12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Sababu yake ya Kweli

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 15. Mapinduzi ya Ufaransa

Mataifa mengine yalikaribisha Matengenezo kuwa ujumbe wa mbinguni. Katika inchi

zingine nuru ya maarifa ya Biblia ilikuwa karibu kufungwa kabisa. Katika inchi ingine kweli

na uongo vikashindaniya uwezo kwa karne nyingi. Mwishowe ukweli wa mbinguni

ukasongwa. Kiasi cha Roho ya Mungu kikaondolewa kwa watu wale waliozarau zawadi ya

neema yake. Na ulimwengu wote ukaona matunda ya kukataa nuru kwa makusudi.

Vita ya kupinga Biblia katika Ufransa ikatimilika wakati wa mapinduzi, ambayo ni

matokeo halali kwa Roma kutosoma Maandiko. (Tazama Nyongezo.) Ni onyesho la ajabu

sana lililoshuhudia mwisho wa mafundisho ya kanisa la Roma. Ufunuo ulitangaza matokeo

ya kutisha yaliyopaswa kuongezeka zaidi kwa Ufransa kutoka kwa utawala wa “mtu wa

zambi”:

“Na kiwanja kilicho inje ya hekalu la Mungu, uache inje, wala usipime kwa maana

imetolewa kwa mataifa, nao watakanyaga mji mutakatifu miezi makumi ine na miwili. Nami

nitawapa washuhuda wangu wawili nguvu, nao watatoa unabii siku elfu moja mia mbili

makumi sita, wamevikwa mavazi ya gunia. ... Hata watakapomaliza ushuhuda wao, yule

nyama anayetoka katika shimo pasipo mwisho atafanya vita nao; naye atawashinda na

kuwaua. Na maiti yao yatalala katika njia ya mji ule mkubwa, unaoitwa kwa kiroho Sodomo

na Misri, ambapo tena Bwana wetu aliposulubiwa. ... Na wale wanaokaa juu ya dunia

watafurahi juu yao na kuchekelea, watapelekeana zawadi wao kwa wao, kwa sababu manabii

hawa wawili waliwatesa wao wanaokaa juu ya dunia. Na kiisha siku tatu na nusu, Roho ya

uhai inayotoka kwa Mungu ikaingia ndani yao, wakasimama kwa miguu yao; na woga

mkubwa ukawaangukia watu wote waliowaona.” Ufunuo 11:2-11.

“Miezi makumi ine na miwili” na siku elfu moja mia mbili na makumi sita” ni sawa sawa,

wakati ambao kanisa la Kristo lilipaswa kuteswa na magandamizo ya Roma. Miaka 1260

ilianza katika mwaka 538 A.D. na ikamalizika kwa mwaka 1798 AD. (Tazama Nyongezo.)

Kwa wakati ule majeshi ya Ufaransa likamfanya Papa kuwa mfungwa, na akafa mbali na

kwao. Mamlaka ya Papa ikakosa uwezo wa kuimarisha utawala wake wa zamani.

Mateso hayakudumu hata mwisho katika miaka 1260 yote. Katika huruma zake kwa watu

wake, Mungu akafupisha mda wa taabu yao kali kwa mvuto wa Matengenezo. “Washahidi

wawili” ni mfano wa Maandiko ya Agano la Kale na Agano Jipya, washuhuda wakuu kwa

mwanzo na umilele wa sheria za Mungu, na pia kwa mpango wa wokovu.

“Nao watatoa unabii siku elfu moja mia mbili makumi sita, wamevikwa mavazi ya gunia.”

Wakati Biblia ilipokatazwa, ushuhuda wake ukageuzwa vibaya; wakati wale walipojaribu

kutangaza ukweli wake wakasalitiwa, kuteswa, kuuawa kama wafia dini kwa ajili ya imani

yao ao kulazimishwa kukimbia--ndipo “washuhuda” waaminifu wakatabiri “katika mavazi ya

105

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!