18.01.2013 Views

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kutokana na uagizaji wa klinka kutoka nje, gharama za us-

afirishaji za kimataifa, ongezeko la mfumuko wa bei nchini

na gharama za nishati.

Gharama za uendeshaji ziliongezeka kutokana na ongeze-

ko la wafanyakazi na madiliko ya mkataba wa hiari baina

ya kampuni na Chama cha wafanyakazi,ilhali gharama

za usambazaji zilidhibitiwa kikamilifu. Aidha gharama za

uchakavu zilipanda kutokana na kukamilika kwa sehemu

ya kwanza ya mradi wa upanuzi wa kiwanda.

Kampuni, kwa kiasi kikubwa imelipia mradi wa upanuzi

kutokana na fedha zake kuliko ilivyopangwa awali. Hadi

kufikia mwisho wa 2008 ni kiasi cha dola za Marekani mil-

ioni 20 tu zilitumika toka vyanzo vya nje na hatutegemei

kutumia fedha zaidi zinazotokana na mikopo. Riba inayo-

tokana na mikopo ya mradi wa upanuzi inajumuishwa

kwenye gharama za mradi kulingana na mabadiliko ya hivi

karibuni ya viwango vya kimataifa vya uhasibu.

Faida baada ya kodi ya mapato ilifikiaTZS bilioni 35 ikiwa

juu kwa asilimia 16 ikilinganishwa na mwaka 2007 na ni

faida inayoniridhisha sana.

Mengineyo

Ili kuendana na ukuaji wa soko na ongezeko la uzalishaji

tuliajiri wafanyakazi wengine 33 mwaka 2008. Kwa kuwa

mtambo mpya ni wa kisasa sana kiufundi tumeweka msu-

kumo mkubwa kenye mafunzo; hii inajumuisha mafunzo

ya ndani na pia tuliwapeleka wafanyakazi (16) kwenye

Kampuni zingine katika kundi la makampuni ya Heidel-

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

bergCement. Mafunzo, hasa ya ndani yataendelea pia

mwaka huu.

Hapa TPCC tuna matumaini makubwa kuhusu hali ya

baadaye ya Kampuni. Hata hivyo mparanganyiko wa hali

ya fedha na kudorora kwa uchumi duniani ni maeneo ya

kuangalia sana. Hatutegemii kwamba Tanzania haitaguswa

na haya matukio ya kimataifa na tunaona kwamba soko la

vifaa vya ujenzi nchini Tanzania na maeneo jirani lita-

pungua kuanzia nusu ya pili ya mwaka 2009 hadi kuingia

2010.

Mlolongo mrefu wa mchakato wa sheria dhidi ya wa-

vamizi 933 wanaokalia eneo la Kampuni haukufikia hatma

mwaka 2008. Baada ya Kampuni kushinda kesi hiyo

Oktoba 2006 (baada ya miaka mitano ya malumbano ya

kisheria) inaonekana mchakato wa rufaa nao utachukua

muda mrefu pia.

Hitimisho

Kwa kifupi, 2008 ulikuwa mwaka mwingine mzuri sana

kwa Kampuni. Kutokana na ongezeko la uwezo wa

uzalishaji pamoja na na wafanyakazi wanaojituma na

wenye ujuzi pamoja na ukuaji wa soko la saruji tunaamini

kwamba ufanisi kifedha utaendelea miaka ijayo.

Part of the new production line at night One of the old cement mills in operation

9

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!