SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

80 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (iii) (iv) (v) (vi) (vii) (viii) (ix) Wajasiriamali wengi hawawezi kukopesheka kwa sababu hawana cha kumshawishi mtoa mkopo ili aone kama fedha yake itarudi kwa kukosa mpango biashara. Wajasiriamali wengi wameshindwa kujua gharama halisi za biashara yao kwa kukosa mpango wa biashara. Wajasiriamali wengi hawajui washindani wao na mbinu za washindani wao, hivyo kushindwa kuweka mkakati wa kukabiliana na washindani. Biashara nyingi hukwama kufikia matarajio ya mjasiriamali kwa kukosa kuzifahamu shughuli za masoko kwa undani. Upangaji wa bei unachangia kuua biashara nyingi ndogondogo kwa sababu kazi nyingi wanazozifanya wajasiriamali wanadhani hazina gharama kwa kuwa wanatekeleza wao. Na hivyo huendelea kupunguza uwezo wa biashara kidogo na hatiamaye hufa. Wajasiriamali wengi wasiokuwa na stadi za ujasiriamali na stadi za biashara huwa wanakimbilia sana kwa waganga wa kienyeji wakati biashara zao zinayumba bila kufanya tathimini ya kina. Biashara nyingi zinazoendeshwa na wajasiriamali wadogo zinakabiliwa na tatizo kubwa la kutokutunza kumbukumbu kwa usahihi kwa kutokujua umuhimu na faida zake. Biashara za namna hii mara nyingi haziwezi kujibu maswali kama vile kipindi hiki faida katika biashara ni shilingi ngapi. Ni marekebisho gani yanatakiwa kufanyika katika biashara ili kuongeza ufanisi na tija, mjasiriamali amejipangia mshahara kiasi gani, kiasi gani kimetumika kutoka kwenye biashara kwa matumizi binafsi. 15.5 Namna ya kukabiliana na changamoto (i) (ii) Kuhamasisha wananchi wengi wapende kujifunza stadi za ujasiriamali na stadi za biashara kwani hazihitaji elimu ya juu. Kuimarisha utoaji mafunzo kwa wajasiriamali watarajiwa na wale ambao wameanza biashara zao hatua za mwanzo. 15.6 Kuibuka kwa mjasiriamali Nini kinachomlazimisha mjasiriamali aibuke katika jamii? Utafiti uliofanyika umekuja na mitazamo mbalimbali ifuatayo juu ya kuibuka kwa wajasiriamali. 15.6.1 Mtazamo wa mazingira (the environment school of thought). Kuwa mjasiriamali au kutokuwa mjasiriamali kunaweza kuathiriwa na mazingira unayoishi. 15.6.2 Mtazamo wa mtaji ( Financial School of thought). Huwezi kuwa mjasiriamali kama hauna mtaji, mahali panapokuwa na taasisi za fedha zinazotoa

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 81 mikopo hapo mjasiriamali anaweza kuibuka kwa vile atakuwa na uwezo wa kupata mikopo kwa urahisi. 15.6.3 Mtazamo wa hulka (Entrepreneurail trait theory). Ujasiriamali unaweza kuwa wa kuzaliwa au wa kujifunza, ujasiriamali ni kipaji ambacho mtu anazaliwa nacho, mtu hujengwa na jamii inayomzunguka kwa kujifunza na hivyo inaweza kumfanya aibuke kuwa mjasiriamali. 15.6.4 Mtazamo wa matukio. (The entrepreneurial events approach). Matukio yanayoweza kutokea katika jamii, yanaweza kumfanya mtu aibuke kuwa mjasiriamali. 15.7 Ujasiriamali katika sekta nyingine zisizokuwa za biashara (Entrapreneurship) Ni mtumishi anayetumia elimu ya ujasiriamali ili kuongeza ufanisi wa kazi na kufanikisha lengo la mwajiri wake. Wajasiriamali wa namna hii huweza kutambulika kwa kuleta mabadiliko chanya baada ya muda fulani, ana uwezo wa kuibua fursa na kuziendeleza, anaona mbali, anaboresha ubora wa huduma, na hatimaye anafanya kuwepo kwa mabadiliko na historia anayoiacha. ‣ Mwenyekiti wa kijiji mjasiriamali miongoni mwa wenyeviti wa vijiji wengine, huibua fursa na kuziendeleza fursa hizo kijijini kwake na kujenga majengo ya kisasa ya shule. ‣ Mwalimu wa shule mjasiriamali miongoni mwa walimu wengine, huwezesha wanafunzi wake kufaulu mitihani yao katika somo lake. ‣ Mkuu wa wilaya mjasiriamali miongoni mwa wakuu wa wilaya wengine, huona mbali na kuweka mipango ya ujenzi wa stendi kubwa ya kisasa pia kubadilisha eneo la jangwa na kuwa msitu. ‣ Mwenyekiti wa SACCOS mjasiriamali miongoni mwa wenyeviti wa SACCOS wengine:- Haridhiki na hali iliyopo kwenye SACCOS yake. Ana mikakati ya kuboresha chama chake. Analeta mabadiliko katika SACCOS yake kwa kuongeza wanachama zaidi na kuongeza mtaji wa chama. Anaweka mipango inayotekelezeka, anaifuatilia ili kufikia lengo lililokusudiwa.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

81

mikopo hapo mjasiriamali anaweza kuibuka kwa vile atakuwa na uwezo wa kupata mikopo

kwa urahisi.

15.6.3 Mtazamo wa hulka (Entrepreneurail trait theory).

Ujasiriamali unaweza kuwa wa kuzaliwa au wa kujifunza, ujasiriamali ni kipaji ambacho mtu

anazaliwa nacho, mtu hujengwa na jamii inayomzunguka kwa kujifunza na hivyo inaweza

kumfanya aibuke kuwa mjasiriamali.

15.6.4 Mtazamo wa matukio. (The entrepreneurial events approach).

Matukio yanayoweza kutokea katika jamii, yanaweza kumfanya mtu aibuke kuwa mjasiriamali.

15.7 Ujasiriamali katika sekta nyingine zisizokuwa za biashara (Entrapreneurship)

Ni mtumishi anayetumia elimu ya ujasiriamali ili kuongeza ufanisi wa kazi na kufanikisha lengo la

mwajiri wake.

Wajasiriamali wa namna hii huweza kutambulika kwa kuleta mabadiliko chanya baada ya muda

fulani, ana uwezo wa kuibua fursa na kuziendeleza, anaona mbali, anaboresha ubora wa huduma, na

hatimaye anafanya kuwepo kwa mabadiliko na historia anayoiacha.

‣ Mwenyekiti wa kijiji mjasiriamali miongoni mwa wenyeviti wa vijiji wengine, huibua fursa na

kuziendeleza fursa hizo kijijini kwake na kujenga majengo ya kisasa ya shule.

‣ Mwalimu wa shule mjasiriamali miongoni mwa walimu wengine, huwezesha wanafunzi wake

kufaulu mitihani yao katika somo lake.

‣ Mkuu wa wilaya mjasiriamali miongoni mwa wakuu wa wilaya wengine, huona mbali na

kuweka mipango ya ujenzi wa stendi kubwa ya kisasa pia kubadilisha eneo la jangwa na kuwa

msitu.

‣ Mwenyekiti wa SACCOS mjasiriamali miongoni mwa wenyeviti wa SACCOS wengine:-

Haridhiki na hali iliyopo kwenye SACCOS yake.

Ana mikakati ya kuboresha chama chake.

Analeta mabadiliko katika SACCOS yake kwa kuongeza wanachama zaidi na kuongeza

mtaji wa chama.

Anaweka mipango inayotekelezeka, anaifuatilia ili kufikia lengo lililokusudiwa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!