Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

“Nawaagiza mbele ya Mungu na malaika wake wenye kubarikiwa kwamba munifuate si

mbali kama nilivyomfuata Kristo. Kama Mungu angepashwa kufunua kitu cho chote kwenu

kwa chombo kingine chake, muwe tayari kukikubali kwa furaha mliyokuwa nayo kukubali

ukweli wa kazi yangu ya kuhubiri; kwa maana ninakuwa na tumaini kwamba Bwana anakuwa

na ukweli zaidi na nuru kuangazia ya neno lake takatifu.”

“Kwa upande wangu mimi, siwezi kusikitikia ya kutosha hali ya makanisa ya

matengenezo, ambayo ...haitaenda sasa mbali zaidi kuliko wasimamizi wao wa matengenezo.

Haiwezekani kuvuta watu wa dini ya Luther kufanya hatua moja zaidi mbali kuliko Luther

alivyoona; ... na watu wa imani ya Calvin, munawaona wanabakia pale ambapo mutu mkuu

wa Mungu aliwaacha, ambaye hata hivyo hakuona mambo yote. ... Ijapo walikuwa taa za

kuwaka na kuangaza katika wakati wao, lakini hawakujua shauri lote la Mungu, lakini kama

wangaliishi leo, wangekubali nuru mpya zaidi kama ile waliyokubali mara ya kwanza.”

“Kumbukeni ahadi yenu na agano pamoja na Mungu na pamoja na mtu kwa mwenzake,

kukubali nuru yo yote na ukweli utakaojulishwa kwenu kutoka kwa neno lake lililoandikwa;

lakini zaidi, mjihazari, nawasihi, kuhusu mnayokubali kwa ajili ya kweli, na kuilinganisha na

kupima uzito wake kwa maandiko mengine ya ukweli mbele ya kuikubali; kwani haiwezekani

kwa dunia la Kikristo ambayo ilitoka giza nzito kwa kuchelewa ifikie maarifa kamili mara

moja.”

Haja ya uhuru wa zamiri ikaongoza Wasafiri kuvuka bahari, kuvumukia magumu ya

jangwani, na kuweka msingi wa taifa kubwa. Lakini Wasafiri hawakufahamu bado kanuni ya

uhuru wa dini. Uhuru ambao walijitolea kafara sana kwa ajili yao wenyewe, hawakuwa tayari

kuutolea wengine. Mafundisho ambayo Mungu alitolea Kanisa haki ya kuongoza zamiri na

kuleza wazi na kuazibu uzushi ni mojawapo ya makosa makubwa ya Kanisa la Roma.

Watengenezaji hawakuwa na uhuru kabisa kwa roho ya Roma ya kutovumilia. Giza kubwa

sana ambayo Roma ilifunika Kanisa la Kikristo haikuondolewa kabisa.

Kanisa la serkali lilitengenezwa na wagandamizi, waamuzi walioruhusiwa kukomesha

uzushi. Kwa hiyo uwezo wa serkali ulikuwa mikononi mwa Kanisa. Mipango hii haikuleta

matokeo mengine isipokuwa mateso.

Roger Williams

Kama vile Wasafiri wa kwanza, Roger Williams akaja kwa Dunia Mpya kufurahia uhuru

wa dini. Lakini aliufahamu kwa namna ingine si kama Wasafiri, akaona mambo ambayo watu

wachache tu waliona, kwamba uhuru huu ulipashwa kuwa haki kwa watu wote. Alikuwa

mtafuti (atafutaye) wa bidii wa kweli. Williams alikuwa mtu wa kwanza katika Ukristo wa

kisasa kwa kuanzisha serkali inayosimamia kwa mafundisho ya uhuru wa zamiri.” “Watu ao

waamuzi wanaweza kukata shauri,” akasema, “ni nini inastahili kati ya mtu na mtu; lakini

wanapojaribu kufafanua wajibu wa mtu kwa Mungu, hapa wanaachana na Mungu, na hapo

hapawezi kuwa na salama; kwani ni wazi kwamba kama mwamuzi anakuwa na uwezo,

116