Chapter 48
- Page 3 and 4: 01 Sister wako amekuwa mgonjwa ki g
- Page 5 and 6: 03 Kuna fundraising ya matanga mtaa
- Page 7 and 8: 05 Credo yako ya kupigia customers
- Page 9 and 10: 07 Wooohooo umebahatika leo. Bidhaa
- Page 11 and 12: 09 Special offer: Raundi next kwa h
- Page 13 and 14: 11 Uncle wako na family yake wameku
- Page 19 and 20: 13 Interest rateszimeanguka. Unapot
- Page 21 and 22: niaje mayuts! Kuna hawa artists wal
- Page 23 and 24: mimi niko na miaka 23. na stay hapa
- Page 25 and 26: wazi! saa zingine inabidi u-get usa
- Page 27 and 28: 21 Umekuwa uki work hard sana na la
- Page 29 and 30: 23 Stima yako imekatwa. Lazima ulip
- Page 31: Shujaaz (TM) is published by Well T
01

Sister wako amekuwa mgonjwa ki gafla! Lipa Hela Moja sahii kwa bank kupata dawa.
02

Landlord wako amepandisha rent. Lipa Hela 1 sahii kwa bank. Kama hauna dooh ya kutosha kwa

savings, uza bidhaa zako lakini sasa utalipa Hela 2 badala ya 1.
03

Kuna fundraising ya matanga mtaa yenu. Amua hela mtacontribute alafu ulipe kwa bank sahii.
aadaye...

baada ya

kupanda

mlima...

ameenda

huko. hakuna

daraja lakini

mto sio deep

sana!

oh, pole!

nilisahau kukuambia

upitie hii side! hapo ni

deep! lakini usijali,

siku hizi hakuna

crocodile!

unatafuta

afisa wa

afya?

panda hio

mlima,

ako ile

side

ingine!

aki!

baada ya kuvuka mto...

afisa wa

afya? ameenda

huko! karibu na

ile mlima.

boss,

tafuta

bodaboda.

huko huwezi

tembea!

wah!

sikudhani

kupata afisa

wa afya

itakuwa

ngumu hivi!

baadaye...

nasikia

umenitafuta

sana!

unajua

ungeniambia

mapema kuwa

unanihitaji,

haungenitafuta

sana!

baadaye...

sasa

paolo!

huyu ni j.k.,

rafiki wa mke

wako. unaweza

pumzika kidogo

tuongee?

nitawaacha

muongee. naenda

kutafutia maria

kim maua!

ah-ah.

lazima niendelee

na kazi ndio

nilishe familia.

04

Wezi mtaani wamevunja duka alafu wakaiba bidhaa 2. Rudisha bidhaa mbili.
05

Credo yako ya kupigia customers na suppliers imeisha hautaweza kuuza bidhaa 2 roundi hii.
aadaye...

paolo

amekubali

kuongea na

ida.

eh! hiyo ni

poa! asante

j.k., ulisaidia

sana. wewe ni

hero!

hero...

hehehe!

maria kim, kuna

kitu nilitaka

kukuuliza...

ehe,

sema j.k.

nimekuletea

hizi!

utakuwa dem

wangu?

eeeh....!

jk.?

hahaha!

aki j.k. wewe

hunifurahisha!

kujeni

tukunywe chai

ndio muende!

ayayayai!!

ayayayai!!

maria kim

na j.k. asanteni sana.

mmetusaidia. tuliongea,

na tunapanga kuenda

clinic tupewe advice juu

ya contraceptives.

ndio. asanteni

sana kwa kutusaidia

ku-make the right

choices.

ida na paolo

wako na mpango. je,

wewe una mpango gani

kuhusi idadi ya watoto

utapata, na lini

utawapata?

06

Text

#Plan to

DJ B on

20308

Delivery bike yako imetoboka tyre. Lipa Hela 2 kutoka savings zako ndo uweze kufikisha delivaries

kwa soko. Kama savings hazitoshi, usiuze bidhaa zozote hii raundi
07

Wooohooo umebahatika leo. Bidhaa zako zimetajwa na DJ B kwa radio na mafans wanazitaka sana.

Utapata hela 4 kwa kila bidhaa unauza hii raundi.
08

Umehisi njaa na unaeza collapse! Lazima utumie Hela 1 kununua food na drinks sahii!
09

Special offer: Raundi next kwa hii game, unaeza nunua bidhaa 3 kwa Hela 2
10

Umekuwa mgojwa. Lipa Hela 2 upate dawa au usiuze bidhaa zako hii raundi juu

umekwama kwa kitanda.
11

Uncle wako na family yake wamekuja kukutembelea na hauna shoping kwa keja. Lipa Hela 3

kwa bank sasa ndo ununue food na drinks.
12

Ulipewa loan ya Hela 2 na bank ukianza biashara na inataka kulipwa Hela 2 pamoja na interest

ya Hela 1. Lipatotal ya Hela tatu sahii kwa bank.
13

Interest rateszimeanguka. Unapoteza Hela 2 kutoka savings zako hii raundi.
STORYBOARD

14

Duka imebomolewa na county askari, ni lazima uuze bidhaa zako Hela 3 badala ya Hela 4 raundi hii.
niaje

mayuts!

Kuna hawa artists

walituma artwork

zao na nataka niwape

motisha waendelee

hivyo hivyo!

JINA: POUSTINENATAH

KASUVUH

AGE: 14 MTAA: NJORO

CHUO: NJORO GIRLS’

JINA: PRO NYONGE

AGE: 22 MTAA: NAKS

JINA: DENIS MURIUKI

AGE: 15 MTAA: KIAMBU

JINA: YOHAAN DAVID

AGE: 12

15

Uliona viatu poa na hauwezi ziacha juu ni lazima ukuwe na swag ndio uende date. Lakini

lazima ulipe Hela 3 kwa bank sahii.
Brenix alikuwa na shida ya maji

esto anaishi huko Langata. DJ B

anamtembelea ili wachapiane venye

alimobilize community yake na ku

take action ili kujisaidia na pia

kusaidia watu wengine mtaani

kupata maji venye wanafaa. Cheki

hii risto---

sema,

Brenix!

DJ B!

Welcome,

Welcome!

ni poa

sana vile

umefika!

ilikuwa lazima

nicome. story yako

ni powerful sana,

nilitaka kui-share

na mafans.

16

lakini

kwanza nishow

kidogo juu

yako.

President amesema bidhaa zako ni poa sana na demand imeongezeka. Hii raundi utauza

bidhaa Hela 4.
mimi niko na

miaka 23. na

stay hapa hapa

langata na tuna

hustle tu.

na-repair simu

lakini pia mimi ni

msanii, niko na cd,

na na-shoot

video soon.

hiyo ni poa!

ni poa sana

kupata ma-yut

wakifanya vitu

creative.

labda naweza

kucheki cd zako

baadaye...

poa,

bro.

so, ni-show

hiyo story ya vile

ulisaidia mtaa yako

na shida ya maji.

manze,

hiyo ilikuwa the

best thing nimewai

kufanya! na ilikuwa

successful

sana!

17

Uliishiwa na credo na hauwezi deliver bidhaa kwa customers. Refund customers wako Hela 3

kutoka kwa savings. Uza kila bidhaa zako kwa Hela 1.
tulikuwa na

shida kubwa

huku.

majirani

walikuwa na maji

na tulijua pipes za

hii area yote ni the

same, lakini kwa esto

yetu hatukuwa na

wode.

hiyo

si

poa!

hakuna mtu

alikuwa anatuskiza,

so tuli-organize

demonstartion na

marafiki wangu

watatu.

strategy yetu ilikuwa kutumia watoto ku-inform wasee

juu ya shida yetu. watoi walikuwa wanawika, “tunahitaji

maji!”, na hiyo inamaanisha karibu kila mtu alitucheki

na walitu-join.

na hiyo

ilienda

aje?

18

Matatu imeharibika kwa njia na lazima ufike meeting ya wanabiashara. Lipa Hela 3 kutoka

savings zakoili uchukue Taxi au utembee na usiuze kitu yoyote.
wazi! saa zingine

inabidi u-get usaidizi

ya watu wengine

ku-hold watu to

account.

eh-heh.

tulikuwa wengi

na tulienda pale penye

tuko na main office ya

caretaker na overseer

na vile walichukua

requests zetu seriously,

sisi wote tulifika

agreement.

baada ya

demonstrations

ilichukua how

long mpaka

m-get maji?

ilikuwa

wiki moja tu

na tulikuwa

na maji.

hiyo ni poa sana.

unaweza kuni-show

vile maji yako iko

sasa?

sure!

twende

niku-show...

...ndio hii

cd yangu.

...lakini

kwanza...

Aah,

Brenix,

maze

thaks.

19

Kama uliweka Hela 2 kwa spend, utanunua kila bidhaa kwa Hela 1 na uuze kwa Hela 4.
ndio hii

shower...

...na tap

ya nje

pia...

mnapata maji

frequently

siku hizi?

ndio,

karibu kila

siku!

sasa,

baada ya

demonstration,

administration

waliwa-treat

aje?

during

hizo demo

tulikuwa tunafanya

kama group,

lakini tulii-sort

na sasa hatuna

hostility.

unadhani

mwananchi

kawaida

anaweza

ku-make

change?

ndio, kama

kuna shida mtu

anafaa ku-demand

rights zake,

asitulie tu.

cheki, hata

tuna maji ya

kunywa!

Nice!

20

Kama uliweka Hela 1 pekee kwa spend, unaeza uza bidhaa 2 tu ju umepata kwashiokor juu ya diet

mbaya. Hauna nguvu ya kuuza kitu hii raundi na itabidi ungoje raundi next.
21

Umekuwa uki work hard sana na lazima upumzike hii raundi. Lipa Hela 3 kwa bank sasa. Kama

hauna pesa kwa savings zako, uza bidhaa moja Hela 2 badala ya 3
22

Uli copy biashara ya mtu mwingine na haukufanya research poa. Uza bidhaa zako zote hii

raundi kwa Hela 2 pekee.
23

Stima yako imekatwa. Lazima ulipe Hela 3 kwa bank sasa ndo stima irudishwe na kazi iendelee.
24

Umekuwa conned! Unapoteza savinhs zako, unabakisha Hela 2 tu!
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502

Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke.

Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Produced in collaboration with:

Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & Futures. Distributed by Nation and Safaricom.

ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Valerie Egehiza PRODUCER: Paul Ekuru

ART DIRECTOR: Esphan Kamau OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Rickie Mukunga | Paul

Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru

SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Dickens Thomson |

Anne Wanyoike | Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM

Well Told Story © 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any

retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior

permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information

contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect,

consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection

withe use of the information in this publication.