11.11.2015 Views

Chapter 60

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mmefika five years old,

Congrats Shujaaz! hizi ndio

zimekuwa my best moments

kutoka last year...

MALKIA MOMENTS

Nani kama Shosh yangu, ali leta nurse mwingine juu

mwenye ali lenga kuhelp Esther juu ya contraceptives.

Dream yangu ni tuishi kwa world yenye mtu akitaka

kujipanga na kuji protect hakuna msee ana mdiss!

SMS DJ B neno ‘Protect’ kwa 20308 kama una agree. SMS

ni sare!

Cheezy na hu-player wake, alikuwa ana play madem wengi bila kujali

kama wata get ball ama vipi. Alijaribu form 16 A. Hakuna msee alijali

venye ali lost bizna yake na kuaibishwa mbele ya watu. Ni time wasee

wana faa ku-learn waki mess na future zao watakuwa kwa noma!

SMS DJ B neno ‘Smart’ kwa 20308 kama unakubali. SMS ni sare!

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!