12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

nguvu zake. Inchi ndogo sana na mataifa zaifu zaidi yakawa ngome zake. Ilikuwa Geneve

ndogo; ilikuwa Hollande, kushindana juu ya ukorofi wa Espagne; ilikuwa Suede ya ukiwa na

ukame, ambazo zilipata ushindi kwa ajili ya Matengenezo.

Karibu miaka makumi tatu Calvin alitumika Geneve kwa ajili ya maendeleo ya

Matengenezo pote katika Ulaya. Mwenendo wake haukuwa bila kosa, wala mafundisho yake

kukosa kuwa na makosa. Lakini alikuwa chombo cha kutangaza ukweli ya maana ya kipekee;

katika kuimarisha dini ya Kiprotestanti juu ya mwendo wa kurudi kwa upesi kufaulu kwa

kanisa la Papa, na kwa ajili ya kuingiza katike makanisa ya Matengenezo unyofu na usafi wa

maisha.

Kutoka Geneve, wakaenda kutangaza mafundisho ya Matengenezo. Hapo, inchi zote za

watu walioteswa wakatafuta kupata mafundisho na kutiwa moyo. Mji wa Calvin ukawa

kimbilio la Watengenezaji waliowindwa katika Ulaya yote ya Magharibi. Wakakaribishwa

vizuri na kutunzwa vizuri sana; na wakapata makao pale, wakaletea mji uliowapokea

mibaraka ya ufundi wao, elimu yao, na utawa wao. John Knox, Mtengenezaji hodari wa

Scotland (Ecosse), si hesabu ndogo ya watu wanyofu wa Uingereza, Waprotestanti wa

Hollande na wa Espagne, na wa Huguenots wa Ufaransa, wakachukua kutoka Geneve

mwenye wa ukweli kuangazia giza kwa inchi zao za kuzaliwa.

92

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!