SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

70 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 12.3.4 Mikopo Karisaji Mfano: Thamani ya mikopo Karisaji (Mwisho wa kipindi) shs. 7000 Thamani ya mikopo iliyosalia (Mwisho wa kipindi) shs. 84,000 Mkopo Karisaji = Malipo Karisaji x 100 Mikopo iliyopo = (7000 ÷ 84000) 100 = 8.3% Maelezo: Kiwango cha mikopo Karisaji cha Asilimia 8.3 (8.3%) kwa biashara ya fedha ni kikubwa kwani kinatakiwa kisizidi Asilimia 2 Tafsiri: Asilimia nddogo sana inatakiwa 12.3.5 Ulinganisho wa hesabu za mapato Hesabu ya Mapato hujumuisha fedha za kulipia gharama za kawaida za uendeshaji wa SACCOS. - Linganisha mapato halisi yaliyopatikana kwa kila kifungu cha mapato na makisio ya mapato ya kifungu hicho yaliyoidhinishwa katika bajeti ili kupima ufanisi wa ukusanyaji wa mapato. 12.3.6 Ulinganisho wa hesabu za matumizi Hesabu ya matumizi hujumuisha malipo ya gharama mbalimbali za Asasi. Linganisha matumizi halisi yaliyotumika kwa kila kifungu na makisio ya matumizi yaliyoidhinishwa katika bajeti kwa kila kifungu. Hii inasaidia kupima nidhamu ya matumizi ya fedha. 12.3.7 Ulinganisho wa jumla ya mapato na jumla ya matumizi Linganisha Jumla ya Mapato na Jumla ya matumizi ili kubaini kama chama kimepata hasara au faida katika uendeshaji wa shughuli zake. ‣ Iwapo jumla ya Mapato inazidi Jumla ya Matumizi ni dhahiri kuwa chama kimeendesha shughuli zake kwa ufanisi na kimepata faida ‣ Iwapo jumla ya matumizi inazidi Jumla ya Mapato ni dhahiri kuwa, chama kimeendesha shughuli zake kwa hasara, hivyo kimetumia Mtaji wa chama kwa matumizi ya kawaida (Hisa, Akiba na Amana za wanachama zimetumila katika matumizi hayo) 12.4 Kulinganisha Miamala ya SACCOS Kulinganisha miamala ya SACCOS ni mchakato wa kuleta pamoja takwimu zinazotunzwa pande mbili tofauti ili zikubaliane na kuwa sawa.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 71 Kwa kutumia mizania ya SACCOS:- ‣ Linganisha Baki ya fedha taslimu na fedha taslimu iliyohesabiwa katika hati ya kuhesabia fedha taslimu ‣ Linganisha Baki ya fedha Benki vitabuni na fedha Benki ilivyo katika Taarifa ya Benki (Bank statement) ‣ Linganisha Baki ya Hisa, Akiba, Amana na mikopo ya wanachama na Bakaa ya Akaunti hizo za wanachama katika majedwali ya Akaunti hizo za wanachama zinalingana. 12.5 Ulinganisho wa fedha za wanachama / na za Taasisi za fedha za nje na fedha zilizopo katika chama Fedha za wanachama walizoweka katika SACCOS kama vile Hisa, Akiba, Amana n.k na zile zilizokopwa toka Taasisi za fedha nje zinatakiwa zifanyiwe malinganisho na fedha zilizopo katika chama, taarifa hii itapatikana katika mizania ya chama. A Baki ya fedha za wanachama / Taasisi za nje Shs B Baki ya fedha katika chama Shs 1. Baki ya Hisa za wanachama Fedha taslimu 2. Baki ya Akiba za wanachama Fedha Benki 3. Baki ya Amana za wanachama Baki ya fedha zilizokopeshwa wanachama 4. Baki ya mikopo ya Taasisi za nje Baki ya vitega uchumi JUMLA JUMLA Maelezo: Baki ya fedha katika chama inatakiwa ilingane au iwe zaidi ya Baki ya fedha za wanachama / Taasisi za nje, Zidio linaweza likatokana na fedha ya malimbikizo ya faida na Akiba za kisheria. 12.6 Ulinganisho wa pande mbili za urari wa maheshabu Fanya ulinganisho wa pande mbili za urari yaani Mpe na Mtoe, Jumla ya Mpe na Mtoe zifanane hivyo kanuni za kuingiza miamala kwa kila tukio zimefuata taratibu husika na kukamilika. Jedwali la kanuni na tafasiri za viashiria vya utendaji S/N Kiashiria utendaji Kanuni: Uwiano Lengo na tafasiri 1. Kiwango cha mikopo iliyochelewa kulipwa. Lengo: Huonyesha kiasi cha mikopo iliyopitisha muda wa kulipwa. Tafsiri: Mikopo iliyochelewa kulipwa isizidi 2%

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

71

Kwa kutumia mizania ya SACCOS:-

‣ Linganisha Baki ya fedha taslimu na fedha taslimu iliyohesabiwa katika hati ya kuhesabia

fedha taslimu

‣ Linganisha Baki ya fedha Benki vitabuni na fedha Benki ilivyo katika Taarifa ya Benki (Bank

statement)

‣ Linganisha Baki ya Hisa, Akiba, Amana na mikopo ya wanachama na Bakaa ya Akaunti hizo za

wanachama katika majedwali ya Akaunti hizo za wanachama zinalingana.

12.5 Ulinganisho wa fedha za wanachama / na za Taasisi za fedha za nje na fedha zilizopo

katika chama

Fedha za wanachama walizoweka katika SACCOS kama vile Hisa, Akiba, Amana n.k na zile zilizokopwa

toka Taasisi za fedha nje zinatakiwa zifanyiwe malinganisho na fedha zilizopo katika chama, taarifa hii

itapatikana katika mizania ya chama.

A

Baki ya fedha za wanachama /

Taasisi za nje

Shs

B

Baki ya fedha katika chama

Shs

1. Baki ya Hisa za wanachama Fedha taslimu

2. Baki ya Akiba za wanachama Fedha Benki

3. Baki ya Amana za wanachama

Baki ya fedha zilizokopeshwa

wanachama

4. Baki ya mikopo ya Taasisi za nje Baki ya vitega uchumi

JUMLA

JUMLA

Maelezo: Baki ya fedha katika chama inatakiwa ilingane au iwe zaidi ya Baki ya fedha za wanachama /

Taasisi za nje, Zidio linaweza likatokana na fedha ya malimbikizo ya faida na Akiba za kisheria.

12.6 Ulinganisho wa pande mbili za urari wa maheshabu

Fanya ulinganisho wa pande mbili za urari yaani Mpe na Mtoe, Jumla ya Mpe na Mtoe zifanane hivyo

kanuni za kuingiza miamala kwa kila tukio zimefuata taratibu husika na kukamilika.

Jedwali la kanuni na tafasiri za viashiria vya utendaji

S/N

Kiashiria

utendaji

Kanuni: Uwiano

Lengo na tafasiri

1.

Kiwango

cha mikopo

iliyochelewa

kulipwa.

Lengo: Huonyesha kiasi cha

mikopo iliyopitisha muda wa

kulipwa.

Tafsiri: Mikopo iliyochelewa

kulipwa isizidi 2%

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!