12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kosa la Hatari

Kosa la mauti ambalo lilileta msiba wa namna hiyo kwa Ufransa lilikuwa kuitokujali kwa

ukweli huu mmoja mkubwa; uhuru wa kweli unaokuwa katikati ya makatazo ya sheria ya

Mungu. “Laiti ungalisikiliza maagizo yangu! Ndipo salama yako ingalikuwa kama mto, na

haki yako kama mawimbi ya bahari.” Isaya 48:18. Wale ambao hawatasoma fundisho kutoka

kwa Kitabu cha Mungu wanaalikwa kulisoma katika historia.

Wakati Shetani alitenda kwa njia ya kanisa la Roma kuongoza watu kuacha utii, kazi yake

ikageuka.. Kwa kazi ya Roho wa Mungu makusudi yake yakazuiwa kufikia matumizi yao

kamili. Watu hawakutafuta matokeo kwa mwanzo wake na kuvumbua asili ya taabu zao.

Lakini katika mapinduzi sheria ya Mungu iliwekwa kando kwa wazi na Baraza la Taifa. Na

katika Utawala wa Hofu Kuu uliofuata, kazi na matokeo yaliweza kuonekana kwa wote.

Kuvunja sheria ya haki na nzuri matunda yake inapaswa kuwa maangamizi. Roho wa

Mungu wa kiasi, ambaye analazimisha uaguzi juu ya uwezo mkali wa Shetani, uliotoka kwa

kiasi kikubwa, na yule ambaye furaha yake ni taabu ya watu aliruhusiwa kufanya mapenzi

yake. Wale waliochagua uasi waliachiwa kuvuna matunda yake. Inchi ikajaa na zambi.

Kutoka mitaa iliyoteketezwa na miji iliyoangamizwa kilio, cha kutisha kilisikiwa cha

maumivu makali. Ufransa ukatikisishwa kama kwa tetemeko. Dini, sheria, kanuni ya watu

wote, jamaa, serkali, na kanisa--vyote vikashindwa na mkono mpotovu ambao uliinuliwa

kupinga sheria ya Mungu.

Washuhuda waaminifu wa Mungu, waliochinjwa kwa uwezo wa dini ya yule “anayotoka

katika shimo pasipo mwisho,” hawakubakia kimya.” Na nyuma ya siku tatu na nusu, roho ya

uhai ikatoka kwa Mungu ikaingia ndani yao, wakasimama juu ya miguu yao; woga mkubwa

ukaangukia watu wote waliowatazama.” Ufunuo 11:11. Katika mwaka 1793 Baraza la Taifa

la Ufransa likaweka amri za kutenga Biblia kando. Miaka mitatu na nusu baadaye, shauri la

kutangua amri hizi likakubaliwa na mkutano ule ule. Watu wakatambua lazima ya imani

katika Mungu na Neno lake kama msingi wa uwezo na maarifa ya wema na ubaya.

Kwa habari ya “washuhuda wawili” (Maagano ya Kale na Jipya) nabii akatangaza zaidi:

“Wakasikia sauti kubwa kutoka mbingu ikisema kwao: Pandeni hata hapa. Wakapanda

mbinguni katika wingu, adui zao wakiwatazama.” Ufunuo 11:12. “Washahidi hawa wawili

wa Mungu” wakaheshimiwa zaidi kuliko mbele. Katika mwaka 1804 Chama cha Biblia cha

Uingereza na inchi za kigeni kikatengenezwa, kikafuatwa na matengenezo ya namna hii juu

ya bara la Ulaya. Katika mwaka 1816 chama cha Biblia cha Waamarica kikaimarishwa. Biblia

ikatafsiriwa tangu hapo katika mamia mengi ya lugha na matamko. (Tazama Nyongezo).

Mbele ya mwaka 1792, uangalifu kidogo ukatolewa kwa watu waliopasha kwenda

kufundisha na inchi za kigeni. Lakini karibu ya mwisho wa karne ya kumi na mnane

mabadiliko kubwa yakafanyika. Watu wakawa hawatoshelewi na kufuata akili za binadamu

113

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!