Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Sura 30. Uadui wa Shetani ................................................................................................... 207 Sura 31. Pepo Wachafu ........................................................................................................ 209 Sura 32. Namna ya Kumshinda Shetani .............................................................................. 211 Sura 33. Kinacholala Ng’ambo ya Pili ya Kaburi ............................................................... 217 Sura 34. Roho za Wafu? ...................................................................................................... 224 Sura 35. Uhuru wa Zamiri Unatishwa ................................................................................. 229 Sura 36. Migogoro Inayokaribia .......................................................................................... 237 Sura 37. Maandiko - Mlinda Yetu Pekee ............................................................................. 242 Sura 38. Ujumbe wa Mungu Ulio wa Mwisho .................................................................... 246 Sura 39. Wakati wa Taabu ................................................................................................... 251 Sura 40. Ukombozi Mkubwa ............................................................................................... 259 Sura 41. Dunia katika Uharibifu .......................................................................................... 267 Sura 42. Vita Imemalizika ................................................................................................... 271 4

Kupinga ya Kiprotestanti Sura 1. Unabii wa Hali ya Mwicho wa Ulimwengu Kutoka kwa kilele cha Mizeituni, Yesu akatazama juu ya Yerusalema. Mbele ya makutano kulikuwa na majengo mazuri ya hekalu. Kushuka kwa jua kukaangazia weupe wa teluji wa kuta zake za marimari na kumulikia mnara wa zahabu na mnara mrefu mwembamba (Pinnacle). Mtoto gani wa Israeli aliweza kutazama juu ya maajabu haya bila kufurahi sana na kushangaa! Lakini mawazo mengine yalikuwa moyoni mwa Yesu. “Naye alipokaribia, akaona muji, akalia juu yake”. Luka 19:41. Machozi ya Yesu haikuwa kwa ajili yake mwenyewe, ingawa mbele yake kulikuwa Getesemane, mambo ya maumivu makubwa yaliyokaribia, na si mbali sana na, Kalvari, mahali pa kusulubiwa. Lakini haikuwa mambo hayo yaliyotia kivuli juu yake katika saa hii ya furaha. Alilia kwa ajili ya maelfu ya watu wa Yerusalema watakaoangamizwa. Historia ya zaidi ya miaka elfu ya upendeleo wa kipekee wa Mungu na ulinzi mkubwa, ulifunuliwa kwa watu wachaguliwa, ilifunguliwa kwa macho ya Yesu. Yerusalema uliheshimiwa na Mungu juu ya dunia yote. Bwana “amechagua Sayuni ... kuwa kao lake”. Zaburi 132:13. Kwa miaka mingi, manabii watakatifu walikuwa wakitoa ujumbe wa maonyo. Siku kwa siku damu ya wana kondoo ilikuwa ikitolewa, ikionyesha Mwana Kondoo wa Mungu. Israeli kama taifa angalilinda utii wake kwa Mungu, Yerusalema ungalisimama milele, mchaguliwa wa Mungu. Lakini historia ya wale watu waliopendelezwa ilikuwa habari ya kukufuru na kuasi. Zaidi kuliko upendo wa huruma wa baba, Mungu alikuwa mwenye “huruma kwa watu wake na makao yake”. 2 Mambo 36:15. Wakati maombi na makaripio yaliposhindwa, alituma zawadi bora sana ya mbinguni, Mwana wa Mungu Mwenyewe, kwa kutetea pamoja na muji usiotubu wa moyo mgumu. Kwa miaka mitatu Bwana wa nuru na utukufu alikuwa akiingia na kutoka miongoni mwa watu wake. “Akifanya kazi njema na kuponyesha wote walioonewa na Shetani”. Kuhubiri wokovu kwa wafungwa, na vipofu kupata kuona tena, kuwezesha viwete kutembea, na viziwi kusikia, kutakasa wenye ukoma, kufufua wafu, na kuhubiri Habari Njema kwa masikini. Tazama Matendo 10:38; Luka 4:18; Matayo 11:5. Mtembezi asiye na makao, aliishi kwa kusaidia wenye mahitaji na kupunguza misiba ya watu, kuwasihi kukubali zawadi ya uzima. Mawimbi ya huruma yaliyopingwa na waie waliokuwa na mioyo migumu, yakarudia na mwendo wa nguvu wa huruma, upendo usioelezeka. Lakini Israeli akamuacha Rafiki wake mwema na Msaidizi wa pekee. Maombezi ya upendo wake yakazarauliwa. Saa ya tumaini na musamaha ilikuwa ikipita upesi. Wingu lile ambalo lilikuwa likijikusanya katika miaka ya kukufuru na kuasi ilikuwa karibu kupasuka juu ya watu wenye 5

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 1. Unabii wa Hali ya Mwicho wa Ulimwengu

Kutoka kwa kilele cha Mizeituni, Yesu akatazama juu ya Yerusalema. Mbele ya makutano

kulikuwa na majengo mazuri ya hekalu. Kushuka kwa jua kukaangazia weupe wa teluji wa

kuta zake za marimari na kumulikia mnara wa zahabu na mnara mrefu mwembamba

(Pinnacle). Mtoto gani wa Israeli aliweza kutazama juu ya maajabu haya bila kufurahi sana

na kushangaa! Lakini mawazo mengine yalikuwa moyoni mwa Yesu. “Naye alipokaribia,

akaona muji, akalia juu yake”. Luka 19:41.

Machozi ya Yesu haikuwa kwa ajili yake mwenyewe, ingawa mbele yake kulikuwa

Getesemane, mambo ya maumivu makubwa yaliyokaribia, na si mbali sana na, Kalvari,

mahali pa kusulubiwa. Lakini haikuwa mambo hayo yaliyotia kivuli juu yake katika saa hii

ya furaha. Alilia kwa ajili ya maelfu ya watu wa Yerusalema watakaoangamizwa.

Historia ya zaidi ya miaka elfu ya upendeleo wa kipekee wa Mungu na ulinzi mkubwa,

ulifunuliwa kwa watu wachaguliwa, ilifunguliwa kwa macho ya Yesu. Yerusalema

uliheshimiwa na Mungu juu ya dunia yote. Bwana “amechagua Sayuni ... kuwa kao lake”.

Zaburi 132:13. Kwa miaka mingi, manabii watakatifu walikuwa wakitoa ujumbe wa maonyo.

Siku kwa siku damu ya wana kondoo ilikuwa ikitolewa, ikionyesha Mwana Kondoo wa

Mungu.

Israeli kama taifa angalilinda utii wake kwa Mungu, Yerusalema ungalisimama milele,

mchaguliwa wa Mungu. Lakini historia ya wale watu waliopendelezwa ilikuwa habari ya

kukufuru na kuasi. Zaidi kuliko upendo wa huruma wa baba, Mungu alikuwa mwenye

“huruma kwa watu wake na makao yake”. 2 Mambo 36:15. Wakati maombi na makaripio

yaliposhindwa, alituma zawadi bora sana ya mbinguni, Mwana wa Mungu Mwenyewe, kwa

kutetea pamoja na muji usiotubu wa moyo mgumu.

Kwa miaka mitatu Bwana wa nuru na utukufu alikuwa akiingia na kutoka miongoni mwa

watu wake. “Akifanya kazi njema na kuponyesha wote walioonewa na Shetani”. Kuhubiri

wokovu kwa wafungwa, na vipofu kupata kuona tena, kuwezesha viwete kutembea, na viziwi

kusikia, kutakasa wenye ukoma, kufufua wafu, na kuhubiri Habari Njema kwa masikini.

Tazama Matendo 10:38; Luka 4:18; Matayo 11:5.

Mtembezi asiye na makao, aliishi kwa kusaidia wenye mahitaji na kupunguza misiba ya

watu, kuwasihi kukubali zawadi ya uzima. Mawimbi ya huruma yaliyopingwa na waie

waliokuwa na mioyo migumu, yakarudia na mwendo wa nguvu wa huruma, upendo

usioelezeka. Lakini Israeli akamuacha Rafiki wake mwema na Msaidizi wa pekee. Maombezi

ya upendo wake yakazarauliwa.

Saa ya tumaini na musamaha ilikuwa ikipita upesi. Wingu lile ambalo lilikuwa

likijikusanya katika miaka ya kukufuru na kuasi ilikuwa karibu kupasuka juu ya watu wenye

5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!