Chapter 78

Female marine pilot wa kwanza kenya. Cheki stori yake venye ame'make it kwa industry wasee wengi wanafeel ni ya wanaume.. Female marine pilot wa kwanza kenya. Cheki stori yake venye ame'make it kwa industry wasee wengi wanafeel ni ya wanaume..

shujaazcomics
from shujaazcomics More from this publisher
08.08.2016 Views

jana ukiongea na maria kim nilikuwa pale nyuma. nilisikia kila kitu! what? aki wewe! napenda venye uko m-frank. ni juU naku-like. tena kwa sababu yako ma-boys wengi wana-come hapa kucharge simu zao... haha! kusema kweli natamani ku-meEt mr. right! naogopa ku-setTle na mtu hatakuwa comMitTed. aki usitafute tena. mimi bae wako niko hapa! chuxX!! kama una kitu ya kusema ingia hapa na useme face to face kama mwanaume! 20 Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati”

eh... ah... ku-charge simu ni 15 bob... unaeza niwekea haka kasimu kangu kwa charger? 15 bob pekeE? eh... nilikuwa na pesa hapa... unaeza chukua credit card ya ghetTo? siku hizi sibebi cash... haha! chuxX unanichekesha! ah, mama stacey nawe, kunianika! huwa ninalipa na card! lily weka simu yake kwa moto. yeye huwa simlipishi. unaona sasa? ku-get chali mpoa sio rahisi. kuna huyu mseE nimekuwa niki date, but sidhani ako ready ku-setTle. simuelewi aki! ako na bizna poa, boutique ya kuUza manguo... lakini macho zake hushinda tu kwa kila dem anapita! ukitaka kujua kama ako ready kusetTle, cheki kama ako keEn kukuprotect kutoke vitu ka diseses na mimba unexpected.. Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama! 21

jana ukiongea na

maria kim nilikuwa

pale nyuma. nilisikia

kila kitu!

what? aki wewe!

napenda venye uko

m-frank.

ni juU

naku-like.

tena kwa sababu

yako ma-boys wengi

wana-come hapa

kucharge simu zao...

haha!

kusema

kweli natamani

ku-meEt

mr. right!

naogopa

ku-setTle na mtu

hatakuwa

comMitTed.

aki usitafute

tena. mimi bae

wako niko hapa!

chuxX!!

kama una kitu ya

kusema ingia hapa na

useme face to face

kama mwanaume!

20

Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.//

Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati”

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!