12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

wakati wa jua kali kwa kuomba na kusifu. Hapo hapakuwa na wasiwasi wa kupita kiasi. Kazi

yake kama ile ya Watengenezaji wa kwanza ikaamsha zamiri kuliko kuchocheza tamaa tu.

Katika mwaka 1833 Miller akapokea ruhusa ya kuhubiri kwa Kanisa la Baptiste. Hesabu

kubwa ya wahuduma wa kanisa lake wakakubali kazi yake; ilikuwa ni kwa ukubali wao wa

kawaida ambao akaendelea na kazi zake. Akasafiri na kuhubiri bila kukoma, bila kupokea

mali ya kutosha kwa ajili ya gharama ya kusafiri kwa mahali alipoalikwa, hivi kazi yake kwa

ajili ya watu wote ilikuwa kodi nzito kwa mali yake.

“Nyota Zitaanguka”

Katika mwaka 1833 ishara za mwisho zikaonekana zilizoahidiwa na Mwokozi kama dalili

ya kuja kwake kwa mara ya pili: “Nyota zitaanguka toka mbinguni.” Na Yoane katika Ufunuo

akasema, “Na nyota za mbinguni zikaanguka juu ya dunia kama vile mtini unavyotupa

matunda mabichi yake, wakati unapotikiswa na upepo mkubwa.” Matayo 24:29; Ufunuo 6:13.

Unabii huu ulipata utimilifu wa kushangaza katika wingi wa vimondo (nyota ipitayo upesi

mbinguni) vya Novemba 13, 1833, ni tamasha ya kushangaza ya nyota ambayo historia

hulinda kumbukumbu yake. “Kamwe mvua haikuanguka tena kubwa kuliko vimondo

vilivyoanguka juu ya dunia; mashariki, mangaribi, kaskazini na kusini, ilikuwa namna moja.

Katika neno moja, mbinguni pote kulionekana katika mwendo... Tangu saa nane hata asubui,

mbingu kuwa bila mawingu kabisa na kweupe, mwendo wa daima wa miangaza yenye kungaa

ya ajabu ikalindwa mbinguni mwote.”

Ilionekana kwamba nyota zote za mbinguni zilipatana kukutana pahali pa karibu pa opeo,

na zilikuwa zikiendelea kurushwa wakati ule ule, kwa upesi wa umeme, kwa pande zote za

upeo wa macho; na huku hazikuisha--maelfu kwa upesi katika njia za maelfu, kama kwamba

ziliumbwa kwa ajili ya tukio lile.” “Picha halisi zaidi ya mtini kuangusha tini zake

zinapopeperushwa na upepo wa nguvu, ndiyo si vyepesi kueleza tukio hili.”

Katika gazeti la biashara la New York la tarehe 14, Novemba 1833, kukatokea nakala kwa

ajili ya jambo hili; “Hakuna mtu wa elimu ya elimu zote (philosophe) wala mwalimu aliyetoa

habari wala kuandika tukio, ninawaza, kama lile la jana asubui. Nabii miaka elfu moja mia

nane iliyopita akaitabiri sawasawa, kama tukiwa kwa hatari ya kufahamu kwamba kuanguka

kwa nyota hakika ni kuanguka kwa nyota,... katika maana ya pekee kwamba inawezekana

kwa kweli.”

Ndivyo ilivyokuwa onyesho la dalili zile za kuja kwake, kuhusu habari ambazo Yesu

aliambia wanafunzi wake: “Wakati munapoona maneno haya yote, mjue ya kuwa yeye ni

karibu, hata kwa milango.” Matayo 24:33. Wengi walioshuhudia kuanguka kwa nyota

walikutazama kama mjumbe wa hukumu ijayo.

Katika mwaka 1840 utimilizo kubwa mwingine wa unabii ukaamsha usikizi wa mahali

pengi. Miaka miwili mbele, Josiah Litch akatangaza habari ya Ufunuo 9, kutabiri kuanguka

kwa Ufalme wa Ottoman “Katika A.D. 1840, siku moja katika mwezi wa Agosti.” Siku

135

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!