitajwa kwa shida na

magazeti ya dini isipokuwa tu kwa cheko ao mashitaki. Waovu, waliposukumwa na walimu

wa dini, wakakimbilia kwa mabisho ya matukano juu yake na kazi yake. Mzee huyu mwenye

imvi aliyeacha makao yake ya kupendeza kwa kusafiri kwa garama yake mwenyewe kuletea

dunia onyo kubwa la hukumu inayokaribia akasitakiwa kama upumbavu.

Usikivu na Kutokuamini

Usikivu ukaendelea kuongezeka. Kutoka kwa makumi mawili na mamia, makutano

yakaongezeka kwa maelfu mengi. Lakini baada ya wakati, upinzani ulionekana juu ya hawa

waliogeuka, makanisa yakaanza kuchukua hatua za kutiisha kwa wale waliokubali maoni ya

Miller. Jambo hili likaita jibu kwa kalamu yake: “Kama tunakuwa wakosefu ninawaomba

mtuonyeshe kwa namna gani kosa letu linakuwa kutoka katika neno la Mungu; tulichekwa ya

136