Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti gunia.” Katika nyakati za giza kabisa watu waaminifu wakapewa hekima na mamlaka kwa kutangaza kweli wa Mungu. (Tazama Nyongezo.) “Na kama mtu yeyote akitaka kuwaumiza, moto utatoka katika vinywa vyao na kumeza adui zao. Na kama mtu yeyote akitaka kuwaumiza, anapashwa kuuawa namna hii.” Ufunuo 11:5. Watu hawawezi bila kuwa na hofu ya kupata malipizi kwa kuzarau Neno la Mungu! “Hata watakapomaliza ushuhuda wao.” Wakati washuhuda hawa wawili walipokaribia mwisho wa kazi yao katika giza, vita ilipaswa kufanywa juu yao na “yule nyama anayetoka katika shimo pasipo mwisho.” Hapa kunaonekana onyesho mpya la uwezo wa Shetani. Ilikuwa busara ya Roma, kushuhudia heshima kwa ajili ya Biblia, kwa kuifungisha kwa lugha isiyojulikana, ikafichwa kwa watu. Chini ya amri yake washahidi wakatabiri “katika mavazi ya gunia. ” Lakini ” yule nyama anayetoka katika shimo pasipo mwisho” alipashwa kufunguliwa na kufanya vita wazi wazi kwa Neno la Mungu. “Mji mkubwa” katika njia zake ambazo washahidi hawa wawili waliuawa, na mahali maiti yao ililala ni “kwa kiroho” ni Misri. Kwa mataifa yote katika historia ya Biblia, Misri ndiyo iliyozidi kukana kuwako kwa Mungu na ikapinga amri zake. Hakuna mfalme aliyeasi kwa ujasiri sana juu ya mamlaka ya mbingu kama mfalme wa Misri alivyofanya, Farao: “Simjui Bwana, na vilevile sitaruhusu Israeli kwenda.” Kutoka 5:2. Hii ni kusema hakuna Mungu (atheisme), na taifa linalowakilisha Misri lingetaja mfano wa namna moja wa Mungu na kuonyesha roho ya namna moja ya uasi. “Mji mkubwa” unafananishwa vile vile, “kwa kiroho,” na Sodomo. Maovu ya Sodomo yalionekana zaidi katika uasherati. Zambi hizi zilipaswa kuwa vile vile tabia ya taifa lililopasa kutimiza andiko hili. Kwa kupatana na nabii, ndipo, mbele kidogo ya mwaka 1798 uwezo moja wa tabia ya uovu ukainuka kwa kufanya vita na Biblia. Na katika inchi ambapo “washuhuda wawili wa Mungu walipashwa kunyamazishwa, hapo pangekuwa onyesho la kutokujali kuwako kwa Mungu kwa Farao na usherati wa Sodomo. Utimilizo wa Ajabu wa Unabii Unabii huu ulipata utimilizo wa ajabu katika historia ya Ufransa wakati wa Mapinduzi (Revolution), katika mwaka 1793. “Ufransa ulikuwa ni taifa pekee katika historia ya dunia, ambayo kwa amri ya baraza la sheria, likatangaza kwamba hakuna Mungu, na ambaye wenyeji wote wa mji mkuu, na sehemu kubwa ya watu popote, wanawake na wanaume pia, wakacheza na kuimba kwa furaha kwa kukubali tangazo hili.” Ufransa ukaonyesha pia tabia ambazo zilipambanua Sodomo. Mwandishi wa historia anaonyesha pamoja kukana Mungu na uasherati wa Ufransa: “Kwa uhusiano na sheria hizi juu ya dini, ilikuwa ile ambayo ilivunja muungano wa ndoa--maagano takatifu kuliko ambayo watu wanaweza kufanya, na kudumu ni wa lazima kwa ulinzi wa jamaa--ukageuzwa kuwa 106

Kupinga ya Kiprotestanti kwa hali ya mapatano ya adabu ya hivi hivi tu ya mda, na kwamba watu wawili wanaweza kuunga na kuvunja kwa mapenzi. ... Sophie Arnoult, mtendaji wa kike wa sifa kwa mambo ya kuchekesha akasema, akaeleza kuwa ndoa ya serkali ni kama `sakramenti ao siri ya uzinzi.’” Uadui Juu ya Kristo “Mahali pia Bwana wetu alisulibiwa.” Jambo hili vile vile lilitimilika kwa Ufransa. Hakuna inchi ambayo ukweli ulikutana na upinzani wa ukaidi kama Ufransa. Katika mateso iliyozuriwa kwa washahidi wa injili, Ufransa ulisulibisha Kristo katika mwili wa wanafunzi wake. Karne kwa karne damu ya watakatifu ilikuwa ikimwangika. Huku Wawaldense (Vaudois) walitoa maisha yao kwa milima ya Piedmont (kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu Kristo,” ushuhuda wa namna ile ile uliochukuliwa na Albigeois wa Ufransa. Wanafunzi wa Matengenezo waliouawa kwa mateso ya ajabu. Mfalme na wakuu, wanawake wa kizazi cha juu na wabinti wazuri walishibisha macho kwa maumivu makuu ya wafia dini wa Yesu. Wahuguenots washujaa walimwaga damu yao pahali pa mapigano makali, kuwindwa kama wanyama wa mwitu. Wazao wachache wa Wakristo wa zamani waliobaki kwa karne ya kumi na nane wakajificha katika milima ya Kusini, wakalinda imani ya mababa zao. Wakatembea kwa shida kwa maisha marefu ya utumwa ndani ya mashua ya vita (galères). Watu wa malezi safi sana na wenye akili wa Ufransa waliishi katika minyororo, katika mateso mabaya sana, kati ya wanyanganyi na wauaji. Wengine wakapigwa risasi na kuanguka katika damu ya baridi wanapoanguka kwa magoti yao katika sala. Inchi yao, ikateketezwa kwa upanga, shoka, na kwa moto, “ikageuka kuwa jangwa kubwa, la giza.” “Mambo haya mabaya sana yakaendelea ... katika nyakati zisizokuwa za giza bali katika wakati wa nuru wa Louis XIV. Elimu iliongezeka, vitabu ao maarifa yakaendelea vizuri, walimu wa elimu ya tabia na sifa za Mungu wa baraza ya hukumu na wa mji mkuu walikuwa wenye maarifa (savants) na wasemaji, wakavutwa na neema ya upole na upendo.” Uovu Mbaya Sana Kupita Mengine Lakini uovu mbaya zaidi miongoni mwa matendo maovu ya karne za kutisha ilikuwa machinjo ao mauaji matakatiifu ya SaintBartheiemy. Chini ya mkazo wa mapadri na maaskofu, mfalme wa Ufransa akatoa ukubali wake. Kengele kulia katika ukimya wa usiku, ikatoa ishara ya mauaji. Maelfu ya Waprotestanti, walipokuwa wakilala nyumbani mwao, wakitumaini neno la heshima la mfalme wao, wakakokotwa na kuuawa. Machinjo yakaendelea kwa siku saba katika Paris. Kwa agizo la mfalme mauaji yakaenea kwa miji yote mahali Waprotestanti walikuwako. Wakuu na wakulima, wazee na vijana, wamama na watoto, wakachinjwa pamoja. Katika Ufransa po pote kulikuwa nafsi 70.000 za ua la taifa wakauawa. 107

Kupinga ya Kiprotestanti

kwa hali ya mapatano ya adabu ya hivi hivi tu ya mda, na kwamba watu wawili wanaweza

kuunga na kuvunja kwa mapenzi. ... Sophie Arnoult, mtendaji wa kike wa sifa kwa mambo

ya kuchekesha akasema, akaeleza kuwa ndoa ya serkali ni kama `sakramenti ao siri ya

uzinzi.’”

Uadui Juu ya Kristo

“Mahali pia Bwana wetu alisulibiwa.” Jambo hili vile vile lilitimilika kwa Ufransa.

Hakuna inchi ambayo ukweli ulikutana na upinzani wa ukaidi kama Ufransa. Katika mateso

iliyozuriwa kwa washahidi wa injili, Ufransa ulisulibisha Kristo katika mwili wa wanafunzi

wake.

Karne kwa karne damu ya watakatifu ilikuwa ikimwangika. Huku Wawaldense (Vaudois)

walitoa maisha yao kwa milima ya Piedmont (kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu Kristo,”

ushuhuda wa namna ile ile uliochukuliwa na Albigeois wa Ufransa. Wanafunzi wa

Matengenezo waliouawa kwa mateso ya ajabu. Mfalme na wakuu, wanawake wa kizazi cha

juu na wabinti wazuri walishibisha macho kwa maumivu makuu ya wafia dini wa Yesu.

Wahuguenots washujaa walimwaga damu yao pahali pa mapigano makali, kuwindwa kama

wanyama wa mwitu.

Wazao wachache wa Wakristo wa zamani waliobaki kwa karne ya kumi na nane

wakajificha katika milima ya Kusini, wakalinda imani ya mababa zao. Wakatembea kwa

shida kwa maisha marefu ya utumwa ndani ya mashua ya vita (galères). Watu wa malezi safi

sana na wenye akili wa Ufransa waliishi katika minyororo, katika mateso mabaya sana, kati

ya wanyanganyi na wauaji. Wengine wakapigwa risasi na kuanguka katika damu ya baridi

wanapoanguka kwa magoti yao katika sala. Inchi yao, ikateketezwa kwa upanga, shoka, na

kwa moto, “ikageuka kuwa jangwa kubwa, la giza.” “Mambo haya mabaya sana yakaendelea

... katika nyakati zisizokuwa za giza bali katika wakati wa nuru wa Louis XIV. Elimu

iliongezeka, vitabu ao maarifa yakaendelea vizuri, walimu wa elimu ya tabia na sifa za Mungu

wa baraza ya hukumu na wa mji mkuu walikuwa wenye maarifa (savants) na wasemaji,

wakavutwa na neema ya upole na upendo.”

Uovu Mbaya Sana Kupita Mengine

Lakini uovu mbaya zaidi miongoni mwa matendo maovu ya karne za kutisha ilikuwa

machinjo ao mauaji matakatiifu ya SaintBartheiemy. Chini ya mkazo wa mapadri na

maaskofu, mfalme wa Ufransa akatoa ukubali wake. Kengele kulia katika ukimya wa usiku,

ikatoa ishara ya mauaji. Maelfu ya Waprotestanti, walipokuwa wakilala nyumbani mwao,

wakitumaini neno la heshima la mfalme wao, wakakokotwa na kuuawa.

Machinjo yakaendelea kwa siku saba katika Paris. Kwa agizo la mfalme mauaji yakaenea

kwa miji yote mahali Waprotestanti walikuwako. Wakuu na wakulima, wazee na vijana,

wamama na watoto, wakachinjwa pamoja. Katika Ufransa po pote kulikuwa nafsi 70.000 za

ua la taifa wakauawa.

107

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!