12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

408 k.k - Yajenzi/ Kujenga upya wa Yerusalemu

Mwaka 27 - Ubatizo na Upako wa Yesu Kristo (Masihi). 27 Naye atafanya agano thabiti

na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na

dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu

iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu (Danieli 9:26-27)

Mwaka 31 - Kusulibiwa na kifo cha Yesu Kristo. 26 Na baada ya yale majuma sitini na

mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja

watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata

mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa. 27 Naye atafanya agano thabiti

na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na

dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu

iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu (Danieli 9:26, 27)

Mwaka 34 - Stefano Anapigwa kwa Mawe. Mwisho wa Wayahudi. Injili kwa Ulimwengu.

14

Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa

mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja (Mathayo 24: 14) 46 Paulo na Barnaba

wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza;

lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona nafsi zenu kuwa hamkustahili uzima wa

milele, angalieni, twawageukia Mataifa (Matendo ya Mitume 13:46)

Mwaka 70 - Uharibifu wa Yerusalemu 1 Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi

wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu. 2 Naye akajibu akawaambia,

Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo

halitabomoshwa. (Mathayo 24:1, 2) 15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile

lililonenwa na nabii Danielii, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu)… 21 Kwa

kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo

wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe (Mathayo 24: 15, 21)

Mwaka 1844 - Utakaso wa Hekalu Takatifu Zaidi na Mwanzo wa Hukumu Mbinguni.

1810 Siku / Miaka - Kazi ya Yesu Kristo kama Kuhani wetu Mkuu katika Hekalu la

Mbinguni. 14 Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa

Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. 15 Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza

kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika

mambo yote, bila kufanya dhambi. 16 Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe

rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji (Waebrania 4:14-16).

Kuvumbua Oroza ya Wakati wa Unabii

Miller akaendelea na uchunguzi wa mambo ya unabii, wakati wa usiku wote pamoja na

wakati wa mchana zikatolewa kwa majifunzo ambayo sasa yalionekana kuwa ya maana

kubwa. Katika sura yanane ya Danieli hakuweza kupata dalili kwa mahali halisi pa kuanzia

131

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!