12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Whitefield na Wesleys wawili waliitwa kwa wakati ule “Methodistes” na wanafunzi

wenzao wabaya -jina ambalo kwa wakati huu linazaniwa kuwa la heshima. Roho Mtakatifu

aliwalazimisha kuhubiri Kristo na Yeye aliyesulubiwa. Maelfu waliogeuka kwa kweli.

Ilikuwa ni lazima kwamba kondoo hizi zilindwe kutoka mbwa mwitu wenye wazimu. Wesley

hakuwa na wazo la kuanzisha dini lingine, lakini aliwatengeneza chini ya kile kilichoitwa

mwunganisho wa Methodiste.

Ulikuwa ushindani wa siri na taabu ya uinzani ambayo wahubiri hawa walipambana nayo

kwa kuanzisha kanisa--kwani kweli ilikuwa na mwingilio mahali milango labda ingedumu

kuendelea yenye kufungwa. Wakuu wengine wa dini wakaamka kwa mshangao wa tabia yao

na wakawa wahubiri wa juhudi katika mitaa yao wenyewe.

Kwa wakati wa Wesley, watu wa vipawa mbalimbali hawakulinganisha kila sehemu ya

mafundisho ya dini. Tofauti kati ya Whitefield na Wesleys wawili ilitisha wakati moja kuleta

fitina, lakini kwa namna walijifunza upole katika chuo cha Kristo, uvumilivu na upendo

vikawapatanisha. Hawakuwa na wakati wa kubishana, wakati ambao makosa na maovu

yalijaa pote.

Wesley Anaepuka Kifo

Watu wa mvuto wakatumia uwezo wao kinyume chao. Wakuu wengi wa kanisa

wakaonyesha uchuki, na milango ya makanisa ikafungwa juu ya imani safi. Padri,

akiwalaumu juu ya mimbara, akachochea watu wajinga wa giza na waovu. Mara na mara

Wesley akaepuka kifo kwa muujiza wa uhuruma ya Mungu. Wakati ilionekana kwamba

hakuna njia ya kuepuka, malaika katika umbo la kibinadamu alikuja upande wake na kundi

lilianguka na mtumishi wa Kristo akapita katika usalama kutoka hatarini.

Kwa ajili ya ulinzi wake, mojawapo wa matukio hayo, Wesley akasema: “Ingawa wengi

walijaribu kukamata ukosi wa shingo yangu ao mavazi, kuniangusha, hawakuweza kufunga

kamwe: ila mmoja tu alishika upindo wa kisibau changu ambacho kikabaki mara mkononi

mwake; na upindo mwengine, ndani ya mfuko ambao ulikuwamo noti ya benki, ilipasuka

lakini nusu yake. ... Mtu wa nguvu nyuma yangu akanipiga mara nyingi, na fimbo kubwa ya

mti wa Ulaya (che ne); ambayo kama angalinipaga mara moja tu kwa upande wa nyuma wa

kichwa changu, ingalikuwa ni mwisho wangu. Lakini kila mara, pigo likapotoka, sijui namna

gani; kwani sikuweza kwenda kuume wala kushoto.”

Wamethodiste wa siku ile walivumilia kicheko na mateso, mara nyingi mauaji. Kwa

nyakati zingine, matangazo kwa watu wote libandikwa, kuita wale waliotaka kuvunja

madirisha na kunyanganya katika nyumba za Wamethodiste ili wakusanyike kwa wakati

ulitolewa na mahali. Mateso ya desturi yakafanyika juu ya watu ambao kosa moja tu lilikuwa

ni kutafuta kugeuza wenye zambi kutoka kwa njia ya uharibifu na kuwaingizisha kwa njia ya

utakatifu!

102

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!