12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kristo” lilikuwa “tumaini la baraka.” Tito 2:13. Paulo alionyesha kwamba ufufuo utafika

wakati wa kurudi kwa Mwokozi, wakati waliokufa katika Kristo * watakapofufuka, na

pamoja na wahai kuchukuliwa juu kukutana na Bwana katika mawingu. “Na hivi” akasema,

“tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi mufarijiane kwa maneno haya.” 1 Watesalonika

4:17.

Kule Patemo mwanafunzi mpendwa akasikia ahadi, “Ndiyo: ninakuja upesi.” Na jibu lake

linasimamia ombi la kanisa. “Amina, kuja Bwana Yesu.” Ufunuo 22:20. Kati ya gereza,

kigingi, mahali wanaponyongwa kwa sheria, pahali watakatifu na wafia dini waliposhuhudia

kwa ajili ya kweli, kutoka kwa karne nyingi za usemi wa imani yao na tumaini.”

Walipohakikishwa na ufufuo wa Yesu mwenyewe, na baadaye ufufuo wao wenyewe wakati

wa kuja kwake, kwa sababu hii, “akasema mmojawapo wa Wakristo hawa,” walizarau mauti,

na wakapatikana kuwa juu yake, wa Waldenses walitunzaimani ile ile, Wyccliffe, Luther,

Calvin, Knox, Ridley, na Baxter walitazamia kwa imani kurudi kwa Bwana. Ndiyo iliyokuwa

tumaini la kanisa la mitume, la “kanisa katika jangwa,” na la Watengenezaji.

Unabii hautabiri tu namna na kusudi la kuja kwa Kristo mara ya pili, bali huonyesha ishara

ambazo watu wanapashwa kujua wakati siku ile inapokaribia. “Na kutakuwa na ishara katika

jua na mwezi na nyota.” Luka 21:25. “...jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa nuru yake, na

nyota za mbingu zitaanguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika. Na wakati ule wataona

Mwana wa watu akikuja katika mawingu pamoja na uwezo kubwa na utukufu.” Marko 13:24-

26.

Muonyeshaji (nabii) basi anaonyesha mojawapo wa ishara zitakazo tangulia kuja kwa

mara ya pili: “... tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la inchi, jua likakuwa jeusi kama gunia

la manyoya, na mwezi wote ukakuwa kama damu.” Ufunuo 6:12.

Tetemeko la inchi lililotikisa Ulimwengu

Kwa kutimilika kwa unabii huu kulitokea katika mwaka 1755 tetemeko la inchi lililokuwa

la kutisha zaidi lililoandikwa. Lilijulikana kama tetemeko la inchi la Lisbon, likaenea Ulaya,

Afrika, na Amerika. Likasikiwa Groenland, Upande wa Magharibi ya Uhindi, katika Antilles,

Norvege na Swede, Uingereza na Irland, kwa eneo si chini kuliko kilometres milioni ine kwa

mraba. Katika Afrika mshindo ulikuwa karibu sana wa nguvu kama katika Ulaya. Sehemu

Kubwa ya Algiers (Mji mkuu wa Algeria) ikaharibiwa. Wimbi kubwa la kutisha likazamisha

pwani ya Espagne na ya Afrika na kudidimiisha miji.

Milima, “ingine katika milima inayo kuwa kubwa sana katika Portugal, ikatikiswa kwa

nguvu sana, tangu kwa misingi yao; na ingine kati yao ikafunguka kwa vilele vyao, ambayo

ilipasuka na kutengana kwa namna ya ajabu, mafungu makubwa yao kutupwa katika mabonde

ya karibu. Ndimi za moto imehadiziwa kutoka kwa milima hizo.”

Huko Lisbon “Sauti ya ngurumo ilisikiwa chini ya udongo, na bila kukawia baadae

kishindo kikali kikaangusha sehemu kubwa ya mji ule. Katika mwendo wa dakika karibu sita

120

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!