Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti na wakapatwa na lazima ya ufunuo wa mambo ya kimungu na dini ya hakika. Tokea wakati huu kazi za ujumbe wa kigeni zikapata maendeleo kuliko mbele. (Tazama Nyongezo.) Maendeleo katika ufundi wa uchapishaji ulisaidia sana kwa maenezi ya Biblia. Kupotea kwa upendeleo usio na haki wa zamani na ubaguzi wa taifa na mwisho wa uwezo wa ulimwengu, askofu wa Roma kukafungua njia kwa mwingilio wa Neno la Mungu. Sasa Biblia ikachukuliwa kwa kila sehemu ya dunia. Kafiri Voltaire akasema: “Nachoka kusikia kukariri kwamba watu kumi na mbili walianzisha dini ya kikristo.” Nitawaonyesha kwamba mtu mmoja anatosha kwa kuiangamiza” (N.B Missine,sentence). Mamilioni ya watu wakajiunga katika vita juu ya Biblia. Lakini ni mbali kwa kuiangamiza. Mahali palikuwa mia kwa wakati wa Voltaire, sasa panakuwa vitabu ama nakala mamia ya maelfu ya Kitabu cha Mungu. Katika maneno ya Mtengenezaji wa mwanzo, “Biblia ni chuma cha mfinyanzi iliyomaliza nyundo nyingi.” Chochote kitu kilichojengwa juu ya mamlaka ya mtu kitaangushwa; lakini kile ambacho kilijengwa juu ya mwamba wa Neno la Mungu, kitasimama milele 114
Kupinga ya Kiprotestanti Sura 16. Kutafuta Uhuru Katika Dunia Mpya Ijapo mamlaka na imani ya Roma mambo yale yalikataliwa, kanuni nyingi ziliingizwa katika ibada ya Kanisa la Uingereza. Ilidaiwa kwamba mambo yasiyokatazwa katika Maandiko hayakuwa na uovu wa hatari. Kwa kuyashika kunafaa kwa kupunguza shimo kubwa ambalo lilitenga makanisa ya matengenezo na Roma, na ilishurtishwa kwamba wangesaidia Wakatoliki kukubali imani ya Kiprotestanti. Kundi lingine halikuamua vile. Waliangalia desturi hizi kama dalili ya utumwa ambao walikombolewa. Walifikiri kwamba Mungu katika Neno lake ameimarisha maagizo kwa kutawala ibada yake, na kwamba watu hawana uhuru wa kuongeza kwa haya ao kutosha kwa haya. Roma ikaanza kulazimisha yale Mungu hakukataza,na ikaishia kukataza yale aliyo amuru wazi wazi. Wengi wakaangalia desturi za Kanisa la Kiingereza kama nguzo za ukumbusho wa ibada ya sanamu, na hawakuweza kujiunga kwa ibada yake. Lakini Kanisa lilisaidiwa na mamlaka ya serkali, haingeruhusu mafarakano. Mikutano isiyoruhusiwa kwa ajili ya ibada ilikatazwa chini ya malipizi ya kufungwa, kuhamishwa ao mauti. Kuwindwa, kuteswa, na kufungwa, watu walioishi maisha safi ya unyofu hawakuweza kutambua ahadi ya siku bora. Wengine wakakusudia kutafuta kimbilio katika Uhollande, wakasalitiwa katika mikono ya adui zao. Lakini wakavumilia kwa uaminifu na mwishowe wakashinda, na wakapata kimbilio katika pwani za urafiki. Waliacha nyumba zao na mali yao ya uchumi. Walikuwa wageni katika inchi ya kigeni, kurudia kwa kazi mpya ili wapate mkate wao. Lakini hawakupoteza wakati kwa uvivu ao kusikitika. Walimshukuru Mungu kwa ajili ya mibaraka waliyopata na wakawa na furaha katika ushirika wa kiroho wa raha ambao haukusumbuluwa. Mungu akageuza matokeo Wakati mkono wa Mungu ulionekana ukiwashota kuvuka bahari kwenda kwa inchi ambayo wanaweza kupata inchi na kuachia watoto wao uriti wa uhuru wa dini, wakaendelea katika njia ya maongozi ya Mungu. Mateso na kujihamisha vilikuwa vikifungua njia kwa uhuru. Wakati mara ya kwanza walipolazimishwa kujitenga kutoka kwa kanisa la Kiingereza, Watu walioishi maisha safi wakajiunga waowenyewe kwa maagano kama watu huru wa Bwana “kwa kutembea pamoja katika njia zake zote zilizojulishwa ao zinazopaswa kujulishwa kwao.” Hapa ndipo palikuwa na kanuni ya maana sana ya Kiprotestanti. Kwa kusudi hili Wasafiri wakatoka Uholandi kutafuta makao katika Dunia Mpya. Yohana Robinson, mchungaji wao, katika hotuba yake ya kuaga kwenda kwa mahamisho akasema: 115
- Page 71 and 72: Kupinga ya Kiprotestanti furaha na
- Page 73 and 74: Kupinga ya Kiprotestanti ulipashwa
- Page 75 and 76: Kupinga ya Kiprotestanti utukufu wa
- Page 77 and 78: Kupinga ya Kiprotestanti kuu wakimu
- Page 79 and 80: Kupinga ya Kiprotestanti aliyempele
- Page 81 and 82: Kupinga ya Kiprotestanti Alikuwa ch
- Page 83 and 84: Kupinga ya Kiprotestanti Wapadri wa
- Page 85 and 86: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 11. U
- Page 87 and 88: Kupinga ya Kiprotestanti nafasi ya
- Page 89 and 90: Kupinga ya Kiprotestanti watawala w
- Page 91 and 92: Kupinga ya Kiprotestanti kukaimaris
- Page 93 and 94: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mti
- Page 95 and 96: Kupinga ya Kiprotestanti Calvin hak
- Page 97 and 98: Kupinga ya Kiprotestanti Tena mkuta
- Page 99 and 100: Kupinga ya Kiprotestanti Ngurumo ya
- Page 101 and 102: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 13. K
- Page 103 and 104: Kupinga ya Kiprotestanti kidogo. Ka
- Page 105 and 106: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 14. U
- Page 107 and 108: Kupinga ya Kiprotestanti hawa walio
- Page 109 and 110: Kupinga ya Kiprotestanti Mioto ya u
- Page 111 and 112: Kupinga ya Kiprotestanti Uharibifu
- Page 113 and 114: Sababu yake ya Kweli Kupinga ya Kip
- Page 115 and 116: Kupinga ya Kiprotestanti kwa hali y
- Page 117 and 118: Kupinga ya Kiprotestanti Mmojawapo
- Page 119 and 120: Kupinga ya Kiprotestanti kazi wakal
- Page 121: Kupinga ya Kiprotestanti Kosa la Ha
- Page 125 and 126: Kupinga ya Kiprotestanti angeweza k
- Page 127 and 128: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 17. A
- Page 129 and 130: Kupinga ya Kiprotestanti watu elfu
- Page 131 and 132: Kupinga ya Kiprotestanti Ilikuwa ja
- Page 133 and 134: Kupinga ya Kiprotestanti kumpokea m
- Page 135 and 136: Kupinga ya Kiprotestanti “Niliona
- Page 137 and 138: Kupinga ya Kiprotestanti milele.”
- Page 139 and 140: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 141 and 142: Kupinga ya Kiprotestanti tarehe hii
- Page 143 and 144: Kupinga ya Kiprotestanti wakati wa
- Page 145 and 146: Kupinga ya Kiprotestanti kutosha; n
- Page 147 and 148: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 19. S
- Page 149 and 150: Kupinga ya Kiprotestanti Zahabu saf
- Page 151 and 152: Kupinga ya Kiprotestanti kwa uangal
- Page 153 and 154: Kupinga ya Kiprotestanti Miaka mita
- Page 155 and 156: Kupinga ya Kiprotestanti Imani ya n
- Page 157 and 158: Kupinga ya Kiprotestanti Watu wakas
- Page 159 and 160: Kupinga ya Kiprotestanti Lakini wal
- Page 161 and 162: Kupinga ya Kiprotestanti Giza ya ki
- Page 163 and 164: Kupinga ya Kiprotestanti Mwanamke (
- Page 165 and 166: Kupinga ya Kiprotestanti kupendeza
- Page 167 and 168: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 22. U
- Page 169 and 170: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mat
- Page 171 and 172: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 16. Kutafuta Uhuru Katika Dunia Mpya

Ijapo mamlaka na imani ya Roma mambo yale yalikataliwa, kanuni nyingi ziliingizwa

katika ibada ya Kanisa la Uingereza. Ilidaiwa kwamba mambo yasiyokatazwa katika

Maandiko hayakuwa na uovu wa hatari. Kwa kuyashika kunafaa kwa kupunguza shimo

kubwa ambalo lilitenga makanisa ya matengenezo na Roma, na ilishurtishwa kwamba

wangesaidia Wakatoliki kukubali imani ya Kiprotestanti.

Kundi lingine halikuamua vile. Waliangalia desturi hizi kama dalili ya utumwa ambao

walikombolewa. Walifikiri kwamba Mungu katika Neno lake ameimarisha maagizo kwa

kutawala ibada yake, na kwamba watu hawana uhuru wa kuongeza kwa haya ao kutosha kwa

haya. Roma ikaanza kulazimisha yale Mungu hakukataza,na ikaishia kukataza yale aliyo

amuru wazi wazi.

Wengi wakaangalia desturi za Kanisa la Kiingereza kama nguzo za ukumbusho wa ibada

ya sanamu, na hawakuweza kujiunga kwa ibada yake. Lakini Kanisa lilisaidiwa na mamlaka

ya serkali, haingeruhusu mafarakano. Mikutano isiyoruhusiwa kwa ajili ya ibada ilikatazwa

chini ya malipizi ya kufungwa, kuhamishwa ao mauti.

Kuwindwa, kuteswa, na kufungwa, watu walioishi maisha safi ya unyofu hawakuweza

kutambua ahadi ya siku bora. Wengine wakakusudia kutafuta kimbilio katika Uhollande,

wakasalitiwa katika mikono ya adui zao. Lakini wakavumilia kwa uaminifu na mwishowe

wakashinda, na wakapata kimbilio katika pwani za urafiki.

Waliacha nyumba zao na mali yao ya uchumi. Walikuwa wageni katika inchi ya kigeni,

kurudia kwa kazi mpya ili wapate mkate wao. Lakini hawakupoteza wakati kwa uvivu ao

kusikitika. Walimshukuru Mungu kwa ajili ya mibaraka waliyopata na wakawa na furaha

katika ushirika wa kiroho wa raha ambao haukusumbuluwa.

Mungu akageuza matokeo

Wakati mkono wa Mungu ulionekana ukiwashota kuvuka bahari kwenda kwa inchi

ambayo wanaweza kupata inchi na kuachia watoto wao uriti wa uhuru wa dini, wakaendelea

katika njia ya maongozi ya Mungu. Mateso na kujihamisha vilikuwa vikifungua njia kwa

uhuru.

Wakati mara ya kwanza walipolazimishwa kujitenga kutoka kwa kanisa la Kiingereza,

Watu walioishi maisha safi wakajiunga waowenyewe kwa maagano kama watu huru wa

Bwana “kwa kutembea pamoja katika njia zake zote zilizojulishwa ao zinazopaswa

kujulishwa kwao.” Hapa ndipo palikuwa na kanuni ya maana sana ya Kiprotestanti. Kwa

kusudi hili Wasafiri wakatoka Uholandi kutafuta makao katika Dunia Mpya. Yohana

Robinson, mchungaji wao, katika hotuba yake ya kuaga kwenda kwa mahamisho akasema:

115