You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

kazi wakalipishwa kodi ya nguvu kwa watawala wa serkali na wa dini. “Wakulima na wakaaji

wa vijiji waliweza kuteswa na njaa, kwani watesi wao hawakujali. ... Maisha ya watumikaji

wakulima yalikuwa ya kazi isiyokuwa na mwisho na taabu isiyokuwa na kitulizo;

maombolezo yao ... yaiizaniwa kuwa zarau ya ushupavu. ... Mambo mabaya ya rushwa

yakakubaliwa kwa hakika na waamzi. ... Ya kodi, ... nusu ya feza ikaenda kwa hazina ya

mfalme ao ya askofu; inayobaki ikatumiwa ovyo ovyo katika anasa ya upotovu. Na watu

waliozoofisha hivi wenzao wakaachiliwa wenyewe bila kulipa kodi na walikuwa na haki kwa

sheria ao kwa desturi, kwa maagizo yote ya serkali. ... Kwa ajili ya furaha yao mamilioni

walihukumiwa maisha mabaya bila tumaini.” (Tazama Nyongezo.)

Zaidi ya nusu ya karne mbele ya Mapinduzi kiti cha ufalme kilikaliwa na Louis XV,

aliyetambulika nakuwa mfalme mvivu, asiyejali, na waanasa. Kwa habari ya feza ya serkali

wakawa na matatizo na watu wakakasirishwa, haikuhitajiwa jicho la nabii kuona maasi

makali. Ilikuwa vigumu kuharakisha hoja ya kufanya matengenezo. Ajali iliyongojea Ufransa

ilielezwa katika jibu la kujipenda ama choyo cha mfalme, “Baada yangu, garika!”

Roma ilivuta wafalme na vyeo vya watawala kuweka watu katika utumwa, kukusudia

kufunga wote watawala na watu katika vifungo vyake vya minyororo juu ya roho zao. Huku

hali mbaya ya tabia njema ambayo ni matokeo ya siasa hii ilikuwa ya kutisha zaidi mara elfu

kuliko mateso ya kimwili. Kukosa Biblia, na kujitia katika kujipendeza, watu wakajifunika

katika ujinga na kuzama katika maovu, kabisa hawakuweza kujitawala.

Matokeo Yaliyopatwa katika Damu

Baadala ya kudumisha watu wengi katika utii wa upofu kwa mafundisho yake, kazi ya

Roma ikaishia katika kuwafanya makafiri na wapinduzi. Dini ya Roma wakaizarau kama

ujanja wa wapadri. Mungu mmoja waliomujua ni mungu wa Roma. Waliangalia tamaa yake

na ukatili kama tunda la Biblia, na hawakutaka tena kusikia habari yake.

Roma ilieleza vibaya tabia ya Mungu, na sasa watu wakakataa vyote viwili Biblia na

Muumba wake. Katika urejeo, Voltaire na wafuasi wake wakakataa kabisa Neno la Mungu

yote pamoja kutawanya kukana Mungu. Roma ikakanyaga watu chini ya kisigino chake cha

chuma; na sasa watu wengi wakatupia mbali kuzuiwa kote (amri). Walipokasirishwa,

wakakataa kweli na uongo pamoja.

Kwa kufunguliwa kwa Mapinduzi, kwa ukubali wa mfalme, watu wakapata kwa mitaa ya

kawaida mfano wa juu kuliko ule wa wakuu na mapadri pamoja. Kwa hivyo kipimo cha

uwezo kulikuwa katika mikono yao; lakini hawakutayarishwa kukitumia kwa hekima na

utaratibu (kiasi). Watu waliotendewa vibaya wakakusudia kulipiza kisasi wao wenyewe.

Walioonewa wakatumia fundisho walilojifunza chini ya uonevu na wakawa watesi wa wale

waliowatesa.

Ufransa ukavuna katika damu mavuno ya utii wake kwa Roma. Mahali Ufransa, chini ya

Kanisa la Roma, uliweka tita (kigingi) la kwanza kwa mwanzo wa Matengenezo, hapo

111