12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kama wanafunzi wa elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini walikuwa walinzi waaminifu,

wenye bidii na wenye kuomba kuchunguza Maandiko, wangaliweza kujua wakati. Mambo ya

unabii yangeweza kuwafungulia matokeo yaliyopashwa kuwa. Lakini ujumbe ulitolewa na

watu wanyenyekevu. Wale waliozarau kutafuta nuru wakati inapokuwa karibu nao waliachwa

gizani. Lakini Mwokozi anatangaza, “Yeye anayenifuata hatatembea katika giza, lakini

atakuwa na nuru ya uzima.” Yoane 8:12. Kwa roho ile nyota fulani ya mwangaza wa

mbinguni itatumwa kwake kwa kumwongoza katika ukweli wote.

Kwa wakati wa kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo wakuhani na waandishi wa mji

Mtakatifu wangaliweza kutambua “ishara za wakati” na kutangaza kuja kwa yule

Aliyeahidiwa. Mika aliandika mahali pale pa kuzaliwa, Danieli, wakati wa kuja kwake. Mika

5:2; Danieli 9:25. Waongozi wa Wayahudi walikuwa bila sababu kama hawakujua. Ujinga

wao ulikuwa matokeo ya zarau lenye zambi.

Kwa faida kubwa sana waongozi wa Israeli wangalipashwa kujifunza pahali, wakati, hali

ya mambo, ya tukio kubwa sana katika historia ya dunia--kuja kwa Mwana wa Mungu. Watu

walipashwa kukesha ili wapate kumkaribisha Mkombozi wa ulimwengu. Lakini kule

Betelehemu wasafiri wawili waliochoka kutoka Nazareti wakapitia njia nyembamba kwa

mwisho wa upande wa mashariki ya mji, kutafuta kimbilio sababu ulikuwa usiku bila kuona

mahali pa kupangia. Hakuna milango iliyofunguliwa kwa kuwapokea. Katika kibanda kibovu

kilichotayarishwa kwa ajili ya mifugo, mwishowe wakapata kimbilio, na hapo Mwokozi wa

ulimwengu akazaliwa.

Malaika wakaagizwa kuchukua habari ya furaha kwa wale waliojitayarisha kuipokea na

walioweza kwa furaha kuijulisha. Kristo alijishusha hata akajivika hali ya binadamu,

kuchukua taabu isiyo na mwisho namna alipashwa kutoa roho yake sadaka kwa ajili ya zambi.

Lakini malaika walitamani kwamba hata katika kujishusha kwake Mwana wa Aliyejuu

angeweza kuonekana mbele ya watu na heshima na utukufu unaofaa tabia yake. Je, wakuu wa

inchi hawangekusanyika kwa mji mkuu wa Israeli kusalimia kuja kwake? Je, malaika

hawangemwonyesha kwa makutano yaliyomungojea?

Malaika mmoja alizuru ulimwengu kuona wanani waliojitayarisha kumkaribisha Yesu.

Lakini hakusikia sauti ya sifa kwamba mda wa kuja kwa Masiya umefika. Akakawia juu ya

mji uliochaguliwa na hekalu ikasimama kwa mda mahali kuwako kwa Mungu kulionekana

kwa miaka nyingi, lakini hata pale palikuwa na kutojali kwa namna moja. Wakuhani katika

sherehe na kiburi walikuwa wakitoa kafara za unajisi. Mafarisayo kwa sauti kuu

wakawaambia watu ao wakafanya maombi ya kujisifu kwa pembe za njia. Wafalme, watu wa

elimu zote (philosophes), waalimu, wote walikuwa wasiokumbuka jambo la ajabu kwamba

Mkombozi wa watu alikuwa karibu kuonekana.

Kwa mshangao mjumbe wa mbinguni alikuwa karibu kurudi mbinguni pamoja na habari

ya aibu sana, wakati alipovumbua kundi la wachungaji wakilinda makundi yao. Wakatamani

sana kuja kwa Mkombozi wa ulimwengu. Hapa palikuwa na kundi la watu waliojitayarisha

124

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!