18.01.2013 Views

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Mipango na Maendeleo na Mkurugenzi wa Usimamiza na Ufuatilaji). Yeye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya

PTA Bank (Eastern and Southern African Trade and Development Bank).

Bw. George Fumbuka, Mtanzania

(Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Fedha ya Chuo Kikuu cha Strathclyde Business School, ACCA)

Tangu 1990 ni Mkurugenzi na Afisa Mkuu Mtendaji wa CORE Securities. Amewahi kufanya kazi Tanesco (1984-89),

Coopers and Lybrand (1981-84), Bodi ya Biashara ya nje (1976-78) na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) (1976-81).

Ni mjumbe wa Bodi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na yupo katika Bodi ya Ushauri ya Wizara - RIA na Baraza

la Utawala la Soko la Hisa la Dar es Salaam.

Bw. Daniel Gauthier, Mbeligiji

(Mhandisi Ujenzi - Madini, Digrii ya Uzamili katika Uongozi, Mhandish Ujenzi)

Miaka 28 ya uzoefu katika nyadhifa mbalimbali kwenye sekta ya saruji. Ni mjumbe katika Bodi ya Utawala ya Heidel-

bergCement na Afisa Mkuu Mtendaji kwa kanda ya Ulaya Kaskazini, Benelux, Africa, Med-East, and Trading. Ni Raisi

na Afisa Mkuu Mtendaji wa CBR S.A., Raisi wa European Cement Research Association, Raisi wa Plytech Mons Alumni,

Mjumbe wa Bodi wa LVI (Carmeuse Group), Mjumbe wa Bodi wa Cembureau na Mjumbe wa Kamati ya the Science

Academy of Belgium for the Application of the Science. Pia ni Mjumbe wa Bodi ya HeidelbergCement Northern Europe

(Sweden); Akçansa (Turkey), CCC(China).

Bw. Ola Schippert, Mswedi

(Digrii ya Uzamili katika Utawala)

Bw. Ola Schippert ni Makamu wa Raisi Mwandamizi anayehusika na Fedha na IT katika HeidelbergCement Africa.

Alianza na Kampuni moja ya Uhasibu nchini Sweden mwaka 1984 ambapo alifanya kazi kwa miaka 4 akimalizia kama

Meneja wa Ukaguzi wa Hesbu. Maka 1988 alijiunga na Kundi la Scancem kama Mdhibiti huko makao makuu yaliyopo

Malmo, Sweden. Tangu hapo ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi Ulaya, Africa na Aia kwanza na Kundi la Scan-

cem na baadaye na kundi la HeidelbegCement. Mwaka 2006 aliteuliwa kushika wadhifa alio nao sasa. Mwezi Januari

2008 aliteuliwa kuwa mkurugenzi katika Bodi ya Wakurugenzi TPCC na pia Mwenyekiti wa kamati ya Ukaguzi ya TPCC.

View of the new production line Construction works on the new production line

15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!