SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

72 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 2. 3. 4. 5. Faida toka katika rasilimali zinazozalisha Uwiano wa gharama za uendeshaji Kujitosheleza katika uendeshaji Gharama kwa kila mkopo uliotolewa Lengo: Huonyesha ufanisi wa fedha za huduma za mikopo na shughuli za uwekezaji. Tafsiri: inatakiwa isizida 9% Lengo: Ni kielelezo kikuu cha ufanisi wa shughuli za ukopeshaji. Tafsiri: Isizidi 6% Lengo: Huonyesha uwezo wa asasi kilipa gharama zote kwa kutumia mapato yaliyozalishwa ndani. Tafsiri: Asilimia kubwa inatakiwa zaidi ya 105% Lengo: Hupima ufanisi wa shughuli za ukopeshaji kwa kuonyesha gharama za utoaji mkopo mmoja. Tafsiri: Kiasi kidogo kisizidi shilingi 20,000/= kwa kila mkopo. N.B Gf = Gharama za fedha. Gu = Gharama za Uendeshaji.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 73 13. MANUFAA YA MPANGO MKAKATI KATIKA SACCOS ‣ Mojawapo ya masuala muhimu katika kuboresha uendeshaji wa SACCOS nchini ni kuziwezesha kuandaa na kutekeleza mipango makini na yenye upeo mpana wa kufanyia kazi mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya vyama. ‣ Mipango hii ni ya muda kati ya miaka mitatu hadi mitano, tofauti na makisio ya mapato na matumizi ya mwaka mmoja ambao huwa na upeo mdogo wa kiutekelezaji. 13.1 Manufaa ya mpango mkakati katika SACCOS Mojawapo ya masula muhimu katika kuboresha uendeshaji wa SACCOS ni kuandaa na kutekeleza mpango mkakati. Mpango mkakati una manufaa mengi katika SACCOS ikiwa ni pamoja na:- a. Kuweka msisitizo katika utaratibu wa utendaji unaolenga kufikia matokeo bayana na hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya uboreshaji utoaji huduma kwa wanachama. b. Kuboresha matumizi ya raslimali za chama kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima na kuhakikisha kuwa mali za chama zinaelekezwa katika maeneo yanayostahili. c. Kuwezesha chama kuweza kujipanga vizuri katika kuboresha huduma zinazotolewa. d. Kuwezesha chama kuweza kujua washindani wake wanafanya nini. Kukiwezesha chama kuweza kujua iwapo huduma zake zitanunuliwa. e. Asasi za fedha zitaona umuhimu wa kutoa mikopo katika chama. a. Ni rahisi kutekeleza vilivyopangwa kuliko visivyopangwa. b. Ni rahisi chama kujua wapi kitarekebisha. c. Kusaidia kuonesha Dira, mwelekeo na kubainisha maeneo ya kushughulikia kwa kipindi kinachohusika. d. Kuwezesha maandalizi ya Bajeti. 13.2 Vipengele vya mpango mkakati Mpango mkakati wa SACCOS hutofautiana baina ya vyama, vipengele vya mpango mkakati ni pamoja na:- 13.2.1 Dira (Maono) Ni maelezo yanayojumuisha hali ijayo ya taasisi inavyotakiwa iwe. 13.2.2 Dhamira Mwelekeo ni utume ambao chama kitautumia ili kuwezesha kufikia dira yake. 13.2.3 Tathimini ya hali ya chama Katika kutengeneza mwelekeo ni lazima kujiangalia na kuona nguvu na fursa zilizopo na jinsi ya kuzitumia, pia kubaini udhaifu na vikwazo vinavyoikabili SACCOS.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

73

13. MANUFAA YA MPANGO MKAKATI KATIKA SACCOS

‣ Mojawapo ya masuala muhimu katika kuboresha uendeshaji wa SACCOS nchini ni kuziwezesha

kuandaa na kutekeleza mipango makini na yenye upeo mpana wa kufanyia kazi mambo

mbalimbali yanayohusu maendeleo ya vyama.

‣ Mipango hii ni ya muda kati ya miaka mitatu hadi mitano, tofauti na makisio ya mapato na

matumizi ya mwaka mmoja ambao huwa na upeo mdogo wa kiutekelezaji.

13.1 Manufaa ya mpango mkakati katika SACCOS

Mojawapo ya masula muhimu katika kuboresha uendeshaji wa SACCOS ni kuandaa na kutekeleza

mpango mkakati. Mpango mkakati una manufaa mengi katika SACCOS ikiwa ni pamoja na:-

a. Kuweka msisitizo katika utaratibu wa utendaji unaolenga kufikia matokeo bayana na hivyo

kuwa katika nafasi nzuri ya uboreshaji utoaji huduma kwa wanachama.

b. Kuboresha matumizi ya raslimali za chama kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima na

kuhakikisha kuwa mali za chama zinaelekezwa katika maeneo yanayostahili.

c. Kuwezesha chama kuweza kujipanga vizuri katika kuboresha huduma zinazotolewa.

d. Kuwezesha chama kuweza kujua washindani wake wanafanya nini.

Kukiwezesha chama kuweza kujua iwapo huduma zake zitanunuliwa.

e. Asasi za fedha zitaona umuhimu wa kutoa mikopo katika chama.

a. Ni rahisi kutekeleza vilivyopangwa kuliko visivyopangwa.

b. Ni rahisi chama kujua wapi kitarekebisha.

c. Kusaidia kuonesha Dira, mwelekeo na kubainisha maeneo ya kushughulikia kwa kipindi

kinachohusika.

d. Kuwezesha maandalizi ya Bajeti.

13.2 Vipengele vya mpango mkakati

Mpango mkakati wa SACCOS hutofautiana baina ya vyama, vipengele vya mpango mkakati ni pamoja na:-

13.2.1 Dira (Maono)

Ni maelezo yanayojumuisha hali ijayo ya taasisi inavyotakiwa iwe.

13.2.2 Dhamira

Mwelekeo ni utume ambao chama kitautumia ili kuwezesha kufikia dira yake.

13.2.3 Tathimini ya hali ya chama Katika kutengeneza mwelekeo ni lazima kujiangalia

na kuona nguvu na fursa zilizopo na jinsi ya kuzitumia, pia kubaini udhaifu na vikwazo

vinavyoikabili SACCOS.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!