SACCOS_Traing_Guide
SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide
66 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 11. RIBA ZA AKIBA NA AMANA 11.1 Riba za akiba Riba za akiba inalipwa kwa wanachama na wateja wanaoweka fedha zao ili kuwavutia kwa sababu SACCOS hutumia fedha hizo katika biashara yake ya mikopo. 11.2 Kukokotoa Riba Za Akiba. Riba za akiba hukokotolewa ili:- (i) Kutambua kiasi cha riba kitakacholipwa na SACCOS kwa wenye akiba. (ii) Riba inayolipwa na SACCOS kwa wenye akiba ni mapato kwao, ambapo kwa SACCOS ni gharama ya fedha. 11.3 Kanuni ya kukokotoa riba ya akiba. Riba = Kiasi cha akiba × (kiwango cha Riba ÷ 100) × Muda. ‣ Kiasi cha Akiba:- Ni fedha aliyojiwekea mwanachama au mteja kwenye SACCOS. ‣ Kiwango cha Riba:- Huainishwa katika asilimia kwa mwaka au kwa mwezi. ‣ Muda:- Huainishwa katika siku,mwezi au mwaka ambapo fedha za akiba zimekua chini ya mamlaka yaSACCOS. Wakati wa Kukokotoa Riba lazima kuzingatia kwamba, kama muda umeainishwa kwa siku basi kiwango cha Riba nacho kiainishwe kwa siku. Mfano: Riba ya asilimia 60 kwa mwaka wenye siku 365, Basi kiwango cha Riba kwa siku = 60% ÷ Siku 365 = 0.164% 11.4 Kukokotoa gharama za riba kwenye akiba. Mabenki hukokotoa Riba kwenye akiba kila siku kwa kuzingatia salio la akaunti linalostahili kupata Riba. Mfano, Kama kiasi cha chini kinachostahili kupata riba ni shilingi 20,000/=, mteja mwenye akaunti yenye salio la shilingi 18,000/= hastahili kupata riba hata kama fedha hizo zitakaa benki kwa mwaka mzima. Ni vyema SACCOS zifuate utaratibu huu wakati zinapoamua kulipa riba kwenye akaunti za Akiba. MAJADILIANO. SACCOS ya Tusaidiane imeamua kulipa Riba ya asilimia tatu (3%) kwa mwaka kwa wanachama na wateja wote wenye akiba isiyopungua shilingi 20,000/=, Devota ambaye ni mwanachama alikua na akiba ya shilingi 150,000/= ambazo zimekaa kwa siku 90, baada ya hapo Devota aliongeza akiba na kufikisha shilingi 250,000/= ambazo zimekaa kwenye SACCOS kwa muda wa siku 30. Tafuta jumla ya riba atakayolipwa Devota.
Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 67 Kanuni: Mwaka una siku 365 Riba = kiasi cha riba × (kiwango cha riba÷100) × Muda. (a) Salio la shilingi 150,000 ‣ Kiasi cha akiba(siku 90) = shs 150,000/= ‣ Kiwango cha Riba kwa siku = 3% ÷ 365 = 0.00822% ‣ Muda wa akiba kwenye SACCOS ni siku 90. (b) Salio la shilingi 250,000/= ‣ Kiasi cha Akiba (siku 30) = shs 250,000/= ‣ Kiwango cha riba kwa siku = 3% ÷ 365 = 0.00822% ‣ Muda wa akiba kwenye SACCOS ni siku 30, Kokotoa riba kwa kuzingatia salio lililopo kwenye akaunti kila siku. Kipindi Salio kwenye akaunti Kanuni Kiasi cha akiba × (3% ÷ 365) × idadi ya siku Kiasi cha riba Siku 90 150,000/= 150,000 × 0.0000822 × 90 1,109.70 Siku 30 250,000/= 250,000 × 0.0000822 × 30 616.50 JUMLA 1,726.20
- Page 22 and 23: 16 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS NA
- Page 24 and 25: 18 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS
- Page 26 and 27: 20 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS [i
- Page 28 and 29: 22 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 4.
- Page 30 and 31: 24 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (e
- Page 32 and 33: 26 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS
- Page 34 and 35: 28 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS ya
- Page 36 and 37: 30 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 6.
- Page 38 and 39: 32 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS au
- Page 40 and 41: 34 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 7.
- Page 42 and 43: 36 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS
- Page 44 and 45: 38 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS fe
- Page 46 and 47: 40 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS [B
- Page 48 and 49: 42 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS Ma
- Page 50 and 51: 44 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 8.
- Page 52 and 53: 46 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS wa
- Page 54 and 55: 48 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS Ba
- Page 56 and 57: 50 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (i
- Page 58 and 59: 52 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 28
- Page 60 and 61: 54 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS M
- Page 62 and 63: 56 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS MZ
- Page 64 and 65: 58 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 9.
- Page 66 and 67: 60 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 9.
- Page 68 and 69: 62 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 10
- Page 70 and 71: 64 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS n.
- Page 74 and 75: 68 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 12
- Page 76 and 77: 70 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 12
- Page 78 and 79: 72 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 2.
- Page 80 and 81: 74 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS Fu
- Page 82 and 83: 76 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 14
- Page 84 and 85: 78 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 15
- Page 86 and 87: 80 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (i
- Page 88 and 89: 82 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 16
- Page 90 and 91: 84 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS
- Page 92 and 93: 86 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (v
- Page 94 and 95: 88 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS Wa
- Page 96 and 97: 90 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 17
- Page 98: 92 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS TO
66 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

11. RIBA ZA AKIBA NA AMANA

11.1 Riba za akiba

Riba za akiba inalipwa kwa wanachama na wateja wanaoweka fedha zao ili kuwavutia kwa sababu

SACCOS hutumia fedha hizo katika biashara yake ya mikopo.

11.2 Kukokotoa Riba Za Akiba.

Riba za akiba hukokotolewa ili:-

(i) Kutambua kiasi cha riba kitakacholipwa na SACCOS kwa wenye akiba.

(ii) Riba inayolipwa na SACCOS kwa wenye akiba ni mapato kwao, ambapo kwa SACCOS ni

gharama ya fedha.

11.3 Kanuni ya kukokotoa riba ya akiba.

Riba = Kiasi cha akiba × (kiwango cha Riba ÷ 100) × Muda.

‣ Kiasi cha Akiba:- Ni fedha aliyojiwekea mwanachama au mteja kwenye SACCOS.

‣ Kiwango cha Riba:- Huainishwa katika asilimia kwa mwaka au kwa mwezi.

‣ Muda:- Huainishwa katika siku,mwezi au mwaka ambapo fedha za akiba zimekua chini ya

mamlaka yaSACCOS.

Wakati wa Kukokotoa Riba lazima kuzingatia kwamba, kama muda umeainishwa kwa siku basi kiwango

cha Riba nacho kiainishwe kwa siku.

Mfano: Riba ya asilimia 60 kwa mwaka wenye siku 365, Basi kiwango cha Riba kwa siku = 60% ÷ Siku

365 = 0.164%

11.4 Kukokotoa gharama za riba kwenye akiba.

Mabenki hukokotoa Riba kwenye akiba kila siku kwa kuzingatia salio la akaunti linalostahili kupata Riba.

Mfano, Kama kiasi cha chini kinachostahili kupata riba ni shilingi 20,000/=, mteja mwenye akaunti

yenye salio la shilingi 18,000/= hastahili kupata riba hata kama fedha hizo zitakaa benki kwa mwaka

mzima.

Ni vyema SACCOS zifuate utaratibu huu wakati zinapoamua kulipa riba kwenye akaunti za Akiba.

MAJADILIANO.

SACCOS ya Tusaidiane imeamua kulipa Riba ya asilimia tatu (3%) kwa mwaka kwa wanachama na

wateja wote wenye akiba isiyopungua shilingi 20,000/=, Devota ambaye ni mwanachama alikua na

akiba ya shilingi 150,000/= ambazo zimekaa kwa siku 90, baada ya hapo Devota aliongeza akiba na

kufikisha shilingi 250,000/= ambazo zimekaa kwenye SACCOS kwa muda wa siku 30. Tafuta jumla ya

riba atakayolipwa Devota.