12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mmojawapo wa “mapadri” wa agizo jipya akasema: “Mungu, kama Unakuwako, lipisha

kisasi cha matukano yanayofanywa kwa kutukana jina iako. Ninakualika! Unakaa kimya;

Husubutu kutuma ngurumo zako. Nani baada ya hii atakayeamini kuwako kwako tena?” Ni

jibu gani hili la swali la Farao: “Bwana ni nani, nisikie sauti yake?”

“Mupumbafu amesema moyoni mwake: Hakuna Mungu.” Na Bwana anasema,

“Upumbafu wao utaonyeshwa wazi kwa watu wote.” Zaburi 14:1; 2 Timoteo 3:9. Wakati

Ufransa ulipokataa ibada ya Mungu mwenye uhai haukukawia kushuka katika ibada ya haya

ya kuabudu Mungu wa kike wa Akili (kutumia akili), mwanamke msharati. Ibada hii

ikaanzishwa kwa msaada wa mkutano wa taifa! Mojawapo wa sherehe ya wakati huu wa

wazimu kusimama inayopita yote kwani upumbafu ilichanganyika na ukosefu wa heshima

kwa Mungu. Milango ya mapatano ikafunguliwa wazi wazi. ... Washiriki wa utawala wa mji

wakaingia katika mwandamano wa taratibu, kuimba wimbo kwa sifa za uhuru, na kufuatana,

kama kitu cha ibada ya wakati ujao, mwanamke mmoja aliyefunikwa, waliyemwita Mungu

wa Kike wa Kutumia Akili. Alipokuwa katika baraza ya hukumu, wakamvua mwili wote kwa

heshima, na wakamweka upande wa kuume wa msimamizi, ambapo alipojulikana kwa

kawaida kama binti mchezaji wa mchezo wa kuigiza (opera).

Mungu wa Kike wa Kutumia Akili

“Kusimamisha Mungu wa Kike wa Kutumia Akili kukafanywa upya na kuigwa na taifa

po pote, katika mahali ambapo wakaaji walitaka kujionyesha wenyewe kulingana na usitawi

wote wa Mapinduzi.”

Wakati “mungu wa kike” alipoletwa kwa Mapatano; msemaji akamkamata kwa mkono,

na akageukia makutano akasema: “Wanadamu, muache kutetemeka mbele ya ngurumo zaifu

za mungu ambazo wogo wenu umezifanya. Tangu leo msikubali tena umungu mwengine bali

Kutumia Akili. Ninawapongoatia picha yake bora na safi sana; kama kunapaswa kuwa na

sanamu, mjitoe tu kwa hii. ...

“Mungu wa kike alipokwisha kukumbatiana na msimamizi, akapandishwa kwa gari

tukufu kabisa, na akapelekwa kwa kanisa kubwa la Notre Dame, kupata nafasi ya Umungu.

Hapo akainuliwa kwa mazabahu ya juu, na kuabudiwa na wote waliokuwako.”

Dini ya Papa alianza kufanya kazi ambayo kukana Mungu kulikuwa kukitimiza,

kuharakisha Ufransa kwa uharibifu. Waandishi kwa kutaja machukizo ya Mapinduzi

wakasema kwamba mazidio haya yalipaswa kuwekwa juu ya kiti cha mfalme na kanisa.

(Tazama Nyongezo.) Kwa haki yote, mazidio haya inapaswa kuwekwa juu ya kanisa. Kanisa

la Papa lilipotosha mafikara ya wafalme juu ya Matengenezo. Ujanja wa Roma ilisababisha

ukali na ugandamizi kutoka kwa uliotumiwa mamlaka ya mfalme.

Po pote injili ilikubaliwa, mafikara ya watu yakaamshwa. Wakaanza kutupa minyorori

(viungo vya pingu vilivyowashikilia) kuwa watumwa wa ujinga na ibada ya sanamu. Wafalme

waliviona na wakatetemeka kwa ajili ya uonevu wao.

109

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!