18.01.2013 Views

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Bodi ya Wakurugenzi

Bw. Jean-Marc Junon, Mfaransa

(Digrii ya kwanza ya Sayansi katika Uhandisi Ujenzi)

Bw. Jean-Marc Junon ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni kuanzia Aprili 2005. Alipata mafunzo yake

ya uzalishaji katika tasnia ya nyuklia huko Ufaransa, ambapo alifanya kazi kwa miaka mitano akapanda cheo hadi kufikia

ngazi ya Meneja wa Eneo la Ujenzi “Site Manager”. Alijiunga na tasnia ya saruji mnamo mwaka 1987 karna Meneja

Msaidizi wa Kiwanda katika kampuni ya Italcementi Group, akafanya kazi na Kampuni hiyo kwa miaka 14 katika nyadhi-

fa kubwa mbalimbali, kusimamia majukumu ya watendaji katika uzalishaji, mipongo mkakatia ya kibiashaara na maen-

deleo. Alipanda ngazi hadi kufikia cheo cha Meneja Maendeleo ya Biashara kanda y Asia Kusini Mashariki na China tabla

ya kuacha kazi Italcementi mwishoni mwa mwaka 2000. Alijiunga na kundi la makampuni la HeidelbergCement Group

mwaka 2001 kama Afisa Mkuu Uendeshaji katika China. Sasa hivi ni Afisa Mkuu Uendeshaji wa HeidelbergCement

Africa. Bw. Junon ni mwenyekiti au mjumbe wa bodi mbalimbali za makampuni yaliyo chini ya kundi la makampuni la

HeidelbergCemMiaka 25 ya uzoefu katika nyadhifa mbalimbali kwenye sekta ya saruent Group.

Bw. Klaus Henrik Hvassing, Mnorwei

(Digrii ya Uzamili ya Sayansi ya Biashara, Digrii ya kwanza ya Uhandisi Ujenzi)

Bw. Klaus Hvassing aliteuliwa kuwa Mkurugenzi mkuu wa TPCC mnamo Desemba 2004, na Meneja wa eneo la Tanzania

katika Kanda ya Afrika Mashariki, anayewajibika kwa Tanzania na huduma za mradi katika Afrika. Alijiunga na Heidel-

bergCement mnamo 1994 kama Meneja wa Fedha wa kiwanda cha Norcem Kjøpsvik huko Norway. Aliteuliwa kuwa

Meneja Kiwanda katika kiwanda hicho mnamo 1995 na, kuanzia 2001, Meneja Kiwanda wa Norcem Brevik. Mwishoni

mwa mwaka huo aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais Mwandamizi katika Scancem International ANS, anayewajibika kwa

Masuala ya Kiufundi, Manunuzi, na majukumu ya nchi kwa Liberia na Sierra Leone. Akiwa mhitimu wa Shahada ya Uza-

mili ya Sayansi katika Biashara na Shahada ya Kwanza ya Sayansi katika Uhandisi Ujenzi, Bw. Hvassing pia amefanya kazi

katika Bodi za makampuni mengine yaliyoko chini ya HeidelbergCement Group.

Bw. William Mlaki, Mtanzania

(Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Uongozi wa Viwanda na Viwanda vya Kilimo) Bw. Mlaki ni Meneja Mkuu wa Benki

ya Raslimali Tanzania (TIB). Ameshika nyadhifa mbalimbali katika TIB tangu 1972 (Afisa Mwandamizi, Mkurugenzi wa

Preparation of big bags for delivery Maintenance of cooler tubes on one of the old kilns

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!