TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mradi wa Upanuzi

Mradi wa upanuzi wa thamani ya USD milioni 108 unaka-

ribia kukamilika. Mradi huu uliidhinishwa mapema mwaka

2007 na mkataba baina ya TPCC na CBMI kutiwa saini

tarehe 14 Machi 2007. CBMI ni kampuni maarufu kwa

ugavi wa viwanda vya aina hii vya saruji na ni kampuni

tanzu ya Kundi kubwa la Makampuni la kichina liitwalo

SINOMA.

Raw mill

210 tons/hour

Mradi unajumuisha mtambo kamili wa uzalishaji, mtambo

wa kuchanganua/kuvunja mali ghafi , ghala la mawe

chokaa, Mashine ya kusaga udongo mbichi na ghala la

udongo huo, mtambo wa kujaza mifuko na kupakia saruji

pamoja na laini ya pekee ya umeme wa kv 132.

Kazi ilianza mwezi Juni 2007 na ilipofi ka Oktoba 2008

kampuni ilikabidhiwa sehemu ya kwanza ya mradi yenye

mtambo wa kusaga saruji na wa upakizi. Kukamilika kwa

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Blending beds

2 x 18,000 tons

sehemu hii ya mradi kuliiongezea kampuni uwezo wa

kusaga saruji maradufu kutoka takriban tani 700,000 hadi

tani 1,400,000 kwa mwaka.

Hivi sasa mtambo wa kuzalisha klinka uko katika majar-

ibio. Zao la kwanza la mtambo huo lilipatikana tarehe 1

Machi 2009. Kiasi cha tani 25,000 za kilinka kilizalishwa

mwezi Machi kwa mtambo huo mpya. Kwa mujibu wa

ratiba tutakabidhiwa mtambo huu mwezi June 2009.

Baada ya hapo kampuni haitategemea klinka kutoka nje.

Mradi umekuwa wa mafanikio kwa TPCC napia Kundi

la HeidelbergCememt. Mradi utakamilika kama ulivyo-

pangwa kwa maana ya muda wa ujenzi na gharama za

mradi. Hakuna matatizo makubwa yaliyojitokeza wakati

wa ujenzi yaani ajali zinazopelekea wafanyakazi kuumia au

kupoteza maisha.

Crusher & screener

700 tons/hour

11