Kijiwe Newsletter Sept
Toleo Na. 03KahawaSeptember 2021E-Newsletter"Eimu bado hatuna, hiyo COP26 umeisema hapa ndionimeisikia leo. Mje mara kwa mara mtupe eimu" - HadijaTIBA ni taasisi isiyo ya kiserikali wala kupata faida inayolengakubadilisha maisha ya wanawake,vijana na watoto,kwa kutumianjia shirikishi katika jamii kwa kutumia vyombo vyahabadi,technologia na sanaa.TIBA imejikita katika kuhakikisha inamuinua mwanamke na kuletausawa wa kijinsia,kutoa elimu na kufanya ushawishi katikamasuala ya afya ya uzazi kwa vijana, kungazia athari zinazoletwana mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu wa mazingira,elimushirikishi kwa wasichana na watu wenye ulemavu.Kijiwe Cha Kahwa ni mradi unaolenga kuongeza ushirikishwaji wawanaume katika masuala ya jinsia na maendeleo ikiwemomabadiliko ya tabia ya nchi,afya ya uzazi kwa vijana,kuzuia ukatiliwa kijinsia,usawa wa kijinsia ,ushiriki wa wanawake katika masualaya ulianzi na amani. ambayo huathiri ustawi wa wanawake nawatoto, na wanaume wenyewe.Kupitia vijiwe vya kahawa, TIBA imekuwa ikifanya mijadala nawanaume pamoja na wanawake wachache ili kuibua changamoto nakuzitafutia ufumbuzi wa pamoja. Msimu huu wa pili wa Kijiwe ChaKahawa, kwa kipindi cha miaka miwili 2019 TIBA imefikia wanawake2750,wanaume 2852,na vimetengezza wanaume vinara wa jinsia 55katika midahalo 26 katika kata 3 ambazo ni Tandale,Mwanyamalana Upanga.Msimu huu wa pili wa Kijiwe Cha Kahawa, TIBA tunashirikianapamoja na Mema Tanzania katika kutekeleza mradi wilaya yaKinondoni na ukanda wa Pwani kwa ujumla. Mchaka mchaka waKijiwe cha Kahawa uliendelea mtaa wa Tandale Mashuka, tulikutanana waswahili wenzetu kujadili "Rasilimali katika kukabiliana namabadiliko ya tabia, Je, zinafahamika katika jamii"?
- Page 2 and 3: Tandale Wafunga PaziaMtandaoni Hatu
- Page 4 and 5: JE,WAJUATIBA (Transformative and In
Toleo Na. 03
Kahawa
September 2021
E-Newsletter
"Eimu bado hatuna, hiyo COP26 umeisema hapa ndio
nimeisikia leo. Mje mara kwa mara mtupe eimu" - Hadija
TIBA ni taasisi isiyo ya kiserikali wala kupata faida inayolenga
kubadilisha maisha ya wanawake,vijana na watoto,kwa kutumia
njia shirikishi katika jamii kwa kutumia vyombo vya
habadi,technologia na sanaa.
TIBA imejikita katika kuhakikisha inamuinua mwanamke na kuleta
usawa wa kijinsia,kutoa elimu na kufanya ushawishi katika
masuala ya afya ya uzazi kwa vijana, kungazia athari zinazoletwa
na mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu wa mazingira,elimu
shirikishi kwa wasichana na watu wenye ulemavu.
Kijiwe Cha Kahwa ni mradi unaolenga kuongeza ushirikishwaji wa
wanaume katika masuala ya jinsia na maendeleo ikiwemo
mabadiliko ya tabia ya nchi,afya ya uzazi kwa vijana,kuzuia ukatili
wa kijinsia,usawa wa kijinsia ,ushiriki wa wanawake katika masuala
ya ulianzi na amani. ambayo huathiri ustawi wa wanawake na
watoto, na wanaume wenyewe.
Kupitia vijiwe vya kahawa, TIBA imekuwa ikifanya mijadala na
wanaume pamoja na wanawake wachache ili kuibua changamoto na
kuzitafutia ufumbuzi wa pamoja. Msimu huu wa pili wa Kijiwe Cha
Kahawa, kwa kipindi cha miaka miwili 2019 TIBA imefikia wanawake
2750,wanaume 2852,na vimetengezza wanaume vinara wa jinsia 55
katika midahalo 26 katika kata 3 ambazo ni Tandale,Mwanyamala
na Upanga.
Msimu huu wa pili wa Kijiwe Cha Kahawa, TIBA tunashirikiana
pamoja na Mema Tanzania katika kutekeleza mradi wilaya ya
Kinondoni na ukanda wa Pwani kwa ujumla. Mchaka mchaka wa
Kijiwe cha Kahawa uliendelea mtaa wa Tandale Mashuka, tulikutana
na waswahili wenzetu kujadili "Rasilimali katika kukabiliana na
mabadiliko ya tabia, Je, zinafahamika katika jamii"?
Tandale Wafunga Pazia
Mtandaoni Hatukuboi
Kuelekea kijiweni, huwa tunafanya mjadala mtandaoni ili kupata mtazamo wa watu wengine ambao hawawezi kuhudhuria kijiwe cha
kahawa. Tarehe 27 Septemba, tulijumuika na Sarah Pima katika Club House kujadili 'Mkutano wa COP26 na Nafasi ya Jamii katika
Mikutano ya Kimataifa ya Mabadiiko ya Tabia Nchi? Mjadala ulianza saa 3 usiku mpaka saa 5 usiku. Jumla ya watu 16 walishiriki katika
Kijiwe Cha Kahawa Room. Chini tumekushushia mitazamo kutoka kwa wazungumzaji wa siku hiyo.
"Nawashukuru kwa miezi mitatu mmekuwa pamoja na sisi. Yale
wananchi waliyopendekeza mimi na wenzangu tutayafanyia kazi.
Niwaombe yale mambo ya kitaalamu mje mtupe msaada."
Khatib Kibwana - M/Kiti Mtaa wa Tandale kwa Tumbo
05
AUG
09
SEP
Mwezi Septemba, tuliendelea kufikia vijiwe vya kahawa vilivyopo mtaa wa Tandale kwa Tumbo.
Mada iliyojadiliwa ni "Mkutano wa COP26 na Nafasi ya Jamii katika Mikutano ya Kimataifa ya
Mabadiiko ya Tabia Nchi".Kazi zifuatazo ziliambatana na utekelezaji wa sehemu hii ya tatu ya
mradi
Vyombo vya
Habari
30
SEP
Tandale
Club House
27
SEP
05
OCT
Mafanikio ya Kijiwe cha Kahawa
yanaendana na ushirikiano wa karibu na
vyombo vya habari. Mkurugenzi wa TIBA,
Marcela Lungu alialikwa redio ya TIMES
Fm kuzungumzia mradi wa Kijiwe cha
Kahawa siku ya tarehe 5 August. Pia
Hassan Kiyungi, mkurugenzi wa Mema
Tanzania alipata mwaliko kutoka Mlimani
Tv kuzungumzia mabadiiko ya tabia nchi
kuelekea mkutano wa COP26.
Hii ndio ilikuwa siku yenyewe ya kijiwe.
Tulijumuika na wadau wa kijiwe cha
Tandale kwa Tumbo. Zaidi ya watu 49
walishiriki katika mjadala. Maoni na
mitazamo ya watu ilikuwa tofauti
kulingana na uelewa wao. Watu walitoa
maoni tofauti kuhusu nafasi ya jamii
katika mikutano ya kimataifa ya
mabadiiko ya tabia nchi
Kabla na baada ya kwenda
Tandale, tulifanya mjadala katika
mtandao wa Club House. Mijadala
hii ina lengo la kuchukua mitazamo
ya watu kabla ya kwenda kijiweni
na kufanya tathmini tulichojifunza
baada ya kutoka kijiweni. Mpaka
sasa club ya kijiwe ina wafuasi zaidi
ya 300. Jumla ya watu 45 walishiriki
katika mijadala ya club house.
JE,
WAJUA
TIBA (Transformative and Intergrative Buildout for All) ni taasisi
isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na vijana mwaka 2015 kama taasisi
ya kijamii na kisha kupata usajili nambari ooNGO/0009488 mwaka
2018 chini ya sheria ya msajili wa NGO kwa lengo la kuleta mabadiliko
katika jamii kwa kuanzisha programu endelevu zitakazowezesha na
kubadilisha maisha ya wanawake, watoto na vijana.
Lengo
Lengo kuu ni kuwa na wanawake, vijana na watoto wanaojitegemea kijamii na
kiuchumi na kuchangia katika maendeleo ya taifa.
Dira
Kuwa na kizazi cha wanawake, watoto na vijana chenye fursa na ndoto sawa.
Dhamira
Kuwezesha kila Mwanamke, mtoto na kijana kuwa na nafasi ya kufikia uwezo
kamili katika nyanja za maisha.
Agenda Zetu
Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake
Afya ya Uzazi kwa Vijana
Elimu Jumuishi kwa watoto wa Kike na Watoto Wenye Ulemavu
Mabadiliko ya Tabia Nchi na Mazingira
Utawala Bora na Uwazi
Mafanikio ya Kijiwe Cha Kahawa 2020
Kuchochea na kuwezesha kiuchumi wauzaji wa wadogo wa kahawa.
Mijadala 26 ilifanyika na kuwafikia wanaume 2,852 na wanawake 2,750.
Wanaume vinara wa jinsia 55 walipatikana kutoka Mwanyamala, Tandale na Upang
Zaidi ya watu 61,000 walifikiwa mtandaoni kipindi cha COVID19
Jukwaa la mtandaoni lilianzishwa kwa ajili ya uendelevu wa mradi.
Wanawake 30 walipewa mafunzo ya urejeshaji taka na jinsia kutoka kata ya Mwana
Kahawa
@MemaTanzania
TUFUATE:
@TIBA Tanzania
@tibaofficialpage
@Tiba_Tanzania