Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Mapinduzi yakaweka mashini yake ya kukata watu vichwa ya kwanza. Ni mahali pale ambapo, kwa karne ya kumi na sita, wafia dini wa kwanza wa imani ya Kiprotestanti walichomwa, watu wa kwanza walikatwa vichwa kwa karne ya kumi na mnani. Wakati amri za sheria ya Mungu ziliwekwa pembeni, taifa likaingia katika giza na machafuko ya mambo ya utawala. Vita juu ya Biblia katika historia ya ulimwengu ikajulikana kwa jina la Utawala wa hofu kuu. Yeye aliyeshinda leo akahukumiwa kesho yake. Mfalme, waongozi wa dini, na wakuu wakalazimishwa kujiweka chini ya mambo ya mabaya ya watu wenye wazimu. Wale walioamuru kifo cha mfalme mara wakamfuata kwa jukwaa. Machinjo makubwa ya wote waliozaniwa kuwa na uchuki kwa Mapinduzi yakakusudiwa. Ufransa ukawa shamba kubwa la mabishano, yaliyowayawaya kwa hasira kali ya tamaa. “Katika Paris,fujo ikafuata fujo ingine, na wakaaji wakajitenga katika machafuko ya fitina, yaliyoonekana yenye bidii si kwa kitu kingine bali kusudi moja. ... Inchi ilikuwa karibu kushindwa, majeshi yalikuwa yakifanya fujo kwa ajili ya deni ya malipo, wakaaji wa Paris walikuwa na njaa, mitaa ikaangamizwa na wanyanganyi, na utamaduni na maendeleo vilikuwa karibu kukomeshwa katika machafuko ya mambo ya utawala na upotovu.” Kwa yote haya watu wakajifunza mafundisho ya ukali na mateso ambayo Roma ilifundisha kwa nguvu sana. Haikuwa sasa wanafunzi wa Yesu waliokokotwa kwa kigingi. Ni Zamani walikuwa ao kuchinjwa wala kulazimishwa kujihamisha. “Damu ya wapadri ilitiririka juu ya majukwaa. Majahazi na gereza, zamani zilikuwa zikijaa na Wahuguenots, yakajaa sasa na watesi wao. Wakafungiwa na minyororo kwa viti vyao na kukokota kwa gasia, wapadri wa Katoliki wa Roma wakajua misiba ile yote ambayo kanisa lao lilipatisha kwa bure kabisa juu ya wazushi wapole.” (Tazama Nyongezo.) “Ndipo siku zile zikaja ... wakati wapelelezi walijificha kwa kila pembe; wakati mashine ya kukatia vichwa ilikuwa ndefu na ya nguvu kwa kazi kila asubuhi: wakati magereza zikijaa kama kiwanja kama chumba cha chini cha merikebu ya watumwa; wakati damu na uchafu vikawa kama pofu na kutiririka katika mifereji ya mabati hata mto seine” ... mistari mirefu ya watumwa yalisukumwa chini kwa marisaa makubwa. Matundu yalifanywa katika upande wa chini wa mashua kubwa iliosongana. ... Hesabu ya vijana wanaume na wanawake wa miaka kumi na saba waliuawa kwa serekali ile mbaya sana, inajulikana kuwa mamia. Watoto wachanga waliotengwa kwa kifua cha mama wakarushwa kutoka kwa mkuki na kwa mkuki mwengine kwa cheo cha wa Jacobins.” (Tazama Nyongezo.) Haya yote yalikuwa ni mapenzi ya Shetani. Amri yake ni madanganyo na makusudi yake ni kuleta uharibifu juu ya watu, kutia haya kiumbe cha Mungu, kwa kuharibu kusudi la Mungu la upendo, na kwa hiyo kuleta sikitiko mbinguni. Basi kwa mambo yake ya ufundi ya kudanganya, huongoza watu kutupa laumu juu ya Mungu, kana kwamba mateso haya yote yalikuwa matokeo ya shauri la Muumba. Wakati watu waliona dini ya Roma kuwa danganyifu, akawashurutisha kuzania dini yote kama danganyifu na Biblia kama hadisi (uongo). 112

Kupinga ya Kiprotestanti Kosa la Hatari Kosa la mauti ambalo lilileta msiba wa namna hiyo kwa Ufransa lilikuwa kuitokujali kwa ukweli huu mmoja mkubwa; uhuru wa kweli unaokuwa katikati ya makatazo ya sheria ya Mungu. “Laiti ungalisikiliza maagizo yangu! Ndipo salama yako ingalikuwa kama mto, na haki yako kama mawimbi ya bahari.” Isaya 48:18. Wale ambao hawatasoma fundisho kutoka kwa Kitabu cha Mungu wanaalikwa kulisoma katika historia. Wakati Shetani alitenda kwa njia ya kanisa la Roma kuongoza watu kuacha utii, kazi yake ikageuka.. Kwa kazi ya Roho wa Mungu makusudi yake yakazuiwa kufikia matumizi yao kamili. Watu hawakutafuta matokeo kwa mwanzo wake na kuvumbua asili ya taabu zao. Lakini katika mapinduzi sheria ya Mungu iliwekwa kando kwa wazi na Baraza la Taifa. Na katika Utawala wa Hofu Kuu uliofuata, kazi na matokeo yaliweza kuonekana kwa wote. Kuvunja sheria ya haki na nzuri matunda yake inapaswa kuwa maangamizi. Roho wa Mungu wa kiasi, ambaye analazimisha uaguzi juu ya uwezo mkali wa Shetani, uliotoka kwa kiasi kikubwa, na yule ambaye furaha yake ni taabu ya watu aliruhusiwa kufanya mapenzi yake. Wale waliochagua uasi waliachiwa kuvuna matunda yake. Inchi ikajaa na zambi. Kutoka mitaa iliyoteketezwa na miji iliyoangamizwa kilio, cha kutisha kilisikiwa cha maumivu makali. Ufransa ukatikisishwa kama kwa tetemeko. Dini, sheria, kanuni ya watu wote, jamaa, serkali, na kanisa--vyote vikashindwa na mkono mpotovu ambao uliinuliwa kupinga sheria ya Mungu. Washuhuda waaminifu wa Mungu, waliochinjwa kwa uwezo wa dini ya yule “anayotoka katika shimo pasipo mwisho,” hawakubakia kimya.” Na nyuma ya siku tatu na nusu, roho ya uhai ikatoka kwa Mungu ikaingia ndani yao, wakasimama juu ya miguu yao; woga mkubwa ukaangukia watu wote waliowatazama.” Ufunuo 11:11. Katika mwaka 1793 Baraza la Taifa la Ufransa likaweka amri za kutenga Biblia kando. Miaka mitatu na nusu baadaye, shauri la kutangua amri hizi likakubaliwa na mkutano ule ule. Watu wakatambua lazima ya imani katika Mungu na Neno lake kama msingi wa uwezo na maarifa ya wema na ubaya. Kwa habari ya “washuhuda wawili” (Maagano ya Kale na Jipya) nabii akatangaza zaidi: “Wakasikia sauti kubwa kutoka mbingu ikisema kwao: Pandeni hata hapa. Wakapanda mbinguni katika wingu, adui zao wakiwatazama.” Ufunuo 11:12. “Washahidi hawa wawili wa Mungu” wakaheshimiwa zaidi kuliko mbele. Katika mwaka 1804 Chama cha Biblia cha Uingereza na inchi za kigeni kikatengenezwa, kikafuatwa na matengenezo ya namna hii juu ya bara la Ulaya. Katika mwaka 1816 chama cha Biblia cha Waamarica kikaimarishwa. Biblia ikatafsiriwa tangu hapo katika mamia mengi ya lugha na matamko. (Tazama Nyongezo). Mbele ya mwaka 1792, uangalifu kidogo ukatolewa kwa watu waliopasha kwenda kufundisha na inchi za kigeni. Lakini karibu ya mwisho wa karne ya kumi na mnane mabadiliko kubwa yakafanyika. Watu wakawa hawatoshelewi na kufuata akili za binadamu 113

Kupinga ya Kiprotestanti

Mapinduzi yakaweka mashini yake ya kukata watu vichwa ya kwanza. Ni mahali pale

ambapo, kwa karne ya kumi na sita, wafia dini wa kwanza wa imani ya Kiprotestanti

walichomwa, watu wa kwanza walikatwa vichwa kwa karne ya kumi na mnani. Wakati amri

za sheria ya Mungu ziliwekwa pembeni, taifa likaingia katika giza na machafuko ya mambo

ya utawala. Vita juu ya Biblia katika historia ya ulimwengu ikajulikana kwa jina la Utawala

wa hofu kuu. Yeye aliyeshinda leo akahukumiwa kesho yake.

Mfalme, waongozi wa dini, na wakuu wakalazimishwa kujiweka chini ya mambo ya

mabaya ya watu wenye wazimu. Wale walioamuru kifo cha mfalme mara wakamfuata kwa

jukwaa. Machinjo makubwa ya wote waliozaniwa kuwa na uchuki kwa Mapinduzi

yakakusudiwa. Ufransa ukawa shamba kubwa la mabishano, yaliyowayawaya kwa hasira kali

ya tamaa. “Katika Paris,fujo ikafuata fujo ingine, na wakaaji wakajitenga katika machafuko

ya fitina, yaliyoonekana yenye bidii si kwa kitu kingine bali kusudi moja. ... Inchi ilikuwa

karibu kushindwa, majeshi yalikuwa yakifanya fujo kwa ajili ya deni ya malipo, wakaaji wa

Paris walikuwa na njaa, mitaa ikaangamizwa na wanyanganyi, na utamaduni na maendeleo

vilikuwa karibu kukomeshwa katika machafuko ya mambo ya utawala na upotovu.”

Kwa yote haya watu wakajifunza mafundisho ya ukali na mateso ambayo Roma

ilifundisha kwa nguvu sana. Haikuwa sasa wanafunzi wa Yesu waliokokotwa kwa kigingi. Ni

Zamani walikuwa ao kuchinjwa wala kulazimishwa kujihamisha. “Damu ya wapadri

ilitiririka juu ya majukwaa. Majahazi na gereza, zamani zilikuwa zikijaa na Wahuguenots,

yakajaa sasa na watesi wao. Wakafungiwa na minyororo kwa viti vyao na kukokota kwa

gasia, wapadri wa Katoliki wa Roma wakajua misiba ile yote ambayo kanisa lao lilipatisha

kwa bure kabisa juu ya wazushi wapole.” (Tazama Nyongezo.)

“Ndipo siku zile zikaja ... wakati wapelelezi walijificha kwa kila pembe; wakati mashine

ya kukatia vichwa ilikuwa ndefu na ya nguvu kwa kazi kila asubuhi: wakati magereza zikijaa

kama kiwanja kama chumba cha chini cha merikebu ya watumwa; wakati damu na uchafu

vikawa kama pofu na kutiririka katika mifereji ya mabati hata mto seine” ... mistari mirefu ya

watumwa yalisukumwa chini kwa marisaa makubwa. Matundu yalifanywa katika upande wa

chini wa mashua kubwa iliosongana. ... Hesabu ya vijana wanaume na wanawake wa miaka

kumi na saba waliuawa kwa serekali ile mbaya sana, inajulikana kuwa mamia. Watoto

wachanga waliotengwa kwa kifua cha mama wakarushwa kutoka kwa mkuki na kwa mkuki

mwengine kwa cheo cha wa Jacobins.” (Tazama Nyongezo.)

Haya yote yalikuwa ni mapenzi ya Shetani. Amri yake ni madanganyo na makusudi yake

ni kuleta uharibifu juu ya watu, kutia haya kiumbe cha Mungu, kwa kuharibu kusudi la Mungu

la upendo, na kwa hiyo kuleta sikitiko mbinguni. Basi kwa mambo yake ya ufundi ya

kudanganya, huongoza watu kutupa laumu juu ya Mungu, kana kwamba mateso haya yote

yalikuwa matokeo ya shauri la Muumba. Wakati watu waliona dini ya Roma kuwa

danganyifu, akawashurutisha kuzania dini yote kama danganyifu na Biblia kama hadisi

(uongo).

112

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!