Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Maelfu ya Wachungaji (Pasteurs) Walifukuzwa Katika karne ya kumi na saba maelfu ya wachungaji walifukuzwa na watu wakakatazwa kuhuzuria mikutano yo yote ya dini isiyokuwa ile iliyoruhusiwa na kanisa. Ndani ya kimbilio la vilindi mwituni, wale watoto wa Bwana walioteswa walikusanyika kwa kumimina roho zao katika maombi (sala) na kusifu. Wengi waliteseka kwa ajili ya imani yao. Gereza zilijaa, jamaa zikatengana. Lakini mateso hayakunyamazisha ushuhuda wao. Wengi walilazimishwa kuvuka bahari kwenda Amerika na hapo ndipo paliwekwa msingi wa utaalamu na uhuru wa dini. Ndani ya gereza kulijaa na watu waliofanya makosa makubwa, John Bunyan, akapumua hewa ya mbinguni na akaandika mizali yake ya ajabu ya safari ya msafiri kutoka kwa inchi ya uharibifu kwenda kwa mji wa mbinguni. Pilgrim’s Progress na Grace Abounding to the Chief of Sinners vimeongoza nyayo nyingi kwa njia ya uzima. Katika siku ya giza ya kiroho Whitefield na Wesleys wakatokelea kama wachukuzi wa nuru kwa ajili ya Mungu. Chini kanisa lililoanzishwa watu wakarudia zambini ambayo ni vigumu kutofautisha kwa ushenzi. Watu wa vyeo vya juu wakacheka uchaji wa Mungu; watu wa vyeo vya chini wakazamishwa kwa maovu. Kanisa halikuwa na uhodari ao imani kwa kusaidia maanguko ya neno la kweli. Kuhesabiwa Haki kwa Imani Mafundisho makubwa ya kuhesabiwa haki kwa imani, yaliyofundishwa wazi wazi na Luther, yalikuwa karibu kusahauliwa kabisa; kanuni ya kanisa la Roma ya kutumaini matendo mema kwa ajili ya wokovu yakakamata nafasi yake. Whitefield na Wesleys wawili walikuwa watafuti wa kweli kwa ajili ya wema wa Mungu. Hii walifundishwa kuwekwa salama kwa njia ya wema na kushika maagizo ya dini. Wakati Charles Wesley kwa wakati moja alipopata ugonjwa na akatumaini kwamba kifo kilikuwa karibu, akaulizwa, msingi wa tumaini lake la uzima wa milele ulikuwa juu ya kitiu gani. Jibu lake: “Nimetumia juhudi yangu bora kumtumikia Mungu.” Rafiki ilionekana hakutoshelewa kabisa kwa jibu hili. Wesley akafikiri: “Nini! ... Anatamani kuninyanganya juhudi yangu? Sina kitu kingine cha kutumainia.” Hiyo ndiyo ilikuwa giza ambayo iliyoimara kwa kanisa, kugeuza watu kutoka kwa tumaini lao pekee la wokovu--damu ya Mkombozi aliyesulubiwa. Wesley na washiriki wake wakaongozwa kufahamu kwamba sheria ya Mungu inafikishwa mawazoni pia kwa maneno na matendo. Kwa juhudi za kazi na maombi wakafanya bidii ya kushinda maovu ya moyo wa asili. Wakaishi maisha ya kujinyima na kujishusha, wakachunguza kwa uaminifu kila mpango waliochukua ambao ungeweza kuwa wa kusaidia kwa kupata utakatifu ule ambao uliweza kutunza wema wa Mungu. Lakini juhudi zao wenyewe hazikuweza kuwapa uhuru kutoka kwa hukumu ya zambi ao kuvunja uwezo wake. 100

Kupinga ya Kiprotestanti Mioto ya ukweli wa Mungu, ambayo ilikuwa karibu kuzimika juu ya mazabahu ya dini ya Kiprotestanti, ilipashwa kuwashwa kutoka kwa mwenge wa zamani uliotolewa na Wakristo wa Bohemia. Wengine miongoni mwao, wakapata kimbilio katika Saxe (Saxony), wakalinda imani ya zamani. Kutoka kwa Wakristo hawa nuru ikaja kwa Wesley. Yohana na Charles wakatumwa kwa ujumbe kuenda Amerika. Katika meli kulikuwa na kundi la waMoravians. Wakakutana na zoruba kali sana, na Yohana, akawa uso kwa uso na kifo, akajisikia kwamba hakuwa na hakikisho la amani na Mungu. Lakini Wajeremani wakaonyesha utulivu na kutumaini kwamba alikuwa mgeni. “Tangu zamani,” akasema, “nilichunguza umuhimu mkuu wa mwenendo (tabia) wao. ... Wakawa sasa na bahati ya kujaribu kwamba walikuwa huru bila mafikara ya woga pia na ile ya kutokuwa na kiburi, hasira na kulipisha kisasi. Katikati ya zaburi kwa kazi yao ilianza, bahari ikapasuka, na kupasua tanga kubwa kwa vipande vipande, ikafunika merikebu, na kumwanga kati kati ya sakafu kana kwamba kilindi kikuu kimekwisha kutumeza. Kilio cha nguvu kikaanza miongoni mwa Waingereza. Wajeremani kwa utulivu wakaendelea kuimba. Nikauliza mmojawapo wao baadaye,`Hamkuwa na hofu? ‘ Akajibu Namshukuru Mungu, hapana.’ Nikauliza, `Lakini wake wenu na watoto hawakuwa na hofu?’ Akajibu kwa upole, `Sivyo; wake wetu na watoto hawaogopi kufa.’” Moyo wa Wesley “Kwa Jinsi Isiyo ya Kawaida Watiwa Joto” Kwa kurudi kwake Uingereza, Wesley akafikia kwa kufahamu wazi wazi imani ya Biblia chini ya mafundisho ya mtu wa Moravia. Kwa mkutano wa chama cha Wamoravian katika Londoni maneno yakasomwa kutoka kwa Luther. Namna Wesley alipokuwa akisikiliza, imani ikawashwa ndani ya roho yake. “Nilisikia moyo wangu kutiwa joto ngeni,” akasema. “Nilisikia kwamba nilimtumaini Kristo, Kristo pekee, kwa ajili ya wokovu: na tumaini likatolewa kwangu, kwamba aliondoa mbali zambi zangu, hata zangu, na aliniokoa kutoka kwa sheria ya zambi na mauti.’‘ Sasa aliona kwamba neema aliyojitahidi kupata kwa njia ya maombi na kufunga na kujinyima ilikuwa zawadi, “bila mali na bila bei.” Roho yake yote ikawaka na mapenzi ya kutangaza po pote injili utukufu ya neema huru ya Mungu. “Nikatazama juu ya ulimwengu wote kama mtaa wangu,” akasema; “po pote ninapokuwa, ninazania kwamba, nina haki, na wajibu wangu wa lazima, kutangaza kwa wote wale wanaotamani kusikia, habari za furaha za wokovu.” Akaendelea na maisha yake halisi na ya kujinyima, si sasa kama msingi, bali matokeo ya imani; si shina, bali tunda la utakatifu. Neema ya Mungu katika Kristo itaonekana katika utii. Maisha ya Wesley ilitolewa kuwa wakfu kwa kuhubiri kweli kubwa aliyoyakubali-- kuhesabiwa haki kwa njia ya imani katika damu ya kafara ya Kristo, na uwezo mpya wa Roho Mtakatifu kwa moyo, kuendelea kuleta matunda katika maisha yanayofanana kwa mfano wa Kristo. 101

Kupinga ya Kiprotestanti

Maelfu ya Wachungaji (Pasteurs) Walifukuzwa

Katika karne ya kumi na saba maelfu ya wachungaji walifukuzwa na watu wakakatazwa

kuhuzuria mikutano yo yote ya dini isiyokuwa ile iliyoruhusiwa na kanisa. Ndani ya kimbilio

la vilindi mwituni, wale watoto wa Bwana walioteswa walikusanyika kwa kumimina roho zao

katika maombi (sala) na kusifu. Wengi waliteseka kwa ajili ya imani yao. Gereza zilijaa,

jamaa zikatengana. Lakini mateso hayakunyamazisha ushuhuda wao. Wengi walilazimishwa

kuvuka bahari kwenda Amerika na hapo ndipo paliwekwa msingi wa utaalamu na uhuru wa

dini.

Ndani ya gereza kulijaa na watu waliofanya makosa makubwa, John Bunyan, akapumua

hewa ya mbinguni na akaandika mizali yake ya ajabu ya safari ya msafiri kutoka kwa inchi

ya uharibifu kwenda kwa mji wa mbinguni. Pilgrim’s Progress na Grace Abounding to the

Chief of Sinners vimeongoza nyayo nyingi kwa njia ya uzima.

Katika siku ya giza ya kiroho Whitefield na Wesleys wakatokelea kama wachukuzi wa

nuru kwa ajili ya Mungu. Chini kanisa lililoanzishwa watu wakarudia zambini ambayo ni

vigumu kutofautisha kwa ushenzi. Watu wa vyeo vya juu wakacheka uchaji wa Mungu; watu

wa vyeo vya chini wakazamishwa kwa maovu. Kanisa halikuwa na uhodari ao imani kwa

kusaidia maanguko ya neno la kweli.

Kuhesabiwa Haki kwa Imani

Mafundisho makubwa ya kuhesabiwa haki kwa imani, yaliyofundishwa wazi wazi na

Luther, yalikuwa karibu kusahauliwa kabisa; kanuni ya kanisa la Roma ya kutumaini matendo

mema kwa ajili ya wokovu yakakamata nafasi yake. Whitefield na Wesleys wawili walikuwa

watafuti wa kweli kwa ajili ya wema wa Mungu. Hii walifundishwa kuwekwa salama kwa

njia ya wema na kushika maagizo ya dini.

Wakati Charles Wesley kwa wakati moja alipopata ugonjwa na akatumaini kwamba kifo

kilikuwa karibu, akaulizwa, msingi wa tumaini lake la uzima wa milele ulikuwa juu ya kitiu

gani. Jibu lake: “Nimetumia juhudi yangu bora kumtumikia Mungu.” Rafiki ilionekana

hakutoshelewa kabisa kwa jibu hili. Wesley akafikiri: “Nini! ... Anatamani kuninyanganya

juhudi yangu? Sina kitu kingine cha kutumainia.” Hiyo ndiyo ilikuwa giza ambayo iliyoimara

kwa kanisa, kugeuza watu kutoka kwa tumaini lao pekee la wokovu--damu ya Mkombozi

aliyesulubiwa.

Wesley na washiriki wake wakaongozwa kufahamu kwamba sheria ya Mungu inafikishwa

mawazoni pia kwa maneno na matendo. Kwa juhudi za kazi na maombi wakafanya bidii ya

kushinda maovu ya moyo wa asili. Wakaishi maisha ya kujinyima na kujishusha,

wakachunguza kwa uaminifu kila mpango waliochukua ambao ungeweza kuwa wa kusaidia

kwa kupata utakatifu ule ambao uliweza kutunza wema wa Mungu. Lakini juhudi zao

wenyewe hazikuweza kuwapa uhuru kutoka kwa hukumu ya zambi ao kuvunja uwezo wake.

100

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!