Chapter 60
OKOLEA CODE! Say ya Mafans! Okolea Code DJ B, Maria Kim, Dee, Swag B... Mafans wanani dungia maswali moto moto Kweli. Maria Kim, cheki hii: Natakakuuliza if its nyc kuhave sex na boyfriend yako kwa ur first date?” Dee from Kisii. Hiyo ni swali poa, Dee. Si tucheki maoni ya mafans? Kweli. Ndoto Nzyimi ako tayari hapa. Hapana. Sex inafaa kuwa shared na mtu mwenye unajua, umependana umeoa not just any one that comes along anakulike. Maybe hata ana STDs na atakupatia uki lala na yeye. Exercise self-control. Ndoto Nzyimi from Karengata. DJ B zii! Unamuacha hungry na mtu ana mtuliza. Yeye ni wako, shikilia asitoke! Wamalwa Wekesa Oscar, Bungoma Waah! Maria Kim, toasauti maze… Noma ni saa zile mna-get ball kwa hiyo first date! Si ni noma tena sana? 4 wasee, kaa una swali moto kama dee na una-need answers, nitumie kwa ‘20308’ ukianza na word ‘moto’ nitashughulikia ujibiwe!
Don’t even attempt ata kama unampeda .David Kinywa from Msa ßtMaze thanks Mashujaa. Dee na SwagB, mnaonaje maoni ya mafans wa mine? Okolea Code DJ B, Maria Kim, Dee, Swag B... Hapo noma! Na huyu Swag B pia ana problem DJ B, Mazee nina dem but tuna shida ikikam kwa mambo na sex anadai tu-have unprotected sex. I need help nampenda but siwezi hve sex widaut protection…Swag B from Vihiga. DJ B, hata usingoje Maria Kim. Maoni hapa, Maybe anashida na latex na kama haumtrust then endeni kwa hosi mkatestiwe na kama ni toto anataka m-show u r not ready to be a dad. Shee Scott Duke from Nairobi. Chenye naeza 2 kukuambia ni kwanza mwende nyote wawili mkapimwe, alafu muone daktari awashow protection poa. Philip Sigoz from Nakuru. Ey DJ B ka dem anataka ivyo acha watestiwe kwa s.t.i then dem awekwe protection then katambe! Wellingtone from Bomet. 5
- Page 3: 3
- Page 7: 7
- Page 10: 10
- Page 13 and 14: 13
- Page 15 and 16: Si Esther amekuwa na mwaka mbaya, S
- Page 17 and 18: JK ni fala, umecheki venye ni m-ski
- Page 19 and 20: 19
- Page 21 and 22: 21
OKOLEA CODE!

Say ya Mafans!

Okolea Code

DJ B, Maria Kim, Dee, Swag B...

Mafans wanani dungia maswali moto moto Kweli. Maria

Kim, cheki hii:

Natakakuuliza if its nyc kuhave sex na boyfriend yako kwa

ur first date?” Dee from Kisii.

Hiyo ni swali poa, Dee. Si tucheki maoni ya mafans?

Kweli. Ndoto Nzyimi ako tayari hapa.

Hapana. Sex inafaa kuwa shared na mtu mwenye unajua,

umependana umeoa not just any one that comes along

anakulike. Maybe hata ana STDs na atakupatia uki lala na

yeye. Exercise self-control. Ndoto Nzyimi from Karengata.

DJ B zii! Unamuacha hungry na mtu ana mtuliza. Yeye ni

wako, shikilia asitoke! Wamalwa Wekesa Oscar, Bungoma

Waah! Maria Kim, toasauti maze…

Noma ni saa zile mna-get ball kwa hiyo first

date! Si ni noma tena sana?

4

wasee, kaa una swali moto kama dee

na una-need answers, nitumie kwa

‘20308’ ukianza na word ‘moto’

nitashughulikia

ujibiwe!