Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti siku 2300; malaika Gabrieli, ingawa aliagizwa kwa kufahamisha Danieli njozi, akamupa tu sehemu ya maelezo. Kwa sababu mateso ya kutisha ilifaa kuanguka juu ya kanisa ilikuwa haikufunuliwa kwa njozi ya nabii, hakuweza kuvumilia tena. Danieli “akazimia, na kugonjwa siku chache.” “Nikashangaa kwa maono,” akasema, “lakini hakuna aliyeyafahamu.” Danieli 8:27. Lakini Mungu akaagiza mjumbe wake, “Fahamisha mtu huyu maono.” Kwa kutii, malaika akarudi kwa Danieli, kusema: “Nimekuja sasa ili nikupe akili upate kufahamu ... kwa sababu hii elewa maneno haya na kufahamu maono.” Jambo moja la maana katika sura ya 8 liliachwa bila kufasiriwa, yaani, siku 2300; kwa hiyo malaika, kwa kuendelea na maelezo yake, akaeleza sana juu ya wakati: “Mda wa majuma makumi saba umeamriwa juu ya watu wako na juu ya mji wako mtakatifu... Ujue basi na kufahamu ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kujenga Yerusalema hata mupakaliwa, masiya mkubwa, yatakuwa majuma saba na majuma makumi sita na mawili; njia kuu itajengwa tena, na ukuta, hata katika nyakati za taabu. Na nyuma ya majuma makumi sita na majuma mawili massiah atakataliwa mbali, lakini ni kwake mwenyewe: ... Naye atafanya agano la nguvu pamoja na wengi kwa juma moja: na kwa nusu ya juma atakomesha kafara na toleo.” Danieli 8:16; 9:22,23, 24-27. Malaika alitumwa kwa Danieli kwa kueleza jambo aliloshindwa kufahamu “Hata mangaribi na asubui ya siku elfu mbili mia tatu; ndipo Pahali patakatifu patasafishwa.” Maneno ya kwanza ya malaika ni haya, “Mda wa majuma makumi saba umeamriwa juu ya watu wako na juu ya mji wako.” Neno umeamriwa kwa halisi maana yake “atakatiliwa mbali.” Majuma makumi saba, miaka 490, ilipaswa kukatiliwa mbali kuwekwa kando kwa ajili ya Wayahudi. Mda wa Nyakati Mbili Zilianza Pamoja Lakini kukatiliwa mbali kwa nini? Hivi siku 2300 zilikuwa ni mda tu wa wakati uliotajwa katika sura 8, majuma makumi saba yanapaswa basi kuwa sehemu ya siku 2300. Nyakati mbili hizo zinapaswa kuanza pamoja, majuma makumi saba tangu “kuwekwa amri” ya kutengeneza na kujenga Yerusalema. Kama tarehe ya amri hii ingeweza kupatikana, ndiyo ingekuwa mwanzo wa uhakika wa siku 2300. Katika sura ya saba ya Ezra amri inapatikana, ilitolewa na Artasasta, mfalme wa Persia, katika mwaka 457 B.C. Wafalme watatu katika kuanzisha na kutimiza amri, wakaifanya kwa utimilivu uliotakiwa na unabii kwa kutia alama ya mwanzo wa mwaka 2300. Kukamata miaka 457 B.C., wakati amri ilipotimia, kama tarehe ya “amri”, kila hatuwa ya majuma makumi saba ikaonekana katika kutimilika. (Tazama Nyongezo.) Kwa kuendelea kwa kutengeneza na kujenga Yerusalema hata Masiya Mfalme itakuwa majuma saba, na majuma makumi sita na mawili”majuma makumi sita na kenda, ao miaka 483. Amri ya Artasasta ikatendeka katika wakati wa masika wa mwaka 457 B.C. Kutoka 132
Kupinga ya Kiprotestanti tarehe hii, miaka 483 ikafikia kwa wakati wa masika wa mwaka 27 A.D. Kwa wakati ule unabii huu ukatimilika. Katika wakati wa masika wa mwaka 27 A.D.Kristo akabatizwa na Yoane na akapakwa mafuta ya Roho. Baada ya ubatizo wake akaenda Galilaya, “akihubiri Habari njema ya ufalme wa Mungu akisema: Wakati umetimia.” Marko 1:14, 15. Habari Njema Imetolewa kwa Ulimwenguni “Naye ataimarisha na wengi muda wa juma moja” mwisho wa miaka saba ya mda uliogawanywa kwa Wayahudi. Kwa wakati huu, kutoka kwa mwaka 27 A.D. hata A.D. 34, Kristo na wanafunzi wake wakaeneza mwaliko wa Habari Njema zaidi kwa Wayahudi. Agizo la Mwokozi lilikuwa: “Musiende katika njia ya Mataifa, wala musiingie mji wo wote wa Wasamaria; lakini zaidi kwendeni kwa kondoo wapotevu za nyumba ya Israeli.” Matayo 10:5, 6. “Na kwa nusu ya juma atakomesha sadaka na toleo.” Katika mwaka A.D. 31,miaka tatu na nusu baada ya ubatizo wake, Bwana wetu alisulibishwa. Kwa kafara kubwa iliyotolewa kule Golgota, mfano ukakutana na kilicho asili ya mfano. Kafara zote na sadaka za kawaida za ibada zilipashwa kukomeshwa. Miaka 490 iliyogawanyiwa kwa Wayahudi ikamalizika katika mwaka A.D. 34. Kwa wakati ule, kwa njia ya tendo la Baraza (Sanhedrin) la Wayahudi, taifa likatia mhuri wa kukataa injili kwa kifo cha Stefano na mateso ya wafuasi wa Kristo. Ndipo ujumbe wa wokovu ukatolewa ulimwenguni. Wanafunzi wakalazimishwa na mateso kukimbia toka Yerusalema, “wakakwenda pahali po pote wakihubiri neno.” Matendo 8:4. Kwa hiyo maelezo yote ya mambo ya unabii yakatimia kwa ajabu sana. Mwanzo wa majuma makumi saba ukaimarishwa bila swali lo lote kwa mwaka 457 B.C., na kumalizika kwayo katika mwaka A.D. 34. Majuma makumi saba (siku 490) kukatwa kutoka kwa 2300, hapo kulikuwa siku 1810 zilizobakia. Baada ya mwisho wa siku 490, siku 1810 zilipashwa kutimia. Kutoka A.D. 34, miaka 1810 ikafika kwa mwaka 1844. Kwa hiyo siku 2300 za Danieli 8:14 zikamalizika katika 1844. Kwa kumalizika kwa mda kubwa huu wa unabii, “Pahali patakatifu patasafishwa”--ambaye wafafanisi wengi zaidi wanachanganya na kuja kwa mara ya pili--kukaimarishwa. (Tazama chart, p. 220.) Mwisho wa Kuhofisha Kwa mwanzo Miller hakuwa na matumaini hata kidogo ya kufikia mwisho ambao sasa alifikia. Yeye mwenyewe aliweza kwa shida sana kusadiki matokeo ya uchunguzi wake. Lakini ushuhuda wa Maandiko ulikuwa wazi kabisa kwa kuwa pembeni. Katika mwaka 1818 akafikia hakika maalum kwamba katika miaka makumi mawili na tano karibu Kristo angeonekana kwa ajili ya ukombozi wa watu wake. “Si hitaji kusema,” akasema Miller, “juu ya furaha ambayo inajaa moyoni mwangu kuhusu maoni ya matazamio 133
- Page 89 and 90: Kupinga ya Kiprotestanti watawala w
- Page 91 and 92: Kupinga ya Kiprotestanti kukaimaris
- Page 93 and 94: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mti
- Page 95 and 96: Kupinga ya Kiprotestanti Calvin hak
- Page 97 and 98: Kupinga ya Kiprotestanti Tena mkuta
- Page 99 and 100: Kupinga ya Kiprotestanti Ngurumo ya
- Page 101 and 102: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 13. K
- Page 103 and 104: Kupinga ya Kiprotestanti kidogo. Ka
- Page 105 and 106: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 14. U
- Page 107 and 108: Kupinga ya Kiprotestanti hawa walio
- Page 109 and 110: Kupinga ya Kiprotestanti Mioto ya u
- Page 111 and 112: Kupinga ya Kiprotestanti Uharibifu
- Page 113 and 114: Sababu yake ya Kweli Kupinga ya Kip
- Page 115 and 116: Kupinga ya Kiprotestanti kwa hali y
- Page 117 and 118: Kupinga ya Kiprotestanti Mmojawapo
- Page 119 and 120: Kupinga ya Kiprotestanti kazi wakal
- Page 121 and 122: Kupinga ya Kiprotestanti Kosa la Ha
- Page 123 and 124: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 16. K
- Page 125 and 126: Kupinga ya Kiprotestanti angeweza k
- Page 127 and 128: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 17. A
- Page 129 and 130: Kupinga ya Kiprotestanti watu elfu
- Page 131 and 132: Kupinga ya Kiprotestanti Ilikuwa ja
- Page 133 and 134: Kupinga ya Kiprotestanti kumpokea m
- Page 135 and 136: Kupinga ya Kiprotestanti “Niliona
- Page 137 and 138: Kupinga ya Kiprotestanti milele.”
- Page 139: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 143 and 144: Kupinga ya Kiprotestanti wakati wa
- Page 145 and 146: Kupinga ya Kiprotestanti kutosha; n
- Page 147 and 148: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 19. S
- Page 149 and 150: Kupinga ya Kiprotestanti Zahabu saf
- Page 151 and 152: Kupinga ya Kiprotestanti kwa uangal
- Page 153 and 154: Kupinga ya Kiprotestanti Miaka mita
- Page 155 and 156: Kupinga ya Kiprotestanti Imani ya n
- Page 157 and 158: Kupinga ya Kiprotestanti Watu wakas
- Page 159 and 160: Kupinga ya Kiprotestanti Lakini wal
- Page 161 and 162: Kupinga ya Kiprotestanti Giza ya ki
- Page 163 and 164: Kupinga ya Kiprotestanti Mwanamke (
- Page 165 and 166: Kupinga ya Kiprotestanti kupendeza
- Page 167 and 168: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 22. U
- Page 169 and 170: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mat
- Page 171 and 172: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 173 and 174: Kupinga ya Kiprotestanti wazi, akap
- Page 175 and 176: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 23. S
- Page 177 and 178: Kupinga ya Kiprotestanti ya mbingun
- Page 179 and 180: Kupinga ya Kiprotestanti mufano kuz
- Page 181 and 182: Kupinga ya Kiprotestanti kufanyika
- Page 183 and 184: “Tazama, Bwana Arusi Anakuja” K
- Page 185 and 186: Kupinga ya Kiprotestanti Wayuda was
- Page 187 and 188: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa kujita
- Page 189 and 190: Kupinga ya Kiprotestanti linainua k
Kupinga ya Kiprotestanti

tarehe hii, miaka 483 ikafikia kwa wakati wa masika wa mwaka 27 A.D. Kwa wakati ule

unabii huu ukatimilika. Katika wakati wa masika wa mwaka 27 A.D.Kristo akabatizwa na

Yoane na akapakwa mafuta ya Roho. Baada ya ubatizo wake akaenda Galilaya, “akihubiri

Habari njema ya ufalme wa Mungu akisema: Wakati umetimia.” Marko 1:14, 15.

Habari Njema Imetolewa kwa Ulimwenguni

“Naye ataimarisha na wengi muda wa juma moja” mwisho wa miaka saba ya mda

uliogawanywa kwa Wayahudi. Kwa wakati huu, kutoka kwa mwaka 27 A.D. hata A.D. 34,

Kristo na wanafunzi wake wakaeneza mwaliko wa Habari Njema zaidi kwa Wayahudi. Agizo

la Mwokozi lilikuwa: “Musiende katika njia ya Mataifa, wala musiingie mji wo wote wa

Wasamaria; lakini zaidi kwendeni kwa kondoo wapotevu za nyumba ya Israeli.” Matayo 10:5,

6.

“Na kwa nusu ya juma atakomesha sadaka na toleo.” Katika mwaka A.D. 31,miaka tatu

na nusu baada ya ubatizo wake, Bwana wetu alisulibishwa. Kwa kafara kubwa iliyotolewa

kule Golgota, mfano ukakutana na kilicho asili ya mfano. Kafara zote na sadaka za kawaida

za ibada zilipashwa kukomeshwa.

Miaka 490 iliyogawanyiwa kwa Wayahudi ikamalizika katika mwaka A.D. 34. Kwa

wakati ule, kwa njia ya tendo la Baraza (Sanhedrin) la Wayahudi, taifa likatia mhuri wa

kukataa injili kwa kifo cha Stefano na mateso ya wafuasi wa Kristo. Ndipo ujumbe wa

wokovu ukatolewa ulimwenguni. Wanafunzi wakalazimishwa na mateso kukimbia toka

Yerusalema, “wakakwenda pahali po pote wakihubiri neno.” Matendo 8:4.

Kwa hiyo maelezo yote ya mambo ya unabii yakatimia kwa ajabu sana. Mwanzo wa

majuma makumi saba ukaimarishwa bila swali lo lote kwa mwaka 457 B.C., na kumalizika

kwayo katika mwaka A.D. 34. Majuma makumi saba (siku 490) kukatwa kutoka kwa 2300,

hapo kulikuwa siku 1810 zilizobakia. Baada ya mwisho wa siku 490, siku 1810 zilipashwa

kutimia. Kutoka A.D. 34, miaka 1810 ikafika kwa mwaka 1844. Kwa hiyo siku 2300 za

Danieli 8:14 zikamalizika katika 1844. Kwa kumalizika kwa mda kubwa huu wa unabii,

“Pahali patakatifu patasafishwa”--ambaye wafafanisi wengi zaidi wanachanganya na kuja

kwa mara ya pili--kukaimarishwa. (Tazama chart, p. 220.)

Mwisho wa Kuhofisha

Kwa mwanzo Miller hakuwa na matumaini hata kidogo ya kufikia mwisho ambao sasa

alifikia. Yeye mwenyewe aliweza kwa shida sana kusadiki matokeo ya uchunguzi wake.

Lakini ushuhuda wa Maandiko ulikuwa wazi kabisa kwa kuwa pembeni.

Katika mwaka 1818 akafikia hakika maalum kwamba katika miaka makumi mawili na

tano karibu Kristo angeonekana kwa ajili ya ukombozi wa watu wake. “Si hitaji kusema,”

akasema Miller, “juu ya furaha ambayo inajaa moyoni mwangu kuhusu maoni ya matazamio

133