18.01.2013 Views

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kwa Wanahisa,

TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY LIMITED

Barua ya Kuwasilisha

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Wakurugenzi wa Kampuni wanayo furaha kuwasilisha kwenu Taarifa ya Mwaka ya Kampuni kwa kipindi cha mwaka

unaoishia Desemba 31, 2008, kwa mujibu wa ibara ya 166 ya Sheria ya Kampuni ya mwaka, 2002.

Taarifa hii inajumuisha, Tamko la Mwenyekiti, Ripoti ya Mkurugenzi Mtendaji, Hesabu za mwaka, Ripoti ya Wakurugenzi

na Ripoti ya Wakaguzi kuhusu hesabu hizo.

Wakurugenzi wanapendekeza gawio la shilingi za Kitanzania 70.00 kwa hisa ikilinganishwa na shilingi 43.00 kwa hisa

zilizotolewa mwaka jana.

Jean-Marc Junon

MWENYEKITI

Tanzania Portland Cement Company Limited

3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!