12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Wakati habari ya mauaji ilipofika Roma, furaha ya mapadri haikujua mpaka. Askofu wa

Lorraine akatolea mjumbe zawadi ya mataji elfu; mzinga wa Saint-Ange mtakatifu akapiga

ngurumo ya salamu za furaha; na kengele zikalia kwa minara ya makanisa yote; mioto ya

furaha ikageuza usiku kuwa mchana; na Papa Gregoire XIII, pamoja na maaskofu na wakuu

wengine wa kanisa, wakaenda kwa mwandamano mrefu kwa kanisa la Saint-Louis, mahali

askofu wa Lorraine aliimba Te Deum. ... Nishani ikapigwa kwa kumbukumbu la machinjo.

... Padri wa Ufransa ... akasema kwa ajili ya`siku ile akijaa na kicheko na furaha, wakati baba

mtakatifu alipokea habari, na akaenda kwa hali ya heshima kwa kumshukuru Mungu na

Mtakatifu Ludoviko.”

Roho mbaya ya namna moja iliyosukuma kuuawa kwa SaintBarthelemy akaongoza pia

katika maonyesho za Mapinduzi. Yesu Kristo akatangazwa kuwa kama mjanja, na kilio cha

makafiri wa Ufransa kikawaangamiza wamaskini,” maana yake Kristo. Matukano na uovu

yakaenda pamoja. Katika haya yote, ibada ilitolewa kwa Shetani, wakati Kristo, katika tabia

zake za kweli, usafi, na upendo wake wa kupendelea wengine kuliko yeye mwenyewe,

alisuubiwa.”

“Yule nyama anayetoka katika shimo pasipo mwisho atafanya vita nao; naye atawashinda

na kuwaua.” Ufunuo 11:7. Mamlaka ya kukana kumjua Mungu iliyotawala katika Ufransa

wakati wa Mapinduzi na utawala wa Hofu kuu ilipigana vita ya namna hiyo kumpinga Mungu

na Neno lake. Ibada ya Mungu ikakomeshwa na baraza la Taifa. Vitabu vya Biblia

vikakusanywa na kuchomwa mbele ya watu wote. Vyama vya Biblia vikaharibiwa. Siku ya

kustarehe ya juma ikakatazwa, na mahali pake kila siku kumi ikatengwa kwa makutano.

Ubatizo na ushirika Mtakatifu (Meza ya Bwana) vikakatazwa. Matangazo yakawekwa kwa

mahali pa maziko kutangaza kwamba mauti ni usingizi wa milele.

Ibada ya dini yote ikakatazwa, ila tu ile ya uhuru na ya inchi. “Askofu wa kushika sheria

wa Paris akaletwa ... kwa kutangaza kwa mapatano kwamba dini aliyofundisha kwa miaka

nyingi ilikuwa, katika heshima yote, sehemu ya ujanja wa mapadri, ambayo haikuwa na

msingi hata katika historia ao ukweli takatifu. Katika maneno ya kutisha sana na ya wazi,

akakana kuwako kwake Mungu ambako alijitakasa kwa ajili yake.”

“Nao wanaokaa juu ya dunia watafurahi juu yao na kuwachekelea. Watapelekeana zawadi

moja kwa wengine, kwa sababu manabii hawa wawili waliwatesa wao wanaokaa juu ya

dunia.” Ufunuo 11:10. Ufransa kafiri ukanyamazisha sauti yenye kulaumu ya washahidi

wawili wa Mungu. Neno la ukweli likalala chini kama maiti” katika njia zake, na wale

waliochukia sheria za Mungu wakafurahi. Watu kwa wazi wakachafua Mfalme wa mbinguni.

Te Deum : Wimbo wa kushukuru wa kanisa la kikatoliki unaoanza na maneno haya :

‘’Bwana tunakusifu”.

Uhodari wa Kutukana Mungu

108

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!