12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kosa. Yeye ambaye peke yake alipashwa kuwaokoa kwa hatari yao ya kifo amezarauliwa,

kutukanwa, kukataliwa, na alikuwa karibu kusulubiwa.

Kristo alipotazama Yerusalema, mwisho wa muji mzima, taifa lote, ulikuwa mbele yake.

Alisikia malaika mwangamizi pamoja na upanga ulioinuka juu ya mji ambao ulikuwa kwa

wakati mrefu makao ya Mungu. Katika mahali palepale ambapo baadaye pakashikwa na Tito

na jeshi lake, akatazama kwa bonde viwanja vitakatifu na mabaraza. Na machozi machoni

akaona kuta kuzungukwa na majeshi ya kigeni. Alisikia shindo la jeshi kutembea kwa vita,

sauti za wamama na watoto walililia mkate ndani ya muji uliozungukwa. Aliona nyumba yake

takatifu, majumba yake na minara, yakitolewa kwa ndimi za moto, fungu la kuharibika lenye

kuwaka na kutoka moshi.

Kutazama katika nyakati, aliona watu wa ahadi kutawanyika katika kila inchi, “kama

mavunjiko ya merikebu kwa pwani ya ukiwa”. Huruma ya Mungu, upendo mkuu, yakapata

usemi katika maneno ya kusikitisha: “Ee Yerusalema, unaoua manabii, na kuwapiga kwa

mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kukusanya watoto wako pamoja,

kama vile kuku anavyokusanya watoto wake chini ya mabawa yake, lakini ninyi

hamukutaka”! Matayo 23:37.

Kristo aliona katika Yerusalema mfano wa ulimwengu uliokazana katika kutoamini na

kuasi, ukijiharakisha kwa kukutana na hukumu za kulipiza kisasi cha Mungu. Moyo wake

ukashikwa na huruma kwa ajili ya waliohuzunishwa na walioteswa na dunia. Alitamani sana

kuwafariji wote. Alitaka kutoa roho yake kwa kifo kwa kuleta wokovu karibu nao.

Mtukufu wa mbinguni katika machozi! Mambo ile huonesha namna gani ni vigumu

kuokoa mwenye kosa kwamatokeo ya kuharibu sheria ya Mungu. Yesu aliona ulimwengu

kujitia katika madanganyo kama yale ambayo yalileta uharibifu wa Yerusalema. Zambi

kubwa ya Wayahudi ilikuwa ni kukataa Kristo; zambi kubwa ya ulimwengu ingekuwa

kukataa sheria ya Mungu, msingi wa serekali yake katika mbingu na dunia. Mamilioni katika

utumwa wa zambi,ambao watahukumiwa kwa mauti ya pili, waliweza kukataa kusikiliza

maneno ya kweli katika siku yao ya hukumu.

Uharibifu wa Hekalu Tukufu

Siku mbili kabla ya Pasaka, Kristo akaenda tena na wanafunzi wake kwa mlima wa

Mizeituni kutazama mji. Mara moja tena akatazama hekalu katika fahari ya kungaa kwake,

taji la uzuri. Solomono, aliyekuwa mwenye busara kuliko wafalme wa Israeli, alimaliza

hekalu la kwanza, jengo nzuri kuliko ambalo dunia haijaona. Baada ya maangamizi yake kwa

Nebukadneza, ikajengwa tena karibu miaka mia tano kabla ya kuzaliwa kwa Kristo.

Lakini hekalu la pili halikulingana na la kwanza katika uzuri. Hakuna wingu la utukufu,

hakuna moto kutoka mbinguni, ulioshuka juu ya mazabahu yake. Sanduku, kiti cha rehema,

na meza ya ushuhuda havikupatikana pale. Hakuna sauti kutoka mbinguni iliyojulisha kuhani

mapenzi ya Mungu. Hekalu la pili halikutukuzwa na wingu la utukufu wa Mungu, lakini

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!