12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

watu elfu makumi sita wakaangamizwa. Bahari mara ikarudi, na ikaacha kivuko kikavu; na

kurudi ndani yake, nakuinuka juu mita makumi tano ao zaidi juu ya daraja lake la kawaida.”

Tetemeko la inchi lilifanyika kwa sikukuu, wakati makanisa na nyumba za watawa zilijaa

na watu, wachache sana tu waliokoka.” “Hofu ya watu ilikuwa ya kupita kiasi kwa kuieleza.

Hakuna mtu aliyelia; hapakuwa na machozi mbele ya msiba kama huo. Wakakimbia huko na

huko, wakipayuka payuka na hofu na mshangao, wakipiga nyuso zao na vifua, kulia, `

Mesericordia! Ni mwisho wa dunia?’ Wamama wakasahau watoto wao, na kukimbia njiani

pamoja na sanamu za misalaba. Kwa bahati mbaya, wengi wakakimbilia kwa makanisa

kutafuta kimbilio; lakini sacramenti iliwekwa kwa bure; kwa bure viumbe maskini

walikumbatia mazabahu; masanamu, mapadri, na watu wakazikwa katika uharibifu moja

mbaya wa wote pamoja.”

Kutiwa giza kwa jua na Mwezi

Miaka makumi mbili na tano baadaye ishara ingine iliotajwa katika unabii ikaonekana -

Kutiwa giza kwa jua na mwezi. Wakati wa kutimilika kwake kulionyeshwa kabisa katika

mazungumzo ya Mwokozi na wanafunzi wake juu ya mlima wa Mizeituni. “Katika siku zile

nbaada ya mateso yale, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa nuru yake.” Marko 13:24. Siku

1260, ao miaka, zilimalizika katika mwaka 1798, robo ya karne mbele, mateso yalikuwa

karibu kuisha kabisa. Kufuata mateso haya, jua likatiwa giza. Kwa tarehe 19 mai 1780, unabii

huu ukatimilika.

Shahidi aliyejionea kwa macho katika Massachusetts akaeleza jambo hili kama ifuatavyo:

“Wingu nzito sana likatawanyika juu ya mbingu nzima isipokuwa ukingo mwembamba juu

ya upeo wa macho, na ilikuwa giza kama inavyokuwa kwa kawaida saa tisa kwa majira ya

baridi jioni... “Woga, mashaka, na hofu polepole vikajaa mioyoni mwa watu. Wanawake

wakasimama mlangoni, kutazama juu ya kipande cha inchi ya giza; watu wakarudi kutoka

kazini mwao katika mashamba; sermala akaacha vyombo vyake, mhunzi kuacha kiwanda

chake, mchuuzi kuacha meza yake. Vyuo vikafungwa, na kwa kutetemeka watoto

wakakimbilia kwao. Wasafiri wakaenda kutafuta kimbilio karibu sana ya nyumba ya

mashamba. “Ni kitu gani kita kuja?” Swali hili lilikuwa katika midomo yote na ndani ya

moyo. Ilionekana kwamba zoruba kali ilitaka kupita inchini, ao siku ya maangamizi ya vitu

vyote.

“Mishumaa ikatumiwa, mioto ya nyumbani ikaangaza kwa mwangaza mwingi kama usiku

wa wakati wa baridi, bila mwezi... Kuku wakatoka na kwenda kwa vituo vyao na kwenda

kulala, mifugo ikakusanyika kwa fito za malisho na kulala, vyura vikalia, ndege wakaimba

nyimbo zao za jioni, na popo wakaruka. Lakini watu walijua kwamba usiku ulikuwa haujafika

bado...

121

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!