HISTORIA YA KANISA I DBT 2019 PRINT

21.03.2020 Views

1. Kutiwa nuru. Waamini walitiwa nuru katika akili na fahamu zao na wakapatakuyaelewa maandiko matakatifu.2. Kutiwa nguvu na ujasiri, wamini hawa walitiwa nguvu na ujasiri na kuwezeshwaKulihubiri Neno la Mungu kwa ujasiri.3. Kutenda ishara na maajabu. Mitume waliwezeshwa kutenda miujiza sawasawa naahadi ya Yesu Kristo Mk 16:15-20.D. WANACHAMA KTIK A KANISA.Wanachama katika kanisa la mwanzo walikuwa ni wayahudi {proselytes} ambao twawezakuwagawanya katika makundi manne. ambayo ni ;1. Waebrania . hawa walikuwa ni wayahudi ambao baba zao walikaa Palestina nawalikuwa ni uzao wa Kiebrania.2. Hellenists, (Grecian Jews",) walikuwa ni wayahudi waliokuwa wanakaa katika nchizingine wengi wao walikaa Uyunani. Mdo 6:13. Proseliti (Proselytes).Walikuwa ni watu wamataifa waliokuwa wamefanyika kuwa raiawa kiyahudi, walifuata sheria za kiyahudi na walijiunga na dini ya Kiyahudi. Piawalitahiriwa kama wayahudi. Mfano Nikolasi {Mdo 6:5}E. UONGOZI NA UTAWALA WA KANISA.Kanisa la kwanza halikuwa na Mfumo wa uongozi wa kiutawala kama ilivyo sasa. Kilakanisa la mahali pamoja lilikuwa na uongozi wake uliojitegemea. Hakukuwa uongoziuliokuwa unasimamia makanisa yote. Mitume walikuwa ni waangalizi wa kanisa nahawakujiweka kuwa watawala wa kanisa bali watumishi wa kanisa.F. MAFUNDISHO YA KANISA LA KWANZA. Mafundisho ya kanisa la kwanzayalikuwa rahisi, Agano jipya lilikua bado halijaandikwa. Ujumbe wao ulikuwa na maeneomachache ambayo ni ;i. Uungu wa Yesu Kristo. Yesu kristo wa nazareti ni mwana wa Mungu na ni nafsihai. Maelezo haya yalisababisha mateso katika kanisa .ii. Ufufuo wa Yesu Kristo. Ufufuo wa Yesu kristo ulikuwa ni kiini cha mahubiri auujumbe wa kanisa la kwanza.iii. Toba, Ubatizo wa maji na ubatizo wa Roho Mtakatifu. Waliweka mkazo juu yatoba inayoleta ondoleo la dhambi na ubatizo wa maji na ujazo wa Roho mtakatifu .iv. Kurudi kwa Yesu Kristo mara ya pili. Walihubiri kwamba Yesu Kristo ataruditena {Mdo 3:20-21, 1The 4;15-17}Hili lilikuwa ni tumaini la Baraka kwa waaminiwote.G. KUSHINDWA KWA KANISA LA KWANZA.Kanisa la kwanza lilishindwa kufikia kusudi kwa sababu zifuatazo.Kukosa maono ya umisheni . Mungu aliliagiza kanisa kwenda kuhubiri Injiliulimwenguni kote MT20:28, Mk 16:16} lakini kanisa la kwanza hawakufanya hivyo baliwalijihusisha na umisheni katika Yerusalemu.6

Kujihusisha na shughuli za kijamii, Mitume walianza kujihusisha na mambo ya kijamii{kiutawala} kwani shughuli zote za kanisa za kila siku zilifanywa na wao.Tunaona Petroaliyekuwa mhubiri anaanza kujihusiha na mambo ya kiutwala.Mitume walifika mahali wakagundua tatizo hilo na wakachagua wahudumu sabawaliotakiwa kushughulikia mambo ya kiutawala ili wao wadumu katika kulihubiri Nenona Kuomba.Bwana alilionya kanisa lake “Tubu na ukafanye mambo ya kwanza la sivyo nitakiondoakinara chako mahli pake. Mungu alitimiza Neno lake kama Tutakavyo ona hapo baadae.H. KUENEA KWA KANISA LA KWANZA. Kupanuka kwa kanisa tangu mahubiri yaStefano {mwaka 35. AD} hadi mkutano wa Yerusalemu {mwka 48. AD}.Mambo yamsingi katika kipindi hiki yalikuwa ni upandaji wa makanisa. Kipindi hiki kifupi kilikuwana umuhimu mkubwa kwa kanisa. Japokuwa kanisa mwanzo lilikuwa Yerusalemu tu sasalilipandwa katika maeneo mengine kama vile Siria na Asia ndogo na kuelekea Ulaya.Waamini wa kwanza walikuwa ni Wayahudi lakini baada ya kipindi hiki kifupi waaminiwengi walikuwa ni wamataifa .Mwanzoni Injili ilihubiriwa kwa kiebrani na kwa kiaramu lakini baadae iligundulikakwamba ulimwengu mzima ungefikiwa na Injili kupitia lugha ya Kigiriki kwa sababukigiriki wakati huo kilikuwa ni lugha ya mawasiliano ya kimataifa kama ilivyokiingereza kwa dunia ya sasa.I KUTESWA KWA KANISA NA VIONGOZI WA KIYAHUDI.Yesu aliwaagiza mitume kwenda kuhubiri Injili duniani kote lakini wao walipenda kukaaYerusalemu .Mungu alikasirika na akaamua kuruhusu mateso katika kanisa .{Mdo 9}1. Mahubiri ya Stefano {.Mdo 6:1-4, 7} Kwa sababu ya imani yake kwa Mungu Stefanoalihukumiwa kuuawa na kuwa mfia dini wa kwanza katika imani ya kikristo. Kijanammoja mfarisayo wa Tarso Sauli alishuhudia mauaji ya Stefano na Baadae kijana huyoakawa kiongozi mkuu wa mauaji ya wakristo katika taifa la wayahudi.Kutokana na tukio hili waamini wote walikimbia Yerusaelimu isipokuwa mitume {Mdo8:1-4}.Waamini hao walisambaa maeneo mbalimbali na kila mahali walipokwendawalilihubiri Neno . Kwa njia hii kwa muda mfupi Injili ilipata kuenea kwa haraka katikamaeneo yote yaliyoizunguka Yerusalemu.2. Kanisa Linakwenda Samaria,{ Mdo 8}.Wasamaria walikuwa ni chotara ambao asiliyao ilikuwa ni Ashuru ambpo walihamishiwa katika eneo la Kaskazini mwa Israeli. Palewaisraeli walipochukuliwa kwenda utumwani Ashuru {Irani}. Mchanganyiko wa wagenihao na mabaki ya waisraeli ambao hawakwenda utumwani Ashuru yaliunda jamii yaWasamaria kwa njia ya kuzaliana, kutokana na kuoana kati ya wageni na mabaki yawaisraeli. Watoto waliozaliwa walikuwa chotara na ndio kizazi cha Wasamaria .Wasamaria Walikuwa na hekalu lao katika mlima Gelzimu na walivitumia vitabu vitanovya Musa pekee kama Biblia yao. Kwahiyo Wayahudi hawakuchangamana nao.Roho Mtakatifu alimwambia Shemasi Filipo kwenda kuhubiri Neno Samaria. Mungualimtumia kufanya ishara na maajabu kwa jina la Yesu huko Samaria. Uamsho mkuu7

1. Kutiwa nuru. Waamini walitiwa nuru katika akili na fahamu zao na wakapata

kuyaelewa maandiko matakatifu.

2. Kutiwa nguvu na ujasiri, wamini hawa walitiwa nguvu na ujasiri na kuwezeshwa

Kulihubiri Neno la Mungu kwa ujasiri.

3. Kutenda ishara na maajabu. Mitume waliwezeshwa kutenda miujiza sawasawa na

ahadi ya Yesu Kristo Mk 16:15-20.

D. WANACHAMA KTIK A KANISA.

Wanachama katika kanisa la mwanzo walikuwa ni wayahudi {proselytes} ambao twaweza

kuwagawanya katika makundi manne. ambayo ni ;

1. Waebrania . hawa walikuwa ni wayahudi ambao baba zao walikaa Palestina na

walikuwa ni uzao wa Kiebrania.

2. Hellenists, (Grecian Jews",) walikuwa ni wayahudi waliokuwa wanakaa katika nchi

zingine wengi wao walikaa Uyunani. Mdo 6:1

3. Proseliti (Proselytes).Walikuwa ni watu wamataifa waliokuwa wamefanyika kuwa raia

wa kiyahudi, walifuata sheria za kiyahudi na walijiunga na dini ya Kiyahudi. Pia

walitahiriwa kama wayahudi. Mfano Nikolasi {Mdo 6:5}

E. UONGOZI NA UTAWALA WA KANISA.

Kanisa la kwanza halikuwa na Mfumo wa uongozi wa kiutawala kama ilivyo sasa. Kila

kanisa la mahali pamoja lilikuwa na uongozi wake uliojitegemea. Hakukuwa uongozi

uliokuwa unasimamia makanisa yote. Mitume walikuwa ni waangalizi wa kanisa na

hawakujiweka kuwa watawala wa kanisa bali watumishi wa kanisa.

F. MAFUNDISHO YA KANISA LA KWANZA. Mafundisho ya kanisa la kwanza

yalikuwa rahisi, Agano jipya lilikua bado halijaandikwa. Ujumbe wao ulikuwa na maeneo

machache ambayo ni ;

i. Uungu wa Yesu Kristo. Yesu kristo wa nazareti ni mwana wa Mungu na ni nafsi

hai. Maelezo haya yalisababisha mateso katika kanisa .

ii. Ufufuo wa Yesu Kristo. Ufufuo wa Yesu kristo ulikuwa ni kiini cha mahubiri au

ujumbe wa kanisa la kwanza.

iii. Toba, Ubatizo wa maji na ubatizo wa Roho Mtakatifu. Waliweka mkazo juu ya

toba inayoleta ondoleo la dhambi na ubatizo wa maji na ujazo wa Roho mtakatifu .

iv. Kurudi kwa Yesu Kristo mara ya pili. Walihubiri kwamba Yesu Kristo atarudi

tena {Mdo 3:20-21, 1The 4;15-17}Hili lilikuwa ni tumaini la Baraka kwa waamini

wote.

G. KUSHINDWA KWA KANISA LA KWANZA.

Kanisa la kwanza lilishindwa kufikia kusudi kwa sababu zifuatazo.

Kukosa maono ya umisheni . Mungu aliliagiza kanisa kwenda kuhubiri Injili

ulimwenguni kote MT20:28, Mk 16:16} lakini kanisa la kwanza hawakufanya hivyo bali

walijihusisha na umisheni katika Yerusalemu.

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!