12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

gunia.” Katika nyakati za giza kabisa watu waaminifu wakapewa hekima na mamlaka kwa

kutangaza kweli wa Mungu. (Tazama Nyongezo.)

“Na kama mtu yeyote akitaka kuwaumiza, moto utatoka katika vinywa vyao na kumeza

adui zao. Na kama mtu yeyote akitaka kuwaumiza, anapashwa kuuawa namna hii.” Ufunuo

11:5. Watu hawawezi bila kuwa na hofu ya kupata malipizi kwa kuzarau Neno la Mungu!

“Hata watakapomaliza ushuhuda wao.” Wakati washuhuda hawa wawili walipokaribia

mwisho wa kazi yao katika giza, vita ilipaswa kufanywa juu yao na “yule nyama anayetoka

katika shimo pasipo mwisho.” Hapa kunaonekana onyesho mpya la uwezo wa Shetani.

Ilikuwa busara ya Roma, kushuhudia heshima kwa ajili ya Biblia, kwa kuifungisha kwa

lugha isiyojulikana, ikafichwa kwa watu. Chini ya amri yake washahidi wakatabiri “katika

mavazi ya gunia. ” Lakini ” yule nyama anayetoka katika shimo pasipo mwisho” alipashwa

kufunguliwa na kufanya vita wazi wazi kwa Neno la Mungu.

“Mji mkubwa” katika njia zake ambazo washahidi hawa wawili waliuawa, na mahali maiti

yao ililala ni “kwa kiroho” ni Misri. Kwa mataifa yote katika historia ya Biblia, Misri ndiyo

iliyozidi kukana kuwako kwa Mungu na ikapinga amri zake. Hakuna mfalme aliyeasi kwa

ujasiri sana juu ya mamlaka ya mbingu kama mfalme wa Misri alivyofanya, Farao: “Simjui

Bwana, na vilevile sitaruhusu Israeli kwenda.” Kutoka 5:2. Hii ni kusema hakuna Mungu

(atheisme), na taifa linalowakilisha Misri lingetaja mfano wa namna moja wa Mungu na

kuonyesha roho ya namna moja ya uasi.

“Mji mkubwa” unafananishwa vile vile, “kwa kiroho,” na Sodomo. Maovu ya Sodomo

yalionekana zaidi katika uasherati. Zambi hizi zilipaswa kuwa vile vile tabia ya taifa lililopasa

kutimiza andiko hili.

Kwa kupatana na nabii, ndipo, mbele kidogo ya mwaka 1798 uwezo moja wa tabia ya

uovu ukainuka kwa kufanya vita na Biblia. Na katika inchi ambapo “washuhuda wawili wa

Mungu walipashwa kunyamazishwa, hapo pangekuwa onyesho la kutokujali kuwako kwa

Mungu kwa Farao na usherati wa Sodomo.

Utimilizo wa Ajabu wa Unabii

Unabii huu ulipata utimilizo wa ajabu katika historia ya Ufransa wakati wa Mapinduzi

(Revolution), katika mwaka 1793. “Ufransa ulikuwa ni taifa pekee katika historia ya dunia,

ambayo kwa amri ya baraza la sheria, likatangaza kwamba hakuna Mungu, na ambaye

wenyeji wote wa mji mkuu, na sehemu kubwa ya watu popote, wanawake na wanaume pia,

wakacheza na kuimba kwa furaha kwa kukubali tangazo hili.”

Ufransa ukaonyesha pia tabia ambazo zilipambanua Sodomo. Mwandishi wa historia

anaonyesha pamoja kukana Mungu na uasherati wa Ufransa: “Kwa uhusiano na sheria hizi

juu ya dini, ilikuwa ile ambayo ilivunja muungano wa ndoa--maagano takatifu kuliko ambayo

watu wanaweza kufanya, na kudumu ni wa lazima kwa ulinzi wa jamaa--ukageuzwa kuwa

106

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!