12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

kidogo. Katika fito za chuma za chumba chake kidogo Tausen akazungumza na wenzake

maarifa ya kweli. Kama mababa wema wale wa Danois wangalipatana katika shauri la kanisa

juu ya uzushi, sauti ya Tausen haingalisikiwa tena kamwe; lakini badala ya kumzika hai kwa

gereza la chini ya udongo, wakafukuzwa kwa nyumba ya watawa.

Amri ya mfalme, ikatangazwa, ikatolea ulinzi kwa elimu ya mafundisho mapya. Makanisa

yakafunguliwa kwa ajili yake, na watu wakajaa tele kusikiliza. Agano Jipya katika Kidanois

kikaenezwa mahali pengi. Juhudi ya kuangusha kazi ikaishia kwa kuitawanya, na kwa hiyo

Danemark ikatangaza ukubali wake wa imani ya matengenezo.

Maendeleo katika Uswedi

Katika Uswedi vilevile vijana kutoka Wittenberg wakachukua maji ya uzima kwa watu

wa kwao. Waongozi wawili wa Matengenezo katika Swede, Olaf na Laurentius Petri,

walijifunza chini ya Luther na Melanchton. Kama mtengenezaji mkuu, Olaf akaamsha watu

kwa ufundi wake wa kusema, hivyo Laurentius, sawasawa na Melanchton, alikuwa na

uangalifu na utulivu. Wote wawili walikuwa na uhodari imara. Mapadri wakikatoliki

wakasukuma watu wajinga na wa ibada ya sanamu kwa nyakati nyingi. Olaf Petri kwa shida

akaokoka na maisha yake. Watengenezaji hawa walikuwa, basi, wakilindwa na mfalme,

aliyekusudia juu ya Matengenezo na akakaribisha hawa wasaidizi hodari katika vita ya

kupinga Roma.

Mbele ya mfalme na watu waliojifunza wa Swede, Olaf Petri kwa uwezo mkubwa akatetea

imani ya matengenezo. Akatangaza kwamba mafundisho ya mababa yanapaswa kukubaliwa

tu kama yakipatana na Maandiko; akatangaza kwamba mafundisho mhimu ya imani

yanayofundishwa katika Biblia kwa hali ya wazi ili wote waweza kuyafahamu.

Shindano hili linaonyesha watu wa namna gani wanaokuwa katika jeshi la Watengenezaji.

Hawakuwa wajinga, watu wa kujitenga, wenye mabishano wa fujo--mbali ya ile. Walikuwa

watu waliojifunza Neno la Mungu na waliojua vizuri kutumia silaha walizozipata kwa gala

ya silaha ya Biblia. (Walikuwa) wanafunzi na wanafunzi wa elimu ya tabia na sifa za Mungu

na dini (Theologie), watu wakamilifu waliozoea mambo ya ukweli wa injili, na walioshinda

kwa urahisi wenye kutumia maneno ya ovyo ya uongo wa vyuo na wakuu wa Roma.”

Mfalme wa Swede akakubali imani ya Waprotestanti, na baraza la taifa likatangaza

ukubali wake. Kwa matakwa ya mfalme ndugu hawa wawili wakaanza utafsiri wa Biblia

nzima. Ikaagizwa na baraza kwamba po pote katika ufalme, wachungaji walipashwa kueleza

Maandiko, na kwamba watoto katika vyuo walipashwa kufundishwa kusoma Biblia.

Walipookoka na magandamizo ya Roma, watu wa taifa la Uswedi wakafikia hali ya nguvu

na ukubwa wasiofikia mbele. Baada ya karne moja, taifa hili ndogo na zaifu likawa la kwanza

katika Ulaya lililosubutu kutoa mkono wa usaada--kwa ukombozi wa Ujermani mda wa

shindano ndefu la Vita ya miaka makumi tatu. Ulaya yote ya Kaskazini ilionekana kuwa tena

chini ya ukorofi wa Roma. Majeshi ya Swede ndiyo yaliwezesha Ujeremani kupata uhuru wa

95

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!