You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

hawa waliokufa po pote katika inchi wakafurahisha roho za watu na kusudi isiyokufa ya

kuvunja minyororo za Roma.

Yohana Knox

Hamilton na Wishart, pamoja na mstari mrefu wa wanafunzi wapole, wakatoa maisha yao

kwa kigingi. Lakini kutoka kwenye tuta la kuni moto wa Wishart kukatokea mtu ambaye

ndimi za moto hazikumunyamazisha, mtu ambaye, chini ya uongozi wa Mungu ilipashwa

kupinga onyo la mauti kwa kanisa la Papa katika inchi ya Scotland.

John Knox akatupia mbali maagizo ya asili ya kanisa na akajilisha kwa ukweli wa Neno

la Mungu. Mafundisho ya Wishart yakathibitisha kusudi lake la kuachana na Roma na

kujiunga mwenyewe na Watengenezaji walioteswa.

Aliposhurutishwa na wenzake kufanya kazi ya kuhubiri, akarudi anapotetemeka mbele ya

madaraka kama hayo. Ilikuwa tu baada ya siku za vita kali pamoja naye ndipo akakubali.

Lakini alipokubali, akaendelea mbele na uhodari wa kutisha. Ujasiri huu wa mtengenezaji

haukuogopa mtu. Alipoletwa uso kwa uso na malkia wa Scotland, Yohana Knox hakukubali

kushindwa kwa sababu ya kubembelezwa; hakutetemeka juu ya vitisho. Kwamba Malkia

akatangaza kwamba alifundisha watu kukubali dini iliyokatazwa na serekali, na kwa hivyo

alivunja pia amri ya Mungu inayolazimisha watu kutii watawala wao. Knox akajibu kwa

ujasiri: “Kama watoto wa Izraeli wote walikubali dini ya Farao ambao walikuwa watu wake,

nakuuliza, Bibilia, ni dini ya namna gani ingaliweza kuwa katika dunia? Ao kama watu wote

katika siku za mitume, wangalikuwa wa dini ya wafalme wa Roma, ni dini ya namna gani

ingalikuwa mbele ya uso wa dunia?”

Akasema Marie: “Mnatafsiri Maandiko kwa namna ingine, na (Wakatoliki wa Roma)

wanatafsiri kwa namna ingine; nitamwamini nani, na ni nani atakuwa mwamzi?”

“Utamwamini Mungu, ile inasemwa wazi katika Neno lake,” akajibu Mtengenezaji. ...

Neno la Mungu linakuwa wazi ndani yake lenyewe; na kama kukionekana giza lolote katika

mahali fulani, Roho Mtakatifu, asiyekuwa na mabishano kati yake mwenyewe, hueleza

namna moja wazi zaidi mahali pengine.”

Kwa moyo usio na hofu Mtengenezaji shujaa, kwa ajili ya maisha yake, akaendelea na

kusudi lake, hata Scotland ikapata uhuru kutoka kwa kanisa la Papa.

Kuimarishwa kwa dini ya Kiprotestanti kama dini ya taifa katika Uingereza kulituliza

mateso lakini bila kuikomesha kabisa. Mengi katika maagizo ya Roma yaliendelea. Mamlaka

ya Papa ilikataliwa, lakini mahali tu ambapo mfalme alipewa kiti kama kichwa cha kanisa.

Katika ibada watu walikuwa wakingali mbali na utakatifu wa injili. Uhuru wa dini ulikuwa

haujafahamika. Ijapo matatizo ya kutisha ambayo Roma ilitumia ilipata kimbilio lakini kwa

shida na wakuu wa Kiprotestanti, kwani haki ya kila mtu kuabudu Mungu kufuata zamiri yake

mwenyewe haikukubaliwa. Wakaidi walipata mateso kwa mamia ya miaka.

99