SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

60 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 9.9 MIZANIA Kama ilivyo hapo tarehe 31 Desemba……………………… 31 Desemba 31 Desemba Na ya akaunti Maelezo chati ------------------ ------------------ 1000-1999 RASILIMALI Namba (shs) (shs) JUMLA YA RASILIMALI 2000-2999 DHIMA 3000-3999 MTAJI JUMLA YA DHIMA JUMLA YA MTAJI JUMLA YA DHIMA MTAJI (a) Maana ya mizania Mizaania ni taarifa inayonyesha hali ya kifedha (“thamani”) ya Asasi kwa siku maalum kwa kuonesha rasilimali zote kila moja na thamani yake, dhima kila moja na thamani yake pamoja na mitaji husika kila moja na thamani yake. RASILIMALI = DHIMA + MTAJI (b) Vipengele vya mizania Mizania ya chama inajumhisha mambo yafuatayo: (i) Rasilimali: ‣ Mizania huonyesha rasilimali za muda mfupi – rasilimali ambazo zina uwezo wa kudumu kwa muda hadi mwaka mmoja. ‣ Mizania huonyesha pia rasilimali za muda mrefu Vitu halisi ambavyo vina uwezo wa kudumu kwa miaka mingi. Rasilimali ni pamoja na fedha tasilimu na mawekesho, mikopo halisi iliyoko kwa

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 61 wanachama, vitega uchumi, nyumba, samani, mali zingine za kudumu n.k (ii) Dhima (madeni) Kwa upande wa nyanzo vya rasilimali, mizania huonyesha Dhima – madeni inayodaiwa SACCOS. Hii inajumisha fedha za Akiba na Amana walizo wekeza wanachama katika SACCOS, Mikopo ya muda mrefu na mfupi toka taasisi zingine za fedha. (iii) Mtaji Mtaji wa SACCOS Inajumhisha hisa za wanachama , malimbikizo ya faida ,matengo mbalimbali ya kisheria, misaada na ruzuku. Kumbuka: vyanzo vya rasilimali ni mtaji na dhima baki halisi ya kila hesabu ilioko katika Mizania inapaswa kulingana na baki iliopo katika majedwari ya hesabu husika. (C) Kuandaa Mizania. Mizania ni lazima iandaliwe ili kuonyesha rasilimali zinazomilikiwa na SACCOS pamoja na vyanzo vyake kwa siku/tarehe maalumu. Kwa kawaida mizania huandaliwa mwishoni mwa mwaka wa biashara wa SACCOS hususan baada ya kuandaa urari, taarifa ya mapato na matumizi na mtiririko wa fedha. Kumbuka: mizania ya mwaka ulio tangulia lazima ioneshwe sambamba na mizania ya wakati huu ili kuwezesha kufanyika ulimganisho.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

61

wanachama, vitega uchumi, nyumba, samani, mali zingine za kudumu n.k

(ii)

Dhima (madeni)

Kwa upande wa nyanzo vya rasilimali, mizania huonyesha Dhima – madeni

inayodaiwa

SACCOS. Hii inajumisha fedha za Akiba na Amana walizo wekeza wanachama katika

SACCOS, Mikopo ya muda mrefu na mfupi toka taasisi zingine za fedha.

(iii)

Mtaji

Mtaji wa SACCOS Inajumhisha hisa za wanachama , malimbikizo ya faida ,matengo mbalimbali

ya kisheria, misaada na ruzuku.

Kumbuka: vyanzo vya rasilimali ni mtaji na dhima baki halisi ya kila hesabu ilioko katika

Mizania inapaswa kulingana na baki iliopo katika majedwari ya hesabu husika.

(C)

Kuandaa Mizania.

Mizania ni lazima iandaliwe ili kuonyesha rasilimali zinazomilikiwa na SACCOS pamoja na

vyanzo vyake kwa siku/tarehe maalumu. Kwa kawaida mizania huandaliwa mwishoni mwa

mwaka wa biashara wa SACCOS hususan baada ya kuandaa urari, taarifa ya mapato na

matumizi na mtiririko wa fedha.

Kumbuka: mizania ya mwaka ulio tangulia lazima ioneshwe sambamba na mizania ya wakati

huu ili kuwezesha kufanyika ulimganisho.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!