12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Roma ikaharakisha kuwasha vitisho vyao vya wivu. Katika mwaka 1525, Papa akasema

kwa watawala wa Ufransa: “Huyu wazimu shetani (Dini ya Kiprotestanti) hatatoshelewa

kuchafua dini na kuiangamiza, bali mamlaka zote, cheo kikubwa, sheria, amri, na hata

madaraja tena.” Tangazo la Papa likaonya mfalme: “Waprotestanti watapindua amri yote ya

serkali na ya dini pia. ... Kiti cha mfalme kinakuwa hatarini kama vile mazabahu.” Roma

ikafaulu kupanga Ufransa kwa kupinga Matengenezo.

Mafundisho ya Biblia yangeimarisha katika mioyo ya watu kanuni za haki, kiasi, na kweli,

vinavyokuwa jiwe la pembeni kwa usitawi wa taifa. “Haki inainua taifa.” Maana “Kiti cha

ufalme kinasimamishwa kwa haki.” Mezali 14:34; 16:12. Tazama Isaya 32:17. Yeye anayetii

sheria ya Mungu atazidi kwa kweli kuheshimu na kutii amri za inchi. Ufransa ulikataza Biblia.

Karne kwa karne watu wa haki, wa ukamilifu wa elimu na matendo mema, waliokuwa na

imani kwa kuteseka kwa ajili ya kweli, wakaenda kwa taabu kama watumwa katika jahazi,

wakaangamizwa kwa kigingi (tita), ao kuoza ndani ya pango za gereza. Maelfu wakapata

usalama katika kukimbia kwa miaka 250 baada ya kufunguliwa kwa Matengenezo.

“Labda hapakuwa na kizazi cha Ufransa, kwa mda wa wakati ule mrefu ambao

hawakushuhudia wanafunzi wa injili kukimbia mbele ya mauaji kali ya wazimu ya watesi

wao, na kuchukua akili yao pamoja nao, vitu vya ufundi, utendaji, na roho yao ya utaratibu,

kwa kutangulia wakapita, kwa kutayarisha inchi ziiizowapatia kimbilio. ... Kama hawa wote

sasa waliofukuza wangalirudi Ufransa, ingalikuwa inchi ya namna gani ... kubwa, ya usitawi,

na ya furaha--mfano kwa mataifa--ingalikuwa! Lakini bidii isiyo ya akili ya upofu na kizazi

kisichokuwa na huruma kikafukuza kwa inchi yake kila mwalimu wa nguvu, kila shujaa wa

roho ya utaratibu, kila mtetezi mwaminifu wa kiti cha mfalme. ... Mwishowe uharibifu wa

taifa ukatimilika.”

Matokeo yake yalikuwa Mapinduzi pamoja na machafuko.

Ingeweza kuwa Nini

Kukimbia kwa Wahuguenots,ufungufu na inchi nzima ukawa katika Ufransa. Miji ya

usitawi kwa viwanda ikaanguka kwa uharibifu. ... Ikakadirishwa kwamba, kwa mwanzo wa

Mapinduzi, maelfu mia mbili ya wamaskini katika Paris wakadai mapendo kwa mikono ya

mfalme. Wajesuites peke yao walifanikiwa katika taifa lililoharibika.”

Injili ingalileta suluhu kwa magumu hayo yaliyoshinda mapadri wake, mfalme, na

wafanya sheria, na mwishowe wakaingiza taifa katika uharibifu. Lakini chini ya utawala wa

Roma watu wakapoteza mafundisho ya Mwokozi ya kujinyima na upendo wa choyo kwa ajili

ya mazuri ya wengine. Mtajiri hakuwa na karipio kwa ajili yakugandamiza maskini; maskini

hawakuwa na msaada kwa uzaifu wao. Choyo ya mtajiri na uwezo yakazidi kulemea. Kwa

karne nyingi, watajiri wakakosea wamaskini, na wamaskini wakawachukia matajiri.

Katika majimbo mengi madaraka ya wafanyakazi yalikuwa chini ya wenyeji na

walilazimishwa kutii maagizo ya kupita kiasi. Madaraja ya katikati na ya chini ya wafanya

110

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!