12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

ya kupendeza sana, wala ya uvumilivu wa bidii wa roho yangu kwa ajili ya ushirika katika

furaha ya waliokombolewa... Aa, kweli ya mwanga na utukufu ya namna gani iliyotokea! ...

“Swali likaja nyumbani kwangu kwa nguvu nyingi kuhusu habari ya kazi yangu kwa

ulimwengu, katika maoni ya ushuhuda ambao ulihusu roho yangu mwenyewe.” Hakuweza

lakini kufikiri kwamba ilikuwa wajibu wake kutoa kwa wengine nuru ambayo aliyoipata.

Alitazamia upinzani kwa wasiomcha Mungu, lakini alikuwa na tumaini kwamba Wakristo

wote watafurahi katika tumaini la kukutana na Mwokozi. Alisita kufundisha juu ya wokovu

wa utukufu, upesi` kutimilika, isiwe angekuwa katika kosa na kukosesha wengine. Kwa hiyo

akaongozwa kukumbusha na kufikiri kwa uangalifu magumu yote ambayo ilionekana

yenyewe kwa roho yake. Miaka tano ya kujifunza ikamletea kusadikishwa kwa usahihi wa

musimamo wake.

“Wende na Ulihubiri kwa Uiimwengu”

“Wakati nilikuwa katika kazi zangu,” akasema, “nikasikia sauti kukariri katika masikio

yangu, `Wende na uambie ulimwengu hatari yao.’ Maneno haya yalikuwa yakitokea daima

kwangu: `Wakati ninapomwambia mwovu; kama mwovu Ee mwovu, hakika utakufa, wala

husemi kuonya mwovu aache njia yake; mwovu yule atakufa katika uovu wake, lakini damu

yake nitaitaka mkononi mwako.’ Nikaona kama mwovu angeweza kuonywa, wengi miongoni

mwao wangalitubu; na kama hawakuonywa, damu yao ingeweza kutakwa mkononi

mwangu.” Maneno yalikuwa yakimrudia kwa akili yake: “Wende na ulihubiri kwa

ulimwenguni; damu yao nitaitaka mkononi mwako.” Akangoja mda wa miaka tisa, mzigo

ulizidi kulemea kwa roho yake, hata katika mwaka 1831 yeye kwa mara ya kwanza kwa wazi

akatoa sababu za imani yake.

Alikuwa sasa na miaka makumi tano, hakuzoea kusema mbele ya watu wengi, lakini kazi

zake zikabarikiwa. Mafundisho yake ya kwanza yakafuatwa na mwamusho wa dini. Jamaa

kumi na tatu isipokuwa tofauti ya watu wawili,zilitubu. Alikuwa akilazimishwa kuhubiri kwa

mahali pengine, na karibu pahali pote wenye zambi walikuwa wakigeuka. Wakristo

waliamshwa kwa utakaso mkubwa, na watu wenye imani ya kuwako kwa Mungu lakini

hawakubali mambo ya dini na makafiri (wasioamini) wakaongozwa kwa maarifa ya ukweli

wa Biblia. Mahubiri yake yakaamsha akili ya watu na kuzuia mambo ya anasa ya kidunia

yaliyokuwa yakikua na ya kutamanisha maisha.

Katika mahali pengi makanisa ya Kiprotestanti karibu aina zote wakamfungulia kwake,

na mialiko mara kwa mara ikaja kutoka kwa wahuduma. Ilikuwa desturi yake ya kutotumika

mahali wasipomwalika, lakini kwa upesi akajiona mwenyewe hawezi kutimiza hata kwa nusu

ya mialiko iliyokuwa ikimfikia. Wengi wakasadikishwa kwa hakika na ukaribu wa kuja kwa

Kristo na mahitaji yao ya kujitayarisha. Katika miji mikubwa mingine, wenye duka ya vileo

vikali na wakageuza duka zao kuwa vyumba vya mikutano; nyumba za michezo ya kamari

zikavunjwa; makafiri na hata na wapotovu walioachwa wengi wakabadilika. Mikutano ya

maombi ikaanzishwa na makanisa mbali-mbali karibu kila saa, wachuuzi wakakusanyika

134

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!